Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mlishatambulika kuwa mpo Pamoja na CCM na hata wakati wananchi wanapigwa risai ile Oktoba 29 mlikuwa pamoja na CCM mkifanya maigizo ya uchaguzi feki. Leo hii mnazunguka na kujifanya mnapinga...
1 Reactions
0 Replies
119 Views
Leo nimkusikia ukimwapisha yule waziri uliyemtoa upinzanzani wale wanao kwenda kukaimu tamesa, Umenena vyema yakuwa walio pewa nyadhifa hizo watambue ni dhamana tu. Wasipowatumikia wanzania...
2 Reactions
4 Replies
146 Views
Zimepita siku 72 tangu kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu ilipoahirishwa, kwa muda usiojulikana baada ya upande wa Jamhuri kwenda Mahakama ya Rufaa kuomba mapitio ya...
4 Reactions
9 Replies
306 Views
Nampongeza sana Rais Samia kumzodoa Ruto ambae anapanga mipango ya maendeleo Kwa Nchi nyingine bila kushirikisha na bila kujua kwamba na sisi tuna mipango yetu sio lazima hiyo ya kwao. Baada ya...
0 Reactions
4 Replies
212 Views
Akizungumza na waandishi wa habari, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Mirambo Yusuph, amesema mambo yaliyoainishwa katika ripoti ya Tume ya Uchaguzi kuhusu matukio ya Oktoba 29 tayari...
1 Reactions
10 Replies
243 Views
Mwanaharakati wa Kenya, Hussein Khalidi amesema kuwa wanaharakati wa Afrika Mashariki hawatishwi na kauli ya Rais wa Tanzania, Saia Suluhu Hassan ya kuwaonya Gen-Z wa Afrika Mashariki kuwa...
4 Reactions
17 Replies
546 Views
Kuna uwezekano wowote wa mtu asiyeamini mungu(atheist) anayefahamika kwa wazi kabisa kuwa kiongozi wa nchi au serikali Tanzania kwa katiba ya sasa au hata mpya?
4 Reactions
25 Replies
291 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akiapisha viongozi aliowateua leo Mei 6, 2026, Ikulu ya Chamwino Dodoma, ametoa onyo kali kwa viongozi wa umma dhidi ya tabia ya...
0 Reactions
13 Replies
466 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewataka viongozi waliokula viapo vyao leo Mei 6, 2026 Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma, kuhakikisha wanatekeleza majukumu yao kwa...
1 Reactions
5 Replies
208 Views
Maandamano ya baadhi ya Watanzania wanaoishi Uholanzi yameripotiwa kuanza muda huu nje ya Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) mjini The Hague. Waandamanaji wamebeba mabango wakipinga kile...
25 Reactions
50 Replies
2K Views
‎ ‎ Watanzania waishio nchini Afrika Kusini wamefanya maandamano makubwa mjini Johannesburg leo Novemba 5, 2025 wakipinga mauaji ya raia yaliyotokea nchini Tanzania kufuatia matukio ya kisiasa ya...
9 Reactions
9 Replies
743 Views
Rais wa TLS, Wakili Boniface Mwabukusi amesema hayo tarehe 30 Aprili 2026 wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kwenye Ukumbi wa AICC jijini Arusha.
2 Reactions
1 Replies
186 Views
Rais wa TLS, Wakili Boniface Mwabukusi amesema hayo tarehe 30 Aprili 2026 wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu uliofanyika AICC jijini Arusha. Anasema TLS vilevile inawajibu mkubwa si tu kwa...
2 Reactions
1 Replies
165 Views
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Ndugu Werema amemwambia mwandishi Balile kwamba wewe si muandishi wa habari za uchunguzi bali ni muhemea kodi ya pango. Jaji Werema alijibu hivyo baada ya mwandishi...
4 Reactions
79 Replies
11K Views
Kufikishwa ICC Kwa Samia Suluhu na Genge lake kunaenda kutupatia Katiba Mpya na Tume Mpya huru ya Uchaguzi yenye Reforms za kutosha. Taarifa za Uhakika kabisa ni kua, SAMIA na Genge lake...
12 Reactions
18 Replies
502 Views
  • Redirect
Wakenya wanasema wanamuogopa Mungu tu, Ruto ni mwajiriwa wao! https://twitter.com/MariaSTsehai/status/2051929840492920943?s=19
2 Reactions
Replies
Views
Kwa nini kama kweli, Mungu analaani WATUMISHI wasio timiza wajibu, wao iweje amwache aliyeua watu 518 kisa awe apo alipo atapewa Nini na Mungu? JE kwa Nini anaishi mpaka Leo?
0 Reactions
0 Replies
87 Views
MAANA YA UZALENDO 1. Tafsiri Rahisi - Upendo na kujitoa kwa ajili ya nchi yako 2. Mambo Makuu Ya Uzalendo Kupenda nchi yako bila kujali serikali iliyopo Kuweka maslahi ya Taifa mbele ya maslahi...
1 Reactions
3 Replies
161 Views
MIRADI MIKUU YA KIMKAKATI CHINI YA UONGOZI WA MHESHIMIWA RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN, 2021 – SASA Uongozi wa awamu ya sita umewekeza katika uendelezaji wa miradi ya kitaifa yenye tija kwa...
0 Reactions
1 Replies
214 Views
Back
Top Bottom