Chama changu CDM tufanye himahima tuwapige bao CUF, tumteke Dr. Bashir huyo ni karata turufu kuzoa kura za mafuriko Kanda ya Ziwa uchaguzi mkuu wa 2025. Viongozi wangu watukufu tulizeni akili, Dr...
Nijambo la kujivunia, miezi sita ya kwanza ya Rais Samia uwekezaji ulikua kwa 400% Ukafikia US$3BL toka US$510M | Nikaribu mara sita zaidi ya ule wa mtangulizi wake katika kipindi kama hicho...
Tangu ujio wa chama kipya cha siasa UPT kumekuwa na maneno mengi yanayozungumzwa chini chini hasa uhusika wa baadhi ya viongozi waliohudumu katika awamu ya 5 ndani ya CCM kuhusishwa na chama hiki...
Piga uwa hapo Lumumba ukibahatika kuukwaa Uwaziri mkuu wa JMT au ukatibu mkuu wa CCM basi jiandae na misukosuko mingi ikiwemo kuzushiwa na kusingiziwa mambo. Hii imekuwepo tokea enzi za Akina...
Mjadala ulioshika kasi nchini ni madai ya Katiba mpya, hasa kutoka vyama vya upinzani.
Naweka bandiko hili baada ya kusoma michango wa ASKOFU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT)...
====
Rais Samia aifikisha Tanzania ukuaji wa Uchumi wa 5.2% kutoka 2.1%,Heko Tanzania,
According to National Bureau of Statistics (NBS) Pato la Taifa yaani Tanzania Gross Domestic Product- GDP...
Tanzania tupate wapi tena Mtu kama huyu ambae Mungu yuko ndani yake?
1. Rais anayeweza kutunga sheria itakayowafanya Watanzania hasa wanyonge wasilundikwe magerezani kwa kusubiri Upelelezi wa...
=====
Taasisi inayojishughulisha na harakati za kusimamia uwazi na mapambano dhidi ya rushwa na Ufisadi duniani ya " Transparency International " tayari imetoa ripoti yake ya mwaka,
Taasisi hii...
Toka ndani ya mioyo yetu tutafakari haya kwa pamoja huku tukimshirikisha Mungu wetu:
1. Kama sio Rais Samia Suluhu Hassan kupewa kibali na Mungu,Je watu wasiojulikana wangekuwa wamepoteza wenzetu...
Rais Samia Suluhu Hassan tayari ameongeza mara mbili zaidi mzunguko wa fedha yaani (M3) kutoka 6.5% hadi 12.7%
===
Katika kipindi cha miezi tisa sasa tangu Rais Samia Suluhu Hassan aingie...
===
Serikali ya Tanzania imesema imeingia mkataba wa ununuzi wa mabehewa ya abiria 89, vichwa vya treni ya umeme 19, seti za treni za kisasa 10 zenye behewa 80 vikiwa na gharama ya US$381,428,465...
Rais Samia atoa wastani wa madarasa manne na madawati 120 katika kila shule ya Sekondari ya Serikali nchi nzima | Hakika awamu ya Sita Tanzania lazima iwe Tanzania.
" Hakuna kama Samaia "
Baada...
Gharama ya Rais wa Tanzania na deligate yake kusafiri ndani ya nchi ni kubwa kuliko ile yakwenda nje japo Safari zote mbili zinaumuhimu mkubwa kwa Taifa letu,
Kipindi flani niliwahi...
||FY2021|22 Rais Samia kutoa Jumla ya Trilioni 11 kulipa madeni ya nyuma yaliyoaachwa na mtangulizi wale,
===
Rais Samia Suluhu Hassan kimyakimya ameendelea kulipa madeni mbalimbali kwa...
Bima ya Afya kwa Wote Tanzania yaani ( Universal Health Care-UHC ) Rais Samia Suluhu Hassan ametoa Jumla ya TZS 149BL ili kila Mtanzania ifikapo 2030|35 awe na bima ya afya,
" Hakuna kama Samia...
Wachumi mtusaidie hili, Hivi mabenki yetu ya biashara kupata faida ya TZS 471B kwa miezi tisa tu,Wakati huko nyuma yalipata TZS 286B kwa mwaka ina maana gani kwa Uchumi wa nchi yetu?Je! ni Vyuma...
Rais Samia Suluhu Hassan katika kuwaenzi wazee wetu Dk Jakaya Mrisho Kikwete na Hayari Dk John Pombe Magufuli tayari amefanikisha ujenzi wa daraja la Tanzanite|daraja la Salenda walioliasisi wao...
Kwamiezi michache tu ya awamu ya sita Rais Samia ameongeza Jumla ya wanafunzi wanufaika wapya 29,117 wa HESLB,Mtakumbuka miaka mitano ya awamu ya tano tuliongeza wanafunzi wapya 32,583,God's...
Habari njema ni kwamba mikoa yote Bara na Visiwani kupatiwa mashine moja mpya ya Scan CT || Rais Samia Suluhu Hassan anaongeza mashine mpya 29 toka mashine mbili zilizokuwepo tangu uhuru|
===...
Maajabu ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu Tanzania imeagiza Jumla ya ambulance mpya 395 na magari mapya 214 kwa ajili ya chanjo kwa mpigo kitu ambacho hakijawahi kufanyika tangu tuwe...