Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tunashuhudia jinsi ambavyo mambo yanaenda ovyo kila mahali ukilinganisha na utawala wa marehemu JPM. Hali ni mbaya sana. Huyu Rais kwa kweli hatufai Watanzania. Hili ni jambo la wazi kabisa...
12 Reactions
72 Replies
3K Views
Mzee Kawawa alikuwa mbunge wa Liwale ( ukweni) na akasemwa sana amesahau kwao Songea Vita Kawawa ( mwanae) ndio karudi nyumbani Namtumbo na kaukuta Umaskini Ule Ule wa mwaka 47 Mimi nampongeza...
14 Reactions
25 Replies
1K Views
Uzalendo ni hali ya mtu kuipenda, kuithamini na kujitoa kwa ajili ya nchi yake. Mzalendo wa kweli daima anaweka maslahi ya nchi mbele na ya kwake binafsi nyuma. Kwa maana hiyo hapo juu, mzalendo...
5 Reactions
15 Replies
1K Views
Mbowe anasema Watumishi Umma wachunguzwe maisha wanayo ishi kama Yana ualisia na mishahara tunayowalipa? Mimi nitakuwepo kwenye Maandamano ya ACT wazalendo nashauri yalindwe na Polisi wasio na vyeo.
1 Reactions
3 Replies
955 Views
Leo Bungeni wakati wa maswali na Majibu, Kuna swali lililohusu mabadiliko ya mitaala ya Elimu ili kuendana na hali ilivyo. Naibu waziri wa elimu alikiri kuwa mfumo wetu wa Elimu uliopo haumsaidii...
11 Reactions
26 Replies
3K Views
DITOPILE AUNGANA NA WANA CHAMWINO KWA IFTAR, WAMUOMBEA DUA RAIS SAMIA Katika Muendelezo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dodoma Mhe. Mariam Ditopile ameungana na...
0 Reactions
1 Replies
719 Views
Mbunge wa Viti Maalum Wanawake (UWT) Mkoa wa Songwe Mhe. Juliana Daniel Shonza ametoa Tracks Sut 64 na Pedi 128 zenye thamani ya Milioni 1,600,000 kwa Wanafunzi wakike 64 waliounguliwa na Bweni...
1 Reactions
4 Replies
710 Views
Naomba watanzania tuamke Hali ya ufisadi ni mbaya Sana kwenye nchi yetu Chini ya huu utawala, tukemee huu ufisadi aisee. Mfano kwenye utawala huu walisaini ujenzi wa Reli lot 3 na 4 ambao...
4 Reactions
9 Replies
901 Views
Nilidhani ni Dar tuu, nimezunguka karibia mikoa yote, ni Mabango tuu ya Picha za Mama. Kwa jinsi gharama zilivyo kuprint na kukodi space, nadhani gharama zake zinaweza jenga kituo cha afya...
6 Reactions
46 Replies
2K Views
Ikiwa tutaamua kufanya utafiti leo katika mitandao ya kijamii kama Facebook, Instagram, TikTok na mingine, utagundua kwamba Siasa za Nchi miongoni mwa vijana zimezimia kama siyo kufa. Content...
1 Reactions
3 Replies
667 Views
Kwa muda mrefu huyu rais anajitambulisha kuwa yupo kwa ajili ya kuukuza uisilamu, rais Mwinyi huko nyuma aliwahi kusema ataongea na rais wa Tanzania kuona jinsi serikali ya Zanzibar inavyoweza...
8 Reactions
54 Replies
4K Views
1. Kiongozi yoyote wa serikali au CCM akiongea hawezi kumaliza sentensi mbili bila kutaja jina lako. 2. Sasa hivi karibu miji yote mikubwa kuna mabango makubwa ya kukusifia. Bajeti yake...
15 Reactions
55 Replies
3K Views
Wasiwasi wa Wakenya wengi miaka miwili nyuma kuwa Serikali ya ya Tanzania Chini ya Rais, Samia Suluhu Hassan uenda ikapindua meza na kuwa TAIFA lenye Uchumi mkubwa dhidi ya Kenya kabla ya mwaka...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Nauliza tu kwa sababu sijaona mwarabu anafuturisha huku Watu wameketi kwenye chair and table Lakini kwa Wabongo ni kawaida sana kukuta meza na viti vimeandaliwa na Mfuturishaji kwa ajili ya...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Fanya utafiti mdogo utagundua Wizara zilizotajwa na CAG kuongoza kwa Ufisadi Mawaziri wake ndio hawakuamimiwa kabisa na Shujaa Magufuli na wengine aliwatumbulia mbali Ni hayo tu Mlale unono!
7 Reactions
19 Replies
1K Views
Mwitikio umekuwa mkubwa sana ila sina Hakika kama wote watakaa hadi Magharibi Mungu wa mbinguni wafanyie wepesi Chadema Ili lengo la Mkutano litimie hususani kuchambua Ripoti ya CAG Mengi...
5 Reactions
39 Replies
3K Views
Deadline hiyo imetangazwa na Waziri wa Mazingira Suleimani Jafo. Baada ya January 31, 2024 taasisi zote za Umma na Binafsi ni marufuku kupikia kwa kutumia mkaa na kuni. Aidha Serikali imesema...
14 Reactions
60 Replies
6K Views
1. Bajeti ya serikali ni ya kula, kujilipa posho, kununua magari. 2. Upigani ndio story kubwa sinazo pigwa hata kwenye ofisi za wakubwa. 3. Hakuna mtu anamwogopa kiongozi 4.Hakuna miradi mipya...
33 Reactions
89 Replies
5K Views
Nauliza tu Ratiba ya Mikutano ya hadhara ya Mbowe na Tundu Lisu ni kama imezilenga Ngome za ACT wazalendo Lindi, Mtwara na Kigoma Kwa ninavyowajua fitna za CCM na hasa kutokana na ACT kujifanya...
1 Reactions
32 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…