POLITICAL MANEUVER VS POLITICAL MASTERBATION

dawa yenu

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2014
Posts
2,833
Reaction score
3,750
Wakati CDM wapo site wanafanya active political maneuver kwa ufundi, utulivu na ubunifu mithili ya pasi mpalazo za Lamine Yamal pale Camp Nou,CCM walikuwa busy maghetoni wanafanya political masterbation utafikiri janja aliyepaka mkongo halafu demu akala nauli!

Heche ananikumbusha mbali sana. Ananikumbusha bwana mmoja anaitwa Neymar da Silva Santons junior. Huyu kiumbe wa ajabu kabisa aliwahi kuishi pale Camp Nou, Barcelona.

Kumsikiliza Heche akiwa jukwaani ni kama kumtazama Neymar akiwa uwanjani! Mmoja kajaaliwa miguu ya dhahabu mwingine ulimi wa dhahabu, dhahabu ni dhahabu wote mafundi top class gold!

Usitazame pornography mtazame Neymar, he will give you the same enjoyment! Vile anachezea mpira ni kama Heche anavyochezea maneno, anavyocheza na siasa za siasa! Kumsikiliza Heche ni pure joy!

Hivi unamjua Luis Alberto Suarez Diaz? Sasa Suarez ana tofauti gani na Godbless Lema? Huku Suarez huku Neymar yaani huku Heche huku Lema mmoja anatema mwingine anafukia hiyo ndio inaitwa active political maneuver! We huogopi? Wapiga nyeto wamekimbia na mpira wamesusa hawataki kucheza!

Sinema la kutisha ni pale unapojiuliza kuhusu jini la football, wapi Lionel Messi, La purga? Nabii wa mwisho wa kabumbu, mtaalamu wa boli, fundi wa mpira! Watu wanauliza Wapi Lionel Messi, la purga? Ila si hata nyinyi wenyewe mnaona Tundu Antipas Lissu yupo selo? Yaani Messi yupo benchi. Akiingia uwanjani itakuwaje? Huu utatu mtakatifu MSN ukitimia itakuwaje? Jibu jepesi itakuwa ni Political massacre. CCM wataacha ndala!

CCM bado inapiga political masterbation maghetoni wanakuambia utamu wanaona wenyewe, kweli aibu utaona wewe usitegemee CCM waone aibu!

CCM badala ya kujadili na kutoa majawabu kuhusu changamoto za kitaifa wao wanawajadili akina Heche, Lissu na Lema utafikiri wao ndio wameleta mfumuko wa bei, wameleta uhaba wa ajira, wameleta mdororo wa uchumi wameleta ukosefu wa maadili. CCM wanauza sura badala ya kuuza sera wamefulia hawa masela.

Juzi walikuwa wanalilia mdahalo na CDM, Jana wakazuia mikutano ya kisiasa sijui kesho watafanya nini hawa masela.

Eti wanataka mdahalo! Hivi mdahalo ndio hitaji la Mtanzania wa kule Mbeya mavumbini?

Kwenye kikosi Cha CCM hata chezaji la CAF Pacome Zouzoa simuoni, ndio watashindana na Barcelona kweli? CCM acheni kujichua ina madhara sana inaharibu ubongo!
 
Jambo ambalo wenzetu wa Magharibi walipewa NEEMA NA MUNGU kulichunguza, kulifahamuni, kulielewa na kuliheshimu sana ni suala zima linaloitwa MUDA. Hii ni rasilimali ya bure ambayo hairudi mara mbili. Hii rasilimali huleta kitu kinachoitwa MABADILIKO (Changes). Kitaalamu hakuna mwanadamu ambaye anaweza kupinga mabadiliko. Awe MWEMA au Awe MBAYA, lazima atakutwa na MABADILIKO.

Wenzetu wazungu walichotushinda ni hapa tu: NIDHAMU KWENYE MUDA, kwasababu wanafahamu muda huleta kitu kinachoitwa MABADILIKO katika nyanja zote za maisha: Binafsi, Kijamii, Kisiasa, Kiroho, Kiuchumi na Kitamaduni. Hivyo basi kuweza kukabiliana na MABADILIKO yanayoletwa na MUDA, wenzetu wakabuni kitu kinaitwa MPANGO MKAKATI (STRATEGIC PLANNING). Wenzetu walifahamu kwamba hawawezi kuzuia MABADILIKO lakini wanaweza kuyaratibu (MANAGE). You cannot stop changes, but you can manage and mitigate them.

MALCOM LUMUMBA
===========
 
Wakati CDM wapo site wanafanya active political maneuver kwa ufundi, utulivu na ubunifu mithili ya pasi mpalazo za Lamine Yamal pale Camp Nou,CCM walikuwa busy maghetoni wanafanya political masterbation utafikiri janja aliyepaka mkongo halafu demu akala nauli!

Heche ananikumbusha mbali sana. Ananikumbusha bwana mmoja anaitwa Neymar da Silva Santons junior. Huyu kiumbe wa ajabu kabisa aliwahi kuishi pale Camp Nou, Barcelona.

Kumsikiliza Heche akiwa jukwaani ni kama kumtazama Neymar akiwa uwanjani! Mmoja kajaaliwa miguu ya dhahabu mwingine ulimi wa dhahabu, dhahabu ni dhahabu wote mafundi top class gold!

Usitazame pornography mtazame Neymar, he will give you the same enjoyment! Vile anachezea mpira ni kama Heche anavyochezea maneno, anavyocheza na siasa za siasa! Kumsikiliza Heche ni pure joy!

Hivi unamjua Luis Alberto Suarez Diaz? Sasa Suarez ana tofauti gani na Godbless Lema? Huku Suarez huku Neymar yaani huku Heche huku Lema mmoja anatema mwingine anafukia hiyo ndio inaitwa active political maneuver! We huogopi? Wapiga nyeto wamekimbia na mpira wamesusa hawataki kucheza!

Sinema la kutisha ni pale unapojiuliza kuhusu jini la football, wapi Lionel Messi, La purga? Nabii wa mwisho wa kabumbu, mtaalamu wa boli, fundi wa mpira! Watu wanauliza Wapi Lionel Messi, la purga? Ila si hata nyinyi wenyewe mnaona Tundu Antipas Lissu yupo selo? Yaani Messi yupo benchi. Akiingia uwanjani itakuwaje? Huu utatu mtakatifu MSN ukitimia itakuwaje? Jibu jepesi itakuwa ni Political massacre. CCM wataacha ndala!

CCM bado inapiga political masterbation maghetoni wanakuambia utamu wanaona wenyewe, kweli aibu utaona wewe usitegemee CCM waone aibu!

CCM badala ya kujadili na kutoa majawabu kuhusu changamoto za kitaifa wao wanawajadili akina Heche, Lissu na Lema utafikiri wao ndio wameleta mfumuko wa bei, wameleta uhaba wa ajira, wameleta mdororo wa uchumi wameleta ukosefu wa maadili. CCM wanauza sura badala ya kuuza sera wamefulia hawa masela.

Juzi walikuwa wanalilia mdahalo na CDM, Jana wakazuia mikutano ya kisiasa sijui kesho watafanya nini hawa masela.

Eti wanataka mdahalo! Hivi mdahalo ndio hitaji la Mtanzania wa kule Mbeya mavumbini?

Kwenye kikosi Cha CCM hata chezaji la CAF Pacome Zouzoa simuoni, ndio watashindana na Barcelona kweli? CCM acheni kujichua ina madhara sana inaharibu ubongo!
this is pure nonsense narrative gentleman 🐒
 
CCM wana MSN yao Mwigulu,Samia na Nchimbi ila wote wananuka damu za watanzania
Kiongozi yeyote wa CCM aliekaribu na kile kikundi cha wahuni wakiongozwa na kilanja mkuu kikwete huyo ni bomu
 
Back
Top Bottom