Tundu Lissu anasema hajaona palipoandikwa miaka 100, Muulizeni mkataba usiovunjika baada ya kusainiwa maana yake nini?

Mwande na Mndewa

JF-Expert Member
Feb 26, 2021
950
2,866
TUNDU LISSU ANASEMA HAJAONA PALIPOANDIKWA MIAKA 100,SASA MUULIZENI MKATABA USIOVUNJIKA BAADA YA KUSAINIWA MAANA YAKE NINI?

Swali ambalo limeulizwa sana mkataba huu ni wa muda gani? Wapi palipoandikwa miaka 100? Au wapi palipoandikwa miezi 12 ambayo TPA wamesema? Jibu lipo kwenye kufungu cha 23(4) cha mkataba.

Kifungu hicho kinasema mkataba ukishasainiwa, pande mbili za mkataba (serikali ya TZ na serikali ya Dubai) hakuna upande utakaoruhusiwa kukosoa (denounce), kujitoa (withdraw), kuzuia (suspend) au kuvunja mkataba (terminate) kwa sababu yoyote ile.

Kifungu hicho kinasema hata ikitokea upande mmoja ukashindwa kutekeleza masharti ya mkataba, bado hairuhusiwi kuvunja, wala kujitoa kwenye mkataba huo. Maana yake ni kwamba, Mwarabu akisema atapanua bandari ya Dar iwe kubwa zaidi, halafu akashindwa kufanya hivyo, haturuhusiwi kuvunja mkataba. Sijui unaelewa?

Hawakuishia hapo, kifungu hichohicho kinaeleza kwamba hata tukiingia kwenye mgogoro wa kidiplomasia na Dubai, bado haturuhusiwi kuvunja mkataba (we can not terminate the agreement even in severance of diplomatic relation). Yani hata ikitokea sisi na UAE tumevunja uhusiano wa kibalozi, tukamfurusha balozi wao, bado wataendelea kuendesha bandari yetu. Hata ikitokea tukapigana vita, bado haivunji mkataba. Waaarabu wataendelea kuendesha bandari yetu, penda tusipende.

Kwa lugha rahisi huu mkataba ni wa MILELE. Kwahiyo wale waliokuwa wanauliza kifungu gani kinachoeleza muda wa mkataba? Ni kifungu cha 23(4). Kinasema mkataba huo ni wa MILELE na MILELE mpaka Kristo atakaporudi kulichukua Kanisa.

#UmeendaWapiUzalendoWaTunduLissu!?
 
Duh, hivi harakati za NYERERE zililenga nini hasa? Mbona kama sielewi vile.
 
Lissu anasema hajaona kifungu cha sheria cha miaka miaka moja kilipo (hakipo) kama mnavyosema, maana yake, mkataba hauna mwaka wa ukomo, yeye ni Mwanasheria si kama nyie mnavyoropoka, bila kusoma, yeye kausoma, na sheria anaijua na madhara yake ndio maana anaongea kwa taadhari.
 
Back
Top Bottom