Kijana mjinga sana, kakata tamaa, hatumii elimu yake ku-reason, kakata tamaaa, anasifia serikali kila anapopewa nafasi kutoa mchango wake. Je, ni msemaji wa serikali?
Ana nafasi gani ndani ya...
David Kafulila aliwahi kusema wakati ule wa Magufuli kwamba agenda ya kupambana na ufisadi imehama, kwa maana kwamba imetoka Chadema na kwenda CCM. Kwa sasa nadhani na huko imeshahama! haipo tena...
Mijadala mingi humu JF ni ya kulalamikia juhudi, mipango na mikakati ya kitaifa inayofanywa na serikali.
Watanzania muda wote tunajiona tuko ktk taifa la hovyo na lisilo na jambo jema lolote...
Nichukue nafasi hii kumsihi Mkuu wa wilaya ya Uvinza awe na busara anapojaribu kutatua mgogoro huu wa ardhi maana namuona anapendelea sana upande mmoja tena ni kama anajaribu kuichonganisha...
Kwa sasa ni wazi kuna hujuma kubwa ya ujenzi ya uwanja wa ndege wa Mwanza. Nimebahatika kupitia pale kama raia na mlipa kodi wa nchi hii na kuangalia ujenzi ulivyo jengo lile ni kiwango cha chini...
Kila mzazi ana jukumu la kumpunguzia hali ya kusota mtoto wake kwa kumuandalia mazingira wezeshi, nami nataka niende extra mile ya kujaribu apate uraia wa Zanzibar.
Kwa ninachokiona ni wazi...
BUNGE jana limeibua Kashfa ya upigaji wa zaidi ya trilioni 1.5 kwenye mradi wa bwawa la nyerere lakini tangu jana tuhuma hizo zimeibuliwa bungeni na mbunge wa kisesa, luhaga mpina nilitegemea zito...
Haya hapa ni madhila barabarani yakiwahusisha wale vinara wa kutuasa kuhusiana na ajali barabarani:
Miili ya wanandoa wapya kuzikwa leo Mbeya
Kwanini kama nia ni njema hatujifunzi kutoka kwa...
Television zote nchi nzima habari ya kwanza ni bwawa la Mwalimu Nyerere kujazwa maji. Ilikuwa shangwe na vigelegele nchi nzima kumpongeza.
Ni star tv tu ndio walirusha habari hiyo kama ya...
Napenda nitoe mawazo yangu kwenye mikopo ya serikali. Nitaelezea kwa mtiririko wa utekelezaji ili niwasaidie Serikali badala ya kulalamika na kupigiana madongo
Mikopo yote ya serikali bila...
Hakuwa waziri mkuu wa kwanza, Ila cha ajabu ndio waziri mkuu anayeenziwa kuliko wote hebu tazama,
1. Uwanja wa sokoine mbeya
2. Sokoine University of agriculture
3. Sokoine road Arusha/Dar es...
Anataka kusema tulikuwa hatupati chakula cha kutosha kwasabb ya ukosefu wa mito?
Mito yooote iliyosambaa kila kona nchi hii imeshindwa kutupatia chakula kwasabb gan? Na je, hizo sababu zimepatiwa...
Juzi niliamua kumsindikiza Rafiki yangu Arusha kutoa Mahari tukaenda Kilimanjaro Bus kukata tiketi nashangaa wanasema Mabus yao hayaingii Magufuli Stendi Gari zao zote zinapita Bagamoyo kuna moja...
Hii video ni baada ya Dk Mwinyi kushinda mchakato ndani ya CCM na kuteuliwa kuwa mgomea urais wa Zanzibar kupitia chama chake.
Hayati Magufuli alisema mengi kuhusu Mwinyi lakini mwishoni akatoa...
Kwa mtindo wa Force Account uliofanyika mahali pengi nchini, sasa upigaji mkubwa unadhihirika kwa hata viongozi wa Mikoakuchoshwa.
Siyo rahisi kuyaficha hayo madudu yanayoanza kufichuka kutokana...
Habari wadau.
Benki ya Dunia kupitia dirisha la kusaidia Nchi masikini la IDA ,imeidhinisha mkopo nafuu wa dola za Marekani Milioni 775 sawa na shilingi Tilioni 1.8 kwa ajili ya Tanzania..
Kwa...
Akijibu swali la mwandishi wa habari aliyetaka kujua kwanini sasa kunaibuka makundi ndani ya CCM Dr Diallo amesema na yeye anasikia tu kwamba kuna makundi likiwemo Sukuma gang.
Diallo amesema...
Kuna vitu Rais yoyote akifanya ni rahisi mno kutengeneza maadui wapya weengi mno
La kwanza ni kuongeza kodi
La pili ni kupiga marufuku 'watu wasiongee'
Kiongozi yoyote akifanya hayo ni dhahiri...
Jana Tanzania tuliandika Historia kwa ufunguzi wa bwawa la Nyerere (JNHPP) kuanza hatua ya kwanza ya ujazaji maji hii ni hatua kubwa kwa taifa letu na kitu kingine nilichogundua ni kwamba Rais...
Huyu JPM ndiye mtu ambaye alijinasibisha na usafi,kupinga ufisadi, wakati akiwa anaila nchi bila kunawa. Ni vile tu awamu hii Wana kifua Cha kukaa kimya, msikilize Malima, RC Mwanza