Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hotuba ya waziri wa Maji Jumaa Hamidu aweso (mb), akiwasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi ya fedha ya Wizara ya Maji kwa mwaka 2023/24
0 Reactions
0 Replies
600 Views
Hotuba ya Waziri wa Kilimo, Hussein Mohamed Bashe (mb), kuhusu makadirio ya mapato na matumiziya fedha ya Wizara ya Kilimo kwa mwaka 2023/2024
0 Reactions
0 Replies
476 Views
Kwanza kabisa napenda kuweka kumbukumbu sawa, mimi ni miongoni mwa member wa JF ambaye sikuwahi kumkubali Magufuli na mara zote (mpaka sasa hivi) nimepingana na siasa chafu na siasa za kikatili...
15 Reactions
78 Replies
4K Views
Ni wazi Uchaguzi wa Serikali za Mitaa tutafanya kwa kutumia Katiba ya JMT hii ya sasa. Ninachojiuliza endapo hadi October 2025 Tukiwa hatuna Katiba mpya Chadema watafanyaje? Wanatumia nguvu na...
1 Reactions
35 Replies
2K Views
Dar es Salaam. Ripoti ya kila mwenzi ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kuhusu mwenendo wa uchumi (MER) Aprili, inaonyesha deni la Taifa limeongezeka kwa asilimia 8.9 mwaka 2023 ikilinganishwa na...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe amewaaga na kuwashukuru Wananchi wa Katavi kwa Ushirikiano Wao Mbowe amesema wamekuwepo Katavi kwa siku 3 na mwitikio ulikuwa mkubwa sana na sasa wanaelekea Mkoani...
2 Reactions
8 Replies
666 Views
Hotuba ya Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Damas Daniel Ndumbaro (mb), akiwasilisha mpango na makadirio ya mapato na matumizi ya wizara kwa mwaka wa fedha 2023/2024
0 Reactions
0 Replies
457 Views
Hotuba ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais kuhusu mapitio ya utekelezaji wa mpango na bajeti kwa mwaka 2022/23 na makadirio ya mapato na matumizi
0 Reactions
0 Replies
351 Views
Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 11, Kikao cha 34 leo Mei 26, 2023. ==== Waziri Simbachawene: Tunafuatilia madai ya wanufaika wa TASAF kutolipwa Baada ya Mdau wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Akiba za kigeni za Tanzania zimepungua kwa dola milioni 600 (sawa na takriban trilioni 1.4 za Kitanzania) katika kipindi cha mwaka uliopita, lakini serikali inasema hakuna sababu ya kuhangaika na...
3 Reactions
27 Replies
2K Views
Professor Malango Chinthenga. Ameandika kitabu kinachojulikana AFRICA MAGUFULI and CHANGE sasa wale Haters/ant- Magufuli mnalo, Legacy ya Magufuli sio Tanzania tu bali Africa nzima na Dunia kwa...
81 Reactions
254 Replies
13K Views
Kama kichwa kinavyojieleza. Mbowe kwa sasa amekuwa kimya na hata akijaribu kufanya kitu au kuongea hasikiki wala kutrend kabisa. Mbaya zaidi mikutano yake watu hawajitokezi kabisa hali imepelekea...
1 Reactions
16 Replies
963 Views
Toka Bungeni, Dodoma Mbunge asimama kutaka Kijiji cha Mpigamiti kibadili jina Kijiji cha Mpigamiti kipo katika kata inayojulikana pia kama Mpigamiti jimbo la Liwale mkoani Lindi, Tanzania...
6 Reactions
49 Replies
6K Views
Tanzania imeungana na Afrika Kusini kuadhimisha Siku ya Afrika Mei 25, 2023 manispaa ya Mogala nchini Afrika Kusini kusherehekea miaka 60 ya Umoja wa Afrika tangu kuanzishwa kwake Mei 25, 1963...
1 Reactions
1 Replies
418 Views
Pumzika kwa Amani Willium Kumkoma Nyani Giladi Mzee wa Sauti ya Umeme FMES
30 Reactions
184 Replies
21K Views
Ndugu zangu watanzania, Serikali ya Rais Samia inaongoza kwa kuwahisha mishahara kwa watumishi wa umma Barani Afrika,yaelezwa kuwa Tangia kuingia madarakani kwa Rais Samia watumishi wa umma...
4 Reactions
101 Replies
6K Views
Akizungumza kwenye Mkutano wa hadhara huko Kigoma , Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu , amewaeleza wakazi wa Kigoma kwamba huu mpango wa ccm kuorodhesha kaya masikini ili kuzipatia Pesa za...
2 Reactions
14 Replies
983 Views
Kifo hakina huruma, alipata kuimba dokta Remmy Ongara. Akionekana mwenye majonzi na haamini kilichotokea hadi sasa, Nape ameonekana akitafuta faraja japo kwa kuchezea vumbi kama mtoto wakati wa...
28 Reactions
220 Replies
13K Views
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa mwaka wa fedha 2023/24 imejipanga kuandaa na kutoa Hati za Hakimiliki za Kimila 520,000, Hatimiliki 500,000, Hati za Sehemu ya Jengo 1,000 na...
0 Reactions
5 Replies
703 Views
Anaandika ELIUS NDABILA WANANCHI WA SAE MKOANI MBEYA WAMUOMBA MHE RAIS NA SPIKA TULIA KUWASAIDIA. Na Elius Ndabila 0768239284 Baada ya takribani siku nane tangu Wananchi wa Sae maeneo yao...
2 Reactions
43 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…