Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Makamu wa Rais Dkt Phillip Isdor Mpango amefungua Barabara ya Loliondo–Mto Wa Mbu (km 217) Sehemu ya Wasso-Sale (km 49) ambayo imekamilishwa na Serikali kupitia TANROADS kwa kiwango cha lami...
2 Reactions
3 Replies
889 Views
Huko CCM mambo si shwari tena, ni kama Mzee Makamba alikuwa anatafuta upenyo wa kumshambulia Dr Bashiru, na sasa ameupata. Akiwa kwenye Mkutano wa CCM huko Dodoma, amemshambulia waziwazi Dr...
31 Reactions
117 Replies
10K Views
CHALINZE: MWENGE WA UHURU WAZINDUA MIRADI YOTE CHALINZE, JE CHALINZE ITAONGOZA TENA MWAKA HUU?. Mbio za Mwenge wa Uhuru kwa mwaka 2023 Jumatatu Mei 15, 2023 umefanikiwa kumulika na kukagua miradi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kiukweli kampeni za Urais ndani ya CCM zimeshika kasi na CHAWA wanaongezeka Siku hadi siku Sasa unajiuliza hawa Watarajiwa wataweza kuwagharamia hawa CHAWA hadi 2030? Ngoja tuone!
1 Reactions
2 Replies
317 Views
Je Kodi inaweza kusanywa kama wafanyavyo Askari wa kizanzibari dhidi ya uhalifu? Moderator,naomba nikusihi usifute Uzi huu kamwe. Je Kodi yaweza kusanywa Kwa lugha yakhe mie Afande Joti...
0 Reactions
0 Replies
339 Views
Mheshimiwa Rais Nakuamkua kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Tunajua kuna juhudi unafanya tena kubwa ili kuivusha Tanzania kutoka kwenye hali ya uchumi wa chini kuelekea uchumi wa juu...
8 Reactions
11 Replies
1K Views
Vikao vya Siri vya wanachadema vinaendelea chini ya uratibu wa viongozi wao wakuu. Lengo na wao wajichanganye katika mkutano wa Waziri Mkuu na wafanyabiashara wakiwa na ajenda zao za kisiasa...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
CHADEMA wamezindua operesheni yao Kigoma, na katika malengo ya operesheni, mojawapo ni Katiba, lakini inaonekana wameingia katika Kambi ya ACT Wazalendo iliyo chini ya Zitto Kabwe-Mkoa wa Kigoma...
1 Reactions
13 Replies
5K Views
Akitoa taarifa fupi ya Mradi huo Mtendaji Mkuu wa TANROADS Eng: Rogatus Mativila amesema Ujenzi wa barabara Wasso hadi Sale (km 49) ni sehemu ya juhudi za Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa...
1 Reactions
0 Replies
759 Views
Mabere Nyaucho Marando Through The Seasons:The Purpoted Senior Lawyer? From a scratch.UDSM,law industry,business,to politics.Who is he and should we discuss this?His past,future,aspirations...
0 Reactions
46 Replies
12K Views
Tatizo ni Bunge kutunga sheria mbovu za kodi. Lkn lenyewe limekaa kimya kama halihusiki. Na wadau nao wamekaa kimya hata hawajadili. Pale Naibu Speaker alipaswa kupopolewa mno lkn aaahhh wapi
5 Reactions
17 Replies
1K Views
Leo Wafanyabiashara wametoa ya moyoni kutokana na kero zinazowakabili katika biashara zao. Wafanyabiashara wamezungumza mengi ila nashauri yafuatayo: (1) Vituo (gates) zilizopo njiani zitolewe...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Poleni kwa msiba wa Benard Membe na William Malchela. Najiuliza tu na kuwauliza tu kwamba kwanini Zitto Kabwe akitajwa na kusifiwa kwa jambo lolote hawa ndugu wa CHADEMA hukosa raha? Ni kwa...
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Habari zenu Wakuu, Nafikiri tuwe Serious kidogo kama tumedhamiria kupambana na Rushwa. Ili Rushwa iondoke lazima mmoja kati ya Mla Rushwa na Mtoa Rushwa mmoja wapo ndiye apewe adhabu huku...
0 Reactions
1 Replies
679 Views
Mabadiliko haya iltakiwa Amos Makala aachwe,kazi imemshinda,kama ambavyo Magufuli aliona hafai. Kwa kuwa Makala ana Magodfaza, Rais Samia akaambiwa amteue, ukweli umedhihirika si chochote...
0 Reactions
28 Replies
5K Views
Wakati baadhi ya maduka katika eneo la Kariakoo yakiendelea kufungwa kwa siku ya tatu sasa, wafanyabiashara wa soko hilo tayari wamewasili ukumbi wa Arnaoutoglou jijini hapa kufanya mazungumzo na...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Kwenye kikao cha wafanyabiasha na Waziri Mkuu kilichoitishwa ili kutatua changamoto zao kufuatia mgomo wa wafanyabiara ulioanza tar. 15.05.2022. Wafanyabiasha wawatuhumu maafisa wa TRA kuwaomba...
1 Reactions
6 Replies
982 Views
Mh Rais ni kweli umeamua kuuwa uchumi na biashara kabisa? Hivi kweli umeruhusu kadi za namna hii? Hii nimeikopi kwa mwana jf wakukurupuka1 Nanukuuu “Leo Kuna mgomo kwa wafanya biashara soko kuu...
3 Reactions
71 Replies
6K Views
Tunashuhudia nyomi kwenye mikutano yake lakini hiyo nyomi haihusiani kabisa na mvuto wake kisiasa. Watu wanakuja kumtazama mtu aliyekuwa "amekufa" kisha "kufufuka". Biashara inaishia hapo!
2 Reactions
30 Replies
2K Views
Kikao cha Kariakoo ki ukweli kimekuwa kikubwa sana tofauti na matarajio ya wengi. Je, kwa muelekeo wa Kikao nani ataondoka? 1. Waziri wa Fedha? 2. Waziri wa Biashara? 3. CG wa TRA? 4. Manager...
2 Reactions
83 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…