RWANDES
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,615
- 3,909
Maisha yamekuwa magumu kuwahi kutokea katika historia ya taifa letu ndoa zinavunjika kutokana na watu kutokuwa na kipsto kuendesha famila zao, Dada zetu nao kazi kwa sasa iliyopo imebaki ni kufanya anasa za kila aina maana kazi hamna, huwezi amini wapo viongozi wakubwa ndani ya serikali fedha za umma wanafanyia anasa kwa kulubuni dada zetu na kufanya watakayo , hali imekuwa mbaya maisha yamekuwa magumu kila kitu kimekuwa shida katika taifa letu ,
Kwa kuangalia hivi sasa hakuna penye unafuu katika maisha tuliyonayo hivi sasa mfano mkubwa ni mfumuko wa bei ya bidhaa, haitoshi maji na umene imekuwa changamoto kwa wananchi ,mambo haya yanaumiza sana kwani viongozi waliowengi wamo ofisini kazi yao kubwa nikupiga soga na kupata perdm na maisha yanaendelea
Hivi sasa iwe kwa mtendaji wa kata iwe kwa diwani iwe kwa mkuu wa wilaya iwe kwa wakurugenzi iwe kwa mkuu wa mkoa , vyombo vyote vya dola, pamoja na mawaziri imekuwa siyo sehemu yakufikisha malalamiko yoyote kwani ukifanya hivyo yule unayemlakamikia atakufahamu na uadui huanza na hata malalamiko yako hayafanyiwi kazi tena kinachobaki ni wewe kuanza kuishi kwa hofu ndani ya nchi yako
Ngo' mbe wa masikini waneshikiliwa wanapigwa mnada na wameambia kama watashindwa kulipa faini ya tsh 100,000/= kwa kila ngo''mbe basi watapigwa mnada hatimaye tayari mnada umeshatangazwa.
Hivi kwanini viongozi tuluonao hawana uchungu na nchi hii kwanini hawawazi kutatua kero za wananchi kwanin? Hivi ni kweli wao wanawaza kuishi nje ya nchi hii tanzania au wanaaminj wizi wa fedha za umma wanaifanya kwamba haipo siku na wao watatoka madarakani wataanza kusulubiwa kama sisi tunavyohangaika
Kiujumla maisha yanekuwa magumu sana hasa kwa watu wenye kipato cha chini navyofikri aluyekuwa na uwezo wa kusomesha mwanae na ndugu zake kwa sasa huenda mambo yakawa magumu, hali ya maisha ni ngumu biashara haziendi kwani mzunguko wa pesa upo kwa watu wa chache.
Hapo chini ni ngo'mbe wa masikini ambao wanapigwa mnada tarehe 14/11/2022..