Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Naona dalili za Muungano kuvunjika zinanukia. Kila kona ya Tanganyika ni minog'ono juu ya Wazanzibari kuwanyonya Watanganyika kwenye kila sekta. Mfano, teuzi nyingi kwa sasa wanapewa Wazanzibari...
1 Reactions
9 Replies
146 Views
Nadhani wafuasi wa chadema huwa Wana high expectations za kisiasa ambazo hazipo nchini. wanajidanganya na kuamini. Nenda hapo Rwanda hakunaga siasa taka kama za chadema. Leo mmekesha mnaandika...
4 Reactions
12 Replies
233 Views
Mwanasiasa mzalendo na anaependwa kuliko wote yupo jela. Hilo ni tatizo kubwa
7 Reactions
9 Replies
152 Views
Maandamano ya 7/7 Dunia inayamulika mwaaaaa !!. Kesi yao Iko Active ICC. Si Katambi Wala Muliro Wala Abdul Wala Yoyote yule aliyetayari kutoa Amri ya Kuua. Matamko yao ya sasa ni Mbinu za Kuuza...
7 Reactions
15 Replies
263 Views
Bwana Katambi, Kama CHADEMA inatishia Usalama wenu , Muifute Yanini kunyima Haki CHAUMMA na ACT wazalendo?? Mkifute tu
5 Reactions
9 Replies
191 Views
Ni kweli kabisa Katiba ya JMT inaruhusu watanzania kujumuika na kufanya shughuli za kisiasa kwa mujibu wa ibara ya 21 ya katiba ya JMT. Japokuwa kuna limititations kwa mujibu wa ibara ya 30 (5)...
6 Reactions
6 Replies
252 Views
Nyie UVCCM kauli za wapinzani zinasumu kwenu? Vipi kauli zenu nyie CCM na kauli zenu ya kwamba ni kauli za asali sana. Embu kuwe weledi hata kidogo basi ================ Baraza la Umoja wa Vijana...
1 Reactions
5 Replies
118 Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais Wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha reli, shujaa wa Afrika na Jasiri Muongoza...
4 Reactions
55 Replies
522 Views
Jumla ya Wakimbizi 155,811 wanaohifadhiwa katika maeneo mbalimbali nchini wamemuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt.Samia Suluhu Hassan na Watanzania wote kulinda amani iliyopo nchini...
1 Reactions
1 Replies
71 Views
"Niwaase Watanzania wote kuheshimu misingi ya utawala bora na kuhakikisha kwamba shughuli mbalimbali za kijamii, shughuli mbalimbali za kijamii, kiutamaduni, kidemokrasia za kiuchumi zinazingatia...
2 Reactions
17 Replies
296 Views
Wakati CDM wapo site wanafanya active political maneuver kwa ufundi, utulivu na ubunifu mithili ya pasi mpalazo za Lamine Yamal pale Camp Nou,CCM walikuwa busy maghetoni wanafanya political...
0 Reactions
3 Replies
112 Views
Katiba yetu inatutaka wananchi wote kuilinda katiba ya nchi. Hivyo kila anayetenda au kuelekeza ukiukaji wa katiba, tunatakiwa kumkataa na kujitenga naye kabisa, kwa sababu anatuharibia nchi yetu...
0 Reactions
4 Replies
123 Views
Maendeleo ya kweli yanahitaji uwiano wa kimkakati kati ya kuanzishwa miradi mipya na kuimarisha iliyopo kulingana na uhitaji na mahitaji halisi. Kulingana na mahitaji halisi ya sasa, watalii...
4 Reactions
39 Replies
471 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Balozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), aliyemaliza muda wake nchini Tanzania, Khalifa Abdulrahman...
1 Reactions
4 Replies
159 Views
Wakazi wa Kijiji cha Songoro, Wilaya ya Meru, Mkoa wa Arusha, wameeleza wasiwasi mkubwa kufuatia kutoweka kwa wananchi wawili ambao hadi sasa hawajulikani walipo, licha ya jitihada mbalimbali za...
0 Reactions
1 Replies
119 Views
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Mstaafu, Mussa Juma Assad, amesema "mazungumzo haya, 'unajua Jimboni kwangu barabara...', si mazungumzo ya bunge. Mazungumzo ya bunge ni policy...
12 Reactions
18 Replies
556 Views
Ndugu zangu Watanzania, Kwa Maoni yangu na kwa Ushauri wangu katazo la kufanya mikutano yote ya siasa kwa vyama vyote vya Siasa hapa Nchini lisingewagusa Wabunge wa Majimbo. Wabunge wote kutoka...
2 Reactions
44 Replies
447 Views
Ndugu zangu Watanzania, Soma Hapa👉Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Balozi Simon Sirro amesema baadhi ya Viongozi wanapokuwa Serikalini hujikuta wakijisahau na kufikia hatua ya kujiona kuwa wao ndio kila...
0 Reactions
1 Replies
164 Views
Kama mwanadiplomasia na mwanasiasa mwandamizi nchini, nimeifuatilia chadema kwa karibu sana na kwa muda mrefu, na nimethibitisha pasina shaka na kujiridhisha kwamba, chadema inakiuka sheria na...
3 Reactions
67 Replies
993 Views
14 August 2020 Hai, Kilimanjaro Tanzania Madhara ya Marufuku ya Siasa kwa miaka 5 imesababisha CCM kukosa uvumilivu wa kisiasa na kutishia machafuko nchini Kufuatia kupigwa marufuku shughuli za...
15 Reactions
65 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…