Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Umoja wa Mataifa, UN unaripoti kwamba Tanzania kuwa namba 3 Kwa Kasi ya kukua Kwa uchumi Africa ikitanguliwa na Ivory Coast na Rwanda. Uchumi wa Tanzania unatarajia kukua Kwa wastani wa Asilimia...
9 Reactions
26 Replies
3K Views
HOTUBA YA WAZIRI KIVULI WA MADINI-ACT WAZALENDO NDG. EDGAR FRANCIS MKOSAMALI KUHUSU MPANGO WA BAJETI WA WIZARA YA MADINI KWA MWAKA WA FEDHA 2023/24. Utangulizi. Katika mwendelezo wa kufuatilia...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Nawashauri tu ndugu zangu Viongozi dunia imebadilika sana Yesu kabla ya kusulubiwa Mafarisayo na Wanasheria walikuwa wanamtega kwa MANENO ili wapate kumnasa kwa Maneno yake mwenyewe Sabato Njema!
3 Reactions
5 Replies
639 Views
I think I am able to decipher what the problem is. Huyu Musiba nadhani dark past, something bad has happenned in his life, kwake personally au kwa watu walio karibu naye. Nadhani ndicho wanachoita...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Ukifuatilia nyendo za Viongozi Wakuu wa CHADEMA unaona kabisa ni wazi tena kwa makusudi wameamua wawe chawa wa Samia (wa CCM) wakidhani wanamkomoa Hayati Magufuli kwa kile wao hudhani na kuamini...
2 Reactions
14 Replies
716 Views
Wakati Mh RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Samia Suluhu Hassan kiu yake ya mchango wa madini kwenye GDP angalau kufikia asilimia 10 % kufikia mwaka 2025,Profesa Sospeter Muhongo anasema...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Kupitia ukurasa wake wa twitter huyo Kigogo ametaka ufanyike Uchunguzi huru wa ajali iliyomuuwa Deo Filikunjombe aliyetarajiwa kuwa Waziri mkuu wa Serikal ya Shujaa Magufuli Kigogo ametaka...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Mimi nilisoma Shule moja ya serikali ya Jijini Dar es salaam, japo kwa miaka miwili tu na baadaye nikahama , Shule ile ya sekondari wakati ule waliochaguliwa kusoma pale ni wale waliofaulu vizuri...
17 Reactions
157 Replies
8K Views
Kwa mteule yeyote wa Rais wa JMT kama alivyo DC Moses Machali DC wa Mkalama Singida kwenda kinyume na maelekezo ya Rais katika mikutano ya hadhara ni kumdharau. Sasa sijui huyu ana mdharau kwa...
3 Reactions
2 Replies
2K Views
Chadema tulikuwa na uwezo wa kutamka nchi haitatawalika kwa uovu na ufisadi na CCM walinywea. Leo hii CCM wamewapanda Watanzania vichwani na wanawakebehi na kuwapuuza kwa kuwakamua tozo kibao na...
7 Reactions
47 Replies
2K Views
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Daniel Chongolo na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa wamefanya ziara ya takribani siku 10 nchini China iliyoanza Aprili 17, 2023 na kutamatika Jana Aprili 28, 2023...
1 Reactions
1 Replies
728 Views
Tangu yupo udsm sheria kijana amekua kada sana mpaka weledi umemtoka
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, je, ni namna gani tunasherehekea Muungano huu? Tunasikia kauli za wanasiasa wakipongeza na kusifia Muungano, namsikia Waziri Jafo akilielezea...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Msafara wa Viongozi uliokuwa ukielekea Kigoma kwaajili ya maandalizi ya uzinduzi wa Oparesheni mpya ya Chama umepata ajali saa nane usiku wa kuamkia leo Aprili 27, 2023. Ajali hiyo imetokea...
8 Reactions
80 Replies
6K Views
Zambia na Tanzania ni nchi mbili majirani. Tanzania tukiwa kwenye rojo la CAG na ubadhirifu mkubwa, hali hizi: ni sehemu ya maisha. Kama vile haitoshi, huku kazi inaendelea: Zambia ni hawa...
0 Reactions
3 Replies
444 Views
Wanabodi, 1. Niliwahi kusema humu, kuwa kichaa, mtu sio lazima mpaka aokote makopo!, unaweza kumbaini fulani ni kichaa, kwa kumsikiliza tuu, hata kwa kumuangalia facial expressions wakati...
89 Reactions
236 Replies
37K Views
Haya ni mambo ambayo yamezingatiwa kwa nchi zote zilizoendelea iwe West, China, Uarabuni n.k 1. Kuheshimu haki za kumiliki mali binafsi. Ni vigumu kuendelea kama raia katika wanaweza kuchukuliwa...
1 Reactions
0 Replies
325 Views
Waziri Ndumbaro aliunda tume ya Mwakyembe mwaka jana kutafuta suluhu ya matokeo mabovu Law School. Ikumbukwe (kipindi hicho) wadau mbali mbali walilivalia njuga vilivyo suala la matokeo mabovu...
2 Reactions
70 Replies
3K Views
Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 11, Kikao cha 15 leo Aprili 28, 2023. Serikali imesema haiwezi kudhibiti bei ya mazao, bali inapunguza gharama za uzalishaji kwa wakulima...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Ndugu zangu watanzania, Kwa Sasa Tanzania ndio Habari ya mjini katika suala Zima la Kasi ya ukuaji wa uchumi, Tanzania imeviteka vyombo na Taasisi mbalimbali za kimataifa juu ya kufanya vizuri...
7 Reactions
81 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…