Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mnyonge mnyongeni haki yake apewe. "Pamoja na ubinadamu wako nabii jiwe upumzike kwa amani."
33 Reactions
131 Replies
15K Views
Mbowe hajafanya Ubaguzi wowote bali ametoa angalizo ambalo wengi wanaweza kuhisi. Sijasikia Msomi yoyote akiiponda kauli ya Mbowe kwa sababu wanajua imelenga kuponya Siyo kujeruhi CCM kuweni...
6 Reactions
6 Replies
2K Views
Watanzania tunataka nini zaidi kitokee ili tujue kuwa tunauzwa?
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Hii thread ni fupi isichanganywe Iko hivi, KINGA ya Wana TISS kwenye Ile Document iliyopelekwa Bungeni (kikao Cha Wana CCM) pamoja na hii issue ya Bandari butakia ndio mwisho wa Tanzania. Kama...
8 Reactions
11 Replies
2K Views
________________________ Suala la ubinafsishaji wa Bandari ya Dar es Salaam halina tofauti na mikataba ya kina chief Mangungo. Tunaweza kusema tofauti moja tu kwamba Chief Mangungo hakujua kusoma...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa kuanzia watatembelea Italia na Ujerumani . Taarifa kamili ya ziara hiyo ya Ghafla hii hapa
17 Reactions
112 Replies
9K Views
TUNDU LISSU ANASEMA HAJAONA PALIPOANDIKWA MIAKA 100,SASA MUULIZENI MKATABA USIOVUNJIKA BAADA YA KUSAINIWA MAANA YAKE NINI? Swali ambalo limeulizwa sana mkataba huu ni wa muda gani? Wapi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hii ndio kauli ya serikali iliyotolewa leo , na kwamba mambo hayo mawili yamesababisha kuchelewa kukamilika kwa matengenezo ya vichwa vya Treni hiyo . Chanzo: Swahili Time Toa Maoni yako...
7 Reactions
25 Replies
2K Views
Wandugu me naungana na serikali Kwa 100% kwenye hili Jambo la bandari Jamani kuna mambo lazima tukubali kusaidiwa because Sisi wenyewe tumefeli huo ni ukweli na sio dhambi Mara zote bandari...
10 Reactions
57 Replies
3K Views
Walipoondolewa Wamasai kule Loliondo, kuna watu walitetea sana maamuzi yale wakidhani maamuzi kama yale yataishiwa kwa Wamasai tu, hawakujua yale maamuzi yalikuwa yanaweka precedence mbaya kwa...
10 Reactions
17 Replies
2K Views
Katika ukuwaji wangu sijawahi kuona au kusikia nchi yetu ya Tanzania kuingia mkataba wenye manufaa na kampuni au wawekezaji wa kigeni dhidi ya rasilimali za nchi hii. 1. Makaburu waliwekeza...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Watanzania wenzangu, tumedharauliwa kiasi cha kutosha, tumeonewa kiasi cha kutosha, na watanzania wenzetu huko Loliondo wamenyanyaswa kiasi cha kutosha. Vijipesa vya mwarabu vimewatia upofu...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
1. WATANZANIA Watanzania wote katika kila Jimbo wahakikishe wanampigia simu Mbunge wao wakimkanya kuhusu kuridhia mkataba ovu wa kuwauza Watanganyika Uarabuni. 2. ASASI na TAASISI MBALIMBALI Kila...
0 Reactions
2 Replies
841 Views
Kiongozi mzalendo ni mzalendo tu. Lazima mema yake kwa taifa lake ya outweigh mabaya yake. Leo hii hata miaka mitattu haijakatika kila mtu anakumbuka na ina bakia story tu kuwa angekuwepo hii...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Kwa haya mambo yanayoendelea katika nchi yetu yanaendelea kuonesha kwanini mafisadi, wala rushwa na wafanya magendo walifurahi baada ya kifo cha Magufuli. Walijua kuwa wamepata mwanya wa kufanya...
22 Reactions
90 Replies
4K Views
Bunge limepitisha Muswada wa Sheria ya Tume ya Mipango wa mwaka 2023 huku ikiondolewa Wizara ya Fedha na Mipango na kupelekwa kwa Ofisi ya Rais. Muswada huo umewasilishwa na Waziri wa Nchi katika...
0 Reactions
0 Replies
740 Views
Suala la bandari, tatizo sio DP World, tatizo ni sisi wenyewe. Tatizo namna ya viongozi wa bandari wanavyopatikana. Mkurugenzi, bodi na menegement nzima unachaguliwa na Rais, hapo hakutakuwa na...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo, amewataka vijana wa Afrika, hususan kutoka Kusini mwa Afrika, kujitambua na kuwa tayari kuzitumikia nchi zao kwa weledi, uwezo na...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Bado naendelea kujiuliza, Kwanini mambo Yako hivi?. Rais Wetu, hao wanaokuletea majina, wamekupa nini?? Mbona wanakugombanisha na watu?. Ni kweli ,huenda umehakikishiwa Urais Kwa namna yoyote...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…