Hawa watu wakati wa JK. Tulisikia kila aina ya matusi bahati baba wawatu alikuwa mpole sana, hata wakitukana anawaita ikulu wanakunywa chai wanaondoka.w Wlikuwa wanaitisha maandamano...
Sabaya matatani kwa kumshambulia Diwani wa Sombetini Arusha
Philip Kana - 23rd February 2021
MKUU wa Wilaya ya Hai, Lengai ole Sabaya, ambaye amekuwa anatuhumiwa na kuhusishwa na matendo kadhaa...
Nimeshuhudia pale KKKT Azania Front na Anglican church St Albans Jumatatu hadi Ijumaa Watumishi wa Serikal wanajaza Kanisa Asubuhi, Mchana na Jioni.
Hali hii nilizoea kuiona kwa wale Islam...
Nimesikia hii taarifa hii kupitia kipindi cha yasemavyo magazeti wakilinukuu gazeti la Mtanzania.
Mwenye taarifa kamili tafadhali!
=====
Ujenzi wa barabara Dar - Chalinze waahirishwa
Mtanzania...
Meya wa Manispaa ya Kinondoni mh Songoro ameliomba Jeshi la Polisi na vyombo vya habari kuwasaidia kumtafuta Diwani wa Kawe ambaye hajulikani alipo.
Songoro amesema mheshimiwa Lwakatare...
Mama Samia tunaomba umsikie na kumsikiliza Mwanamke mwenzio ambaye siyo mwanasiasa na haishi hapa nchini, ameyaongea haya bila double standard hata chembe.
Usikimbilie kusema "Watu wa Dar kitu...
Dar es Salaam. Meya wa Kinondoni, Songoro Mnyonge amesema leo wanatarajia kumfanyia sherehe ya kumkaribisha Diwani wa Kawe (CCM), Mutta Rwakatare ambaye alipotea mwanzoni mwa mwaka huu.
Diwani...
CCM ya AWAMU ya 5 iliamini kuwa CHAMA kina Wanachama wengi na kila Mwanachama ana HAKI ya kuchangia chochote ktk CHAMA ikiwa ni pamoja na kuwa KIONGOZI.
MWENYEKITI wa CCM wa Awamu ya 5 Aliamua...
Akizungumza kwa kujiamini huko Kigamboni, kwenye Kikao cha Chama chake, Mbowe amedai kwamba CCM ishashindwa uongozi, kama kwa miaka 60 ya Uhuru bado kuna mgao wa umeme na na sasa mgao mpya wa...
"Magufuli" Alitulia nchini, akatumbua,na kazi ilionekana!
"Samia" Anatembea,Analeta fedha,halafu zinagawanwa na walamba Asali!
Ipi ahueni?
"Magufuli"hakuwa Mdemokrasia,lakini kazi na miradi...
Huyu ndiye Mwenyekiti wa UVCCM mdogo kuliko wote Tanzania. Ana umri wa Miaka 20.
Tunawapongeza UVCCM Tanzania chini ya Kenani Kihongosi kwa kuhakikisha wanapata watu sahihi kwa wakati sahihi...
Maisha yamekuwa magumu kuwahi kutokea katika historia ya taifa letu ndoa zinavunjika kutokana na watu kutokuwa na kipsto kuendesha famila zao, Dada zetu nao kazi kwa sasa iliyopo imebaki ni...
Rais Samia Suuhu amefanikiwa kupunguza gharama za kilimo kwa kutoa ruzuku ya mbolea inayowapelekea wakulima kununua mbolea kwa nusu bei
Ahueni 4 kwa wakulima toka kwa Mheshimiwa Rais Samia...
Wahasimu wa Hayati JPM wanaendelea kutuaminisha kuwa, JPM hakuwa Mtanzania pia PhD yake ilikuwa feki.
Licha ya hayo yote, wanaungana na wengi kuduwaa jinsi PhD feki ilivyo tofauti na PhD...
Mungu wetu sote na awabariki Kwa nia na madhumuni ya ndoto zenu za kisiasa. Imenipasa kusema haya Kwa kuwa mazingira ya wazi yamezibwa na mnakosa prior visibility Kwa Hazina ya wapiga kura wengi...
Moja ya sababu zilizofanya Tanzania kuwa nyuma kimaendeleo ni suala la sera zetu kuegemea ujamaa yaani kila kitu kufanywa na serikali jambo ambalo limekuwa likifanya tuchelewe sana kupata...
Hii ni baada ya leo chama hicho huko Zanzibar kuagiza kuitishwa vikao vya wanachama ili watafakari Kiburi cha Rais wa Zanzibar Hussein Mwinyi kuteua Mkurugenzi wa Uchaguzi mamluki, Aliyemsaidia...
Leo Tarehe 10/07/2022 , Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika, amefika kwenye gereza la Bariadi kuwajulia hali Viongozi wa Kata ya Dutwa , Jimbo la Bariadi Waliofungwa kifungo cha Maisha Gerezani...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, John Heche ameahidi kuchangia shilingi milioni 2.3 kusaidia ujenzi wa ofisi ya chama hicho Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza.
Heche ametoa ahadi hiyo mjini...
Kufuatia Ukame na uhaba wa maji makamu wa Rais Dr Mpango ametoa maagizo 10 na kutaka yashughulikiwe haraka.
Miongoni mwa maagizo hayo ni kuwahamisha watu wanaoishi jirani na Vyanzo vya Maji na...