Musukuma: Magufuli alikuwa rafiki yangu lakini alishaniweka ndani mara saba kwa sababu ya kuhoji tu utendaji wake!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,840
141,763
Mbunge wa Geita vijijini amesema Watanzania wampe muda Rais Samia wasimuhukumu kwa hii miaka miwili

Msukuma amesema Magufuli alikuwa rafiki yake lakini aliwahi kumtupa jela mara 7

Msukuma amesema hakuna kitu kiñauitwa Sukuma gang ila hizo ni mbinu za Chadema kuigawa CCM ili waiteke Kanda ya Ziwa

Source Star tv The Big Agenda
 
Kwa maana hiyo anathibitisha kuwa watu wanswekwa ndani na Rais na siyo kwa makosa wanayoyafanya...!!
 
Mbunge wa Geita vijijini amesema Watanzania wampe muda Rais Samia wasimuhukumu kwa hii miaka miwili

Msukuma amesema Magufuli alikuwa rafiki yake lakini aliwahi kumtupa jela mara 7

Msukuma amesema hakuna kitu kiñauitwa Sukuma gang ila hizo ni mbinu za Chadema kuigawa CCM ili waiteke Kanda ya Ziwa

Source Star tv The Big Agenda
Kasema ukweli kabisa. Baada ya kushindwa hawa vipusa vya wapinzani vikaja na agenda ya sukuma gang. Ki ukweli hakuna sukuma gang
 
Mbunge wa Geita vijijini amesema Watanzania wampe muda Rais Samia wasimuhukumu kwa hii miaka miwili

Msukuma amesema Magufuli alikuwa rafiki yake lakini aliwahi kumtupa jela mara 7

Msukuma amesema hakuna kitu kiñauitwa Sukuma gang ila hizo ni mbinu za Chadema kuigawa CCM ili waiteke Kanda ya Ziwa

Source Star tv The Big Agenda
Bado kuna Mambo hayapo Sawa aise, Ni huzuni sana.!
 
Back
Top Bottom