Katika ukuwaji wangu sijawahi kuona au kusikia nchi yetu ya Tanzania kuingia mkataba wenye manufaa na kampuni au wawekezaji wa kigeni dhidi ya rasilimali za nchi hii.
1. Makaburu waliwekeza Tanesco, hutukuwahi kunufaika na uwekezaji huu ambao ulipelekea ukaushaji wa mabwawa baadae nchi ikawa ya Giza ikaja kuzaa Richmond plus IPTL.
2. Mikataba ya madini hususani dhahabu, mnakumbuka saga la buzwagi na kashfa ya kuwafukia wachimbaji wadogo na wale waliokataa uwekezaji, tumeambulia mashimo na milima ya vifusi. Mnakumbuka serikali ilivyojaribu kuuelimisha umma manufaa ya wawekezaji wa kigeni.Tuliambulia mrahaba wa % ngapi tulipigwa peupe, michanga yenye madini kwenda nje mnakumbuka?
Mpaka kiongozi mmoja marehemu akakataa mikataba ya namna hii mnajua? Tumeambulia Nini tuambieni?
3. Mlimani city na chuo kikuu Cha Dar mnalijua mwekezaji atarudisha lini na anapata sh.ngapi? mtuambie sasa.Huu mkataba maprofesa wamehusika wakapigwa.
4. Mnakumbuka yale ya Mtwara na wimbo ya wanamtwara walioona mbali wakaulizana INATOKA au HAITOKI?mwanamtwara alitakiwa ajibu moja INATOKA au HAITOKI, ulikuwa ukijibu INATOKA wanakushughulikia.
Chini ya Professor Sospeter nani hii na wawekezaji wazawa Professor akiegemea na wawekezaji wakigeni, wazawa wakiambiwa hawawezi hawana pesa za kuvunja gesi wanazo za kutengeneza juisi. Midahalo ya kutuelimisha ikafanywa Kwa power point presentation Kwa wasomi udsm matv yakaonesha, huyuhuyu Sospeter mtu mbadi akatutangazia tutavuna gesi hadi kwenye mabomba kama maji.
Yakowapi bei ya gesi unajua wewe? Akaja Rais sasa ni Marehemu akatuambia hatahusija Wala kuzungumzia gesi TUMEPIGWA.
5,6,7,8 Ongeza na wewe.
9. Bandari tushapigwa na tunapigwa. Kama watanzania ni wavivu kusoma vitabu vikubwa,watawezaje kusoma mikataba iliyoandikwa Kwa lugha ngumu za kisheria huku umewekewa mzigo hoteln tena ya hadhi ya nyota kumi.
Serikali ni wazuri sana kuandika ripoti lkn matokeo yake huwa mabaya, ambayo baadae tunajutia. Wachache tunanufaika na wengi hatuambulii kitu. Hii ni hatari sana.
My take tupeni mkataba/mikataba ambayo serikali iliingia na makampuni ya kigeni kwenye rasilimali nchi hii TULIYONUFAIKA NAYO mkileta ndio muwape waarabu wa DUBAI hiyo bandari.