Ndugu zangu watanzania,
Serikali ya Rais Samia inaongoza kwa kuwahisha mishahara kwa watumishi wa umma Barani Afrika,yaelezwa kuwa Tangia kuingia madarakani kwa Rais Samia watumishi wa umma...
Akizungumza kwenye Mkutano wa hadhara huko Kigoma , Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu , amewaeleza wakazi wa Kigoma kwamba huu mpango wa ccm kuorodhesha kaya masikini ili kuzipatia Pesa za...
Kifo hakina huruma, alipata kuimba dokta Remmy Ongara.
Akionekana mwenye majonzi na haamini kilichotokea hadi sasa, Nape ameonekana akitafuta faraja japo kwa kuchezea vumbi kama mtoto wakati wa...
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa mwaka wa fedha 2023/24 imejipanga kuandaa na kutoa Hati za Hakimiliki za Kimila 520,000, Hatimiliki 500,000, Hati za Sehemu ya Jengo 1,000 na...
Anaandika
ELIUS NDABILA
WANANCHI WA SAE MKOANI MBEYA WAMUOMBA MHE RAIS NA SPIKA TULIA KUWASAIDIA.
Na Elius Ndabila
0768239284
Baada ya takribani siku nane tangu Wananchi wa Sae maeneo yao...
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Mbunge wa Makete Festo Sanga ameandika ujumbu wa kumshukuru Rais Samia kwa kujibu kwa vitendo ombi la Wana-Makete la kuboresha zaidi miundombinu ya Elimu pamoja...
Wamiliki wa baa na hoteli jijini Mwanza wamesema wataanzisha mgomo kuanzia kesho kutokana na baraza la Taifa la mazingira NEMC kufunga baa na hoteli zao huku nyingine zikipigwa faini kubwa kwa...
Kuna wakati unaweza namna taifa linavyoongozwa Unaishia kupata hasira tu.
Haijalishi awamu ipi, ila nchi za kiafrika kuna wakati zinakuwa na ombwe la uongozi. Viongozi hawajali vipaumbele vya...
Wanabodi ngoja leo nideclare interest mnajua Mimi ni CCM Damu yani ukichanja damu yangu ni CCM tu.
Lakini sasa CCM wamegusa maslai yangu tena inaniuma [emoji22][emoji22] Sana nilikuwa Tu nasikia...
SERIKALI KUCHUKUA HATUA KUTATUA MIGOGORO BAINA YA HIFADHI NA WANANCHI
"Serikali ina mpango gani wa kutatua changamoto kati ya wananchi na maeneo ya hifadhi za Taifa ikiwemo Jimbo la Momba" - Mhe...
Sehemu ya mahojiano ya Wakili Msomi Peter Kibatala na Mkuu wa upelelezi Mkoa wa kipolisi Kinondoni, SSP Gerald Ngichi kuhusu kesi nambari 112 ya Mwaka 2018 inayowahusu Freeman Mbowe na wenzake...
Hapa kuna hoja.
Hazina kupitia Wizara ya fedha inakuwaje watumishi wa Umma (serikali) hupokea mishahara yao tarehe tofauti tofauti?
Mara waanze Serikali Kuu, mara Serikali za Mitaa, Mara...
Mkisema upeo wangu ni mdogo sawa tu! Na matusi yoote juu yangu sawa tu,
Lakini leo nataka tu niseme ukweli wa moyo wangu,
Mh Tundu Lissu ni kweli kabisa ni kati ya wanasiasa wanaoifaa sana...
Nionavyo Mimi,
Kweli mpango ulikuwa ni mzuri kusaidia kaya masikini.
Lakini kwa Hali inavyoendelea kama kuna pesa zimeliwa nchi hii basi ni hizi za TASAF. Zimeliwa kweli.
Lakini hapa...
MBUNGE JANEJELLY NTATE AWAOMBA WANANCHI KUWA WALINZI WA MIRADI YA MAJI INAYOZINDULIWA KIPINDI HIKI CHA MBIO ZA MWENGE
Mbunge wa Viti Maalum anayewakilisha Wafanyakazi Nchini anayetokea Mkoa wa...
Tulitegemea kwamba wale walioumiza wengine wachukuliwe hatua kwa mjibu wa sheria, au hata kuomba msamaha hadharani lkn ni tofauti ndio kwanza wanapandishwa vyeo.
Tulitegemea kwamba wale...
Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mhe. Jokate Mwegelo ameandaa mbio za Mama Wajawazito wilayani Korogwe zilizopewa jina “#MAMATHON’. Mbio hizo zinazotarajiwa kufanyika Jumapili ya Mei 28 mwaka huu lengo...