Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

“Tunajiita tuna uhuru wa habari, lakini tuna tatizo linaloitwa ‘media oga’, yaani media zetu ni waoga. Ni waoga kutangaza jambo wanapohisi kwamba serikali haitafurahia. Kwa maana hiyo, karibu...
5 Reactions
3 Replies
277 Views
Kipindi Makonda akiwa Rc Arusha alitoa ushauri kwa polisi wa usalama barabarani kupunguza usumbufu kwa wenye vyombo vya moto Kitendo kilicho saidia hata kupunguza foleni barabarani. Nita jaribu...
6 Reactions
21 Replies
502 Views
Wakati akiendelea kutoa tathmini yake kuhusu yaliyotokea Oktoba 29, Mwandishi wa Habari mkongwe Pascal Mayalla amesema kuwa katika tangazo la katazo la kutoka nje, lilipaswa kuwaeleza Watanzania...
6 Reactions
8 Replies
356 Views
Vita ya marekani na Irani imepelekea bei za mafuta kupanda duniani, Kupanda kwa mafuta kumesabisha kupanda kwa nauli kwenye kila aina ya usafirishaji kitu ambacho kimesababisha ukali wa maisha...
4 Reactions
18 Replies
356 Views
Mbunge wa Jimbo la Sumbawanga Mjini, Aeshi Hilaly, akichangia Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu pamoja na Ofisi ya Bunge kwa mwaka wa fedha 2026/27, amelitaka Bunge kukataa...
13 Reactions
58 Replies
2K Views
  • Redirect
Tume ilichambua nia, mikakati na malengo ya waliopanga na kutekeleza ghasia. Ilitofautisha vitendo vya ghafla na vile vilivyopangwa kwa makusudi ili kufikia matokeo ya kisiasa au kijamii. Ushahidi...
0 Reactions
Replies
Views
Wakuu, Anazungumza Jaji Chande leo wakati anakabidhi anakabidhi Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani Yaliyotokea Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025...
2 Reactions
42 Replies
1K Views
Wabunge wa Viti Maalum hawajui kazi zao, hawajui miongozi, hawajui kanuni lakini hawajui maana ya Bunge na wamekuwa wakuzungumzia maisha yao binafsi wakitaka kuaminisha ni tatizo la kitaifa na...
3 Reactions
7 Replies
178 Views
Jaji mkuu mstaafu wa Kenya, David Maraga ameandika katika ukurasa wake wa X akieleza masikitiko yake kwa kauli ya Rais Samia Suluhu Hassan aliyoitoa Mei 4 wakati akimpokea Rais wa Kenya, William...
19 Reactions
19 Replies
759 Views
Anaongea with confidence as if amekuwa acquitted na Mahakama ya ICC kama hana hatia na mauaji ya kimbari ya october, 29th. Anaongea with great confidence....mikwaju chapa etc etc! Hivi Ruto...
3 Reactions
7 Replies
290 Views
Kabla ya Rais kwenda mahali kunakuwa na communication nyingi na Objectif ya Safari. Ya Kwamba Samia was not informed in advance juu ya project ya Tanga - inaacha maswali mengi juu ya Idara ya...
7 Reactions
5 Replies
260 Views
Wadau, Nimeona tamko la leo, Novemba 16, 2025, kutoka Kitengo cha Mawasiliano cha Wizara ya Afya likikana vikali uhalisia wa video inayosambaa inayoonyesha idadi kubwa ya miili ya watu. Wizara...
10 Reactions
12 Replies
705 Views
..Hadi wakamtuma chawa mbobevu Kitenge kwenda kupiga promo kua South Africa ni salama anaetaka na aje. Sasa nimekaaa hapa na Mwashamu Askofu tunaangalia habari za duniani naona vurugu zimekolea...
2 Reactions
2 Replies
149 Views
Nimeona huko mitandaoni analalamika sana. Waandishi wamekuwa maripota tu. Wamekuwa waoga hawako critical. Wanajipendekeza na wamekuwa machawa. Pascal Mayalla ana hoja ya msingi. Yeye ni shujaa...
3 Reactions
5 Replies
177 Views
Akitoa maoni yake na uchambuzi wa baadhi ya mambo yaliopo kwenye Vyombo vya Habari nchi na uhuru wake Pascal Mayalla amesema Waandishi wa Habari na Vyombo vya Habari hawatimizi wajibu wao...
6 Reactions
10 Replies
432 Views
Chama cha Mapinduzi (CCM), kinatarajia kufanya uamuzi mgumu wa kuridhia kung’atuka kwa Katibu Mkuu wake, Dk Asha-Rose Migiro na kupitisha jina la kada mwingine kushika nafasi hiyo, taarifa...
6 Reactions
32 Replies
1K Views
Utatamkaje hadharani habari ya kuchapa viboko hadharani wanaharakati? Hiyo sio suluhu. Harakati dunia ya leo zinafanyika online. Kule Tunisia yalifanyika mapinduzi ya Facebook. Hayati...
7 Reactions
47 Replies
649 Views
07 May 2026 Tafakuri ya Pascal Mayala Kuhusu Uhuru wa Vyombo Vya Habari, Ripoti ya Jaji Chande | Nijuze Podcast https://m.youtube.com/watch?v=uyaX4VGvwDM
2 Reactions
7 Replies
201 Views
Mueleze lolote lililo ndani ya uwezo wake kuisaidia Tanganyika! au Tanzania ukipenda ingawa Zanzibar haina mateso yoyote. Hapo vipi Pascal Mayalla
1 Reactions
3 Replies
151 Views
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Akiongoza Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM kilichofanyika Jijini Dodoma Leo...
0 Reactions
5 Replies
270 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…