Niseme Kwa kifupi kwamba, Ndugai alitoa mawazo kuhusu mikopo ya nchi na tozo kuwakilisha kilio cha wananchi wengi, ila nasikitika kwamba ccm wameshinikiza ajiuzuru Kwa maslahi ya chama Chao...
Tuchukulie kwa mfano Bwawa la Nyerere limeshakamilika na linazalisha hizo megawatt 2,115.
Je, inawezekana kisera na kikatiba kulikodisha kwa mfano miaka 100 ili kuongeza ufanisi katika uzalishaji...
Nilishangaa sana na ninashangaa mpaka Leo mamlaka kumfanya Mbowe ni special opposition leader? Mbowe muda mwingi yupo ikulu tofauti na wapinzani wengine ..ninani alimuongopea rais amwamini Mbowe...
1.TRC kuuzwa Kwa Wahindi na kuwa TRL, wafanyakazi waliiba mno na waliofukuzwa waling'oa mataluma ya reli.
2.TANESCO Kwa makaburu, wafanyakazi walivyobanwa walilikausha mabwawa ya kudhalisha umeme...
Kama Wananchi Wanaotaka Serikali 1 au 3 ndio sasa tutasikia.
Vinginevyo tuendelee na Serikali zetu 2 kwa heshima na utii kwa mujibu wa Katiba ya JMT na ile ya Jamhuri ya Zanzibar.
Jumaa kareem!
Wasalaam, nakumbuka rais paul kagame enzi za utawala awamu ya nne aliwasema Tanzania hakuna viongozi wenye uchungu na rasilimali za nchi bali kuna wachumia tumbo watanzania tulio wengi tulimbeza...
Rais mstaafu Mzee Kikwete amesema Chama kisiwavumilie wazushi na waongo wanaokigawa chama.
Kikwete amesema kuelekea 2025 uzushi na Uwongo utakuwa mwingi lakini hakuna wa kumshinda Rais Samia iwe...
Huko hai Kilimanjaro alikozaliwa mwenyekiti wa Chadema Taifa, wananchi wameanza maandamano ya kupinga kuuzwa kwa bandari ya Dar es salaam.
Maandamano hayo yataanzia nyumbani kwa Freeman Mbowe...
Tumesikia ishu ya bandari kuuziwa mwarabu, mradi wa LNG nao mkataba wake haueleweki wa namna Tanzania itakavyonufaika, barabara ya kibaha moro dodoma kuendeshwa na mwekezaji na kulipiwa tozo kila...
Uhamisho wa Wamasai tarafa ya Ngorongoro ilikuwa ni trela kwa sababu Mwarabua anaitaka sana ikibidi Loliondo nzima kwa ajili ya Utalii wa uwindaji na utalii wa Picha.
Kuna hitajika Wamasai 300...
Wanasiasa wakitaka kununua V8 hakuna anayewakataza; wakitaka kuuza rasilimali hakuna anayewakataza. Ila wananchi wakitaka kufanya biashara kupata kipato Ndipo sheria uibuliwa na vizuizi kibao...
Kwa mbwembwe zote Msigwa kawaambia vijana wake wa maelezo wawahi bandarini kuandaa video fupi kuhusu ujio wa mabehewa ya ghorofa ili kuwa hadaa watanzania.
Hadi muda huu ile clip na story yake...
Ukiachana na wizi na ukosefu wa maadili ngono na Pombe je ni taasisi gani mmeweza kuiendesha ikaleta manufaa kwa taifa letu la Asali na masiwa?
Huyu Mama kosa lake lipo kuwa chini ya chama...
Nadhani wote sasa tumekwisha ona na kupata picha za mgogoro huu wa ubinafsishaji wa Bandari na mchakato mzima na jinsi habari za wajumbe wa Kamati ya Bunge ya miundo mbinu walivyosafirishwa kwa...
Hilo sakata limeibua wanafki wengi sana, nimeona wale muda wote waliokua wanamtia moyo raisi wetu wameanza kumtukana matusi.
Tatizo ni bandari au kuna mengine? Mbali na uraisi, mama Samia ni...
Mbowe hajafanya Ubaguzi wowote bali ametoa angalizo ambalo wengi wanaweza kuhisi.
Sijasikia Msomi yoyote akiiponda kauli ya Mbowe kwa sababu wanajua imelenga kuponya Siyo kujeruhi
CCM kuweni...