Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Katika siku ya wafanyakazi duniani TUCTA wamesema mapendekezo yao mara nyingi yamekuwa hayakubaliki na serikali na hivyo kiwango cha chini kimekuwa duni kwa watumishi wa serikali na binafsi...
1 Reactions
14 Replies
5K Views
Habarini, Ninaomba yeyote aliye karibu na Mhe. Rais amfikishie ombi langu mbele yake nalo ni kufanya uteuzi wa nafasi zilizo wazi kwa muda mrefu hususani za utendaji kama wakurugenzi Uteuzi wa...
2 Reactions
7 Replies
846 Views
UZOEFU ,UONGOZI,JAMII, SERIKALI,UVCCM TWENDE NA MWAKIBINGA 2012-Waziri wa Michezo Chuo cha Uandishi wa Habari DSJ(DASJOSO) 2013-Mjumbe Uangalizi Uchaguzi Mkuu Nchini ZIMBABWE 🇿🇼 Kupitia SADC...
0 Reactions
5 Replies
729 Views
Nani anaweza kuprove pesa kwamba mtu aliporwa kiasi fulani? Kuna documents? Kama zipo zinaweza wekwa public? Make kumbuka watalipwa pesa za umma, sasa ni vizuri kama Documents zipo ziweke wazi...
8 Reactions
56 Replies
2K Views
Kwa wale wanaofikri Dkt. Bashiru ni mdogo ndanj ya CCM wanajidanganya hakuna asichojuwa hadi chumba cha ikulu mkicheza vibaya mtasababisha matatizo makubwa ndani ya nchi hii maana watu wanajuwa...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Mbunge wa Mtera Livingstone Lusinde ameibuka na kuuliza mbunge wa kuteuliwa viti maalum na Rais, Dkt Bashiru anakerwa na nini kuhusu wakulima ikiwa yeye ni mteule wa Rais ambaye anatakiwa...
12 Reactions
42 Replies
4K Views
Sintofahamu imeibuka kwa baadhi ya wanachama wa CCM wa Wilaya ya Babati Mjini Mkoani Manyara, wakilalamikia utaratibu wa ugawaji wa kadi za chama hicho kwa manufaa ya watu wanaotaka madaraka...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Sasa ni rasmi ndani ya CCM kuna makundi 2 makubwa, lililo madarakani (Team ⁉️⁉️) na lile lililoondolewa madarakani (Team JPM✔️). 🩸Bashiru akiwa katibu mkuu CCM aliweza kugundua jinsi baadhi ya...
4 Reactions
7 Replies
713 Views
Wakuu natanguliza Salamu. Siku zote hivi vyeo vya kidunia ni dhamana ya muda mfupi tu, huja na kupotea. Leo unaweza kuwa wewe kesho yule, ni kama viti vya daladala, aliyekalia asubuhi si...
8 Reactions
214 Replies
26K Views
Katibu mkuu wa CCM Dr Bashiru amesema ripoti ya Makamba, Kinana na Membe iko tayari na itawasilishwa mbele ya kamati kuu ya CCM wiki hii tayari kwa kufanyiwa maamuzi. Kadhalika Dr Bashiru amesema...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Haya mambo ya Kukosoana kwa nia njema hayajaanza leo Nyerere alikuwa anaitisha Press kabisa kuikosoa Serikali Binafsi nilikuwepo hata ule Mkutano wa Kilimanjaro hotel Mlale unono kesho kazini!
0 Reactions
1 Replies
359 Views
Waziri wa Elimu Prof Mkenda amesema wale wanaompiga Vita wanamtuhumu kwamba ana mpango wa kuweka 'Boss Mchaga' pale Bodi ya Mikopo Prof Mkenda amesema Bungeni kuwa jambo hilo halina ukweli...
18 Reactions
197 Replies
16K Views
Uwanja wa Ndege wa sasa wa Bukoba ulivyo ni uwanja hatarishi sana na hii ndege ya @precisionairtz kupata ajali ni ndege ya 4 . Zingine zimewahi pata ajali kwenye mawe kutokana na ufinyu wa uwanja...
10 Reactions
136 Replies
9K Views
Good afternoon jamiiforums Ndugu zangu mnaofanya kazi ubalozi wa Tanzania huko mjini Doha nchini Qatar, kombe la dunia la mwaka 2022 lipo njiani linakuja, tunaomba mjipange hata kama budget ni...
3 Reactions
43 Replies
5K Views
Ilani ya CCM inasema kwamba CCM itapambana na Rushwa na ufisadi kwa nguvu zake zote Sasa Hawa mawakala wa wanyonyaji wanatoka chama gani kama siyo ushamba tu wanaoulekeza yaani watu wengi...
0 Reactions
2 Replies
505 Views
Mwanasaikolojia Dr Elly amesema Elimu ya Tanzania hadi leo ni ile tuliyoletewa na Mkoloni ili waweze kututawala kirahisi. Ndio sababu hadi leo Mtanzania hujiona bora anapokuwa na rundo la Vyeti...
16 Reactions
78 Replies
4K Views
Ili kuweza kufikia kupanda na kukuza miti angalau bilioni 50 baada ya miaka kumi kutoka sasa, ambapo hali ya ukame inaweza kuwa ni mbaya zaidi kuwahi kutokea ni muda sahihi Serikali ikaazisha...
6 Reactions
78 Replies
3K Views
Ethiopia imeanza kuzalisha umeme kutoka kwenye bwawa kubwa zaidi la kuzalisha umeme barani Afrika maarufu kama 'Grand Ethiopian Renaissance Dam (Gerd)' likitarajiwa kuzalisha megawatts 5000 ambayo...
12 Reactions
40 Replies
6K Views
UMATI UCHAGUZI WA CCM NI SALAMU ZA SUNAMI 2024-2025. Shaka asema idadi hiyo kubwa inatokana na uongozi bora wa Rais Samia Asisitiza uchaguzi wa mwaka huu umevunja rekodi kwa kuwa haijawahi...
0 Reactions
4 Replies
697 Views
“Najua kuna Maafisa wa Usalama wa Taifa hapa kwenye Mkutano wetu Ruangwa, nawatuma wakamwambie Waziri Mkuu kuwa Zitto anasema maliza hofu Ruangwa. “Watu wako hawawezi kukupenda kama wana hofu ya...
12 Reactions
82 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…