Hali inazidi kuonesha kuwa visiwani kimeumana.
Tazameni na sikilizeni kinachozungumzwa na mwana wa mfalme.
Nauona mwisho wa CCM baada ya kutawala kwa 60yrs+.
Kwa misuguano hii kamwe haijengi...
Ndugu zangu wahenga walishasema mapema ya kwamba MCHUMA JANGA HULIA NA NDUGUZE.
Ki kawaida matatizo humuumiza zaidi yamhusuyo kuliko jirani na mfano hai ni suala la kufiwa aumiaye na msiba ni...
Mkuu wa Wilaya ya Rorya Mkoani Mara, Juma Chikoka amewataka wananchi wa vijiji vya Mkengwa na Kibuyi kushiriki katika shughuli za maendeleo kutokana na Serikali kutoa kiasi cha shilingi milioni...
Salaam Wakuu
Viongozi wakuu wa CHADEMA wameanda zao Italy na Ujerumani baada ya kuhitimisha Ziara ya +255.
Chama kikuu cha upinzani, CHADEMA, hivi kilizindua kampeni maalumu ya kudai katiba mpya...
Watanzania tuna matatizo sana. Unakuta mtu Hana utaalamu wowote naye anakuwa eti mchambuzi na mbishi kwelikweli.
Hivi kibinafsisha bandari nayo ni issue? Nini maana ya uwekezaji? Nini maana ya...
Kwa wanaofuatilia historia ya nchi yetu tangia uhuru, ambapo baada ya uhuru makampuni, viwanda, mashamba makubwa, shule, benki nyingi zilikuwa chini ya sekta binafsi.
Nyerere kwa uelewa wake...
Nimeona kwenye mkeka wa wakurugenzi teuze Mpya na mabadiliko ya watendaji wa halmashauri jina hili la Geofrey Nauye ni mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya mji wa Newala sehemu ambayo alikuwepo...
Waziri wa fedha na Mipango Mhe.Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kuwa wizara inaendelea kusimamia deni la Serikali kwa kuzingatia Sheria ya Mikopo, Dhamana na Misaada,
Mhe. Mwigulu ameyasema hayo leo...
Suala bandari nawaomba watanzania tuwape nafasi waheshimiwa wabunge na mheshimiwa waziri mbarawa ili tupate ukweli hata huu mkataba unatembea mitandaoni huenda ikawa sio huo usiosainiwa na...
Umegundua kadri umaskini na ukosefu wa ajira unavyoongezeka ndivyo muda wa vipindi vya redio na TV kujadili michezo unavyoongezeka;
Kipindi cha michezo kinapewa airtime ya masaa matatu na mara...
Kuna watu wamefiwa, wengine wana kazi maalumu, wengine wanatoa huduma kwa jamii, mambo yamesimama hakuna malipo yoyote maofisini!
Je, ni kweli nchi imefilisika? wiki nzima hakuna malipo yoyote...
MHE. EDWARD LEKAITA AISHAURI SERIKALI KUACHANA NA SHERIA ZA KUNYANG'ANYA MIFUGO KWENYE UHIFADHI
Mbunge wa Jimbo la Kiteto Mhe. Edward Ole Lekaita amesema Wizara ya Maliasili na Utalii inapaswa...
Sijui kama mmegundua hili? Wale vidampa wanaomkosoa Magufuli wengi wao wamejibanza mtandaoni tu na hasa Jamiiforums.
Mtaani mambo ni tofauti sana. Watu wanamkumbuka sana Jemedari wa vita (chuma...
DP world tuwaunge mkono,
Hawa jamaa watatuboreshea ufanisi na mapato yataongezeka. Sio lazima kila kitu kiendeshwe na wazawa lazima kupata uzoefu kwa walioendelea.
DP world kama ikiwezekana...
NCHI HII HAINA USAWA KABISA.
Nafasi zote za juu huteuliwa wao na familia zao au jamaa zao au rafiki zao. Mwananchi maskini kutoka Shishiyu wilayani Maswa mkoani Simiyu ambaye hana unasaba wala...
Kwa kifupi Mashirika yote ya umma yanayofanya Biashara yanapaswa kupigwa bei, tubakie na mashiria kama TANAPA basi.
Kama Bandari inakodishwa then TTCL, ATCL, wakina TANESCO wanaachwa basi kuna...
Anaandika Mo Mlimwengu.
Kagera ni mojawapo ya mikoa ambayo inajulikana katika nchi ya Tanzania. Mkoa wa Kagera umekuwa ukijulikana siku zote kwa sifa ya kuwa mkoa wenye mandhari nzuri na hali ya...
Mbunge wa Nzega Vijijini Dr Kigwangalla amesema aliacha Kazi ya Udaktari kwa sababu Mshahara ulikuwa mdogo.
Dr Kigwangalla amesema Baada ya kuusotea Udaktari kwa miaka 18 alijikuta analipwa tsh...
Hili sakata la ardhi ya Bagamoyo ya hekari elfu sita kuwa ni mali ya Zanzibar lina ukakasi na halifai kupita bila ya kupata mawazo mbalimbali yenye lengo la kuboresha uelewa mpana wa raia wa...