CCM tambueni hii nchi sio mali ya yenu na kuna vizazi baada yenu

Subira the princess

JF-Expert Member
Mar 3, 2018
2,476
2,651
Wasalaam, nakumbuka rais paul kagame enzi za utawala awamu ya nne aliwasema Tanzania hakuna viongozi wenye uchungu na rasilimali za nchi bali kuna wachumia tumbo watanzania tulio wengi tulimbeza na kumtukana. Mh kagame akaenda mbali zaidi kwa kusema kwa nchi km tanzania BANDARI ya dar pekee bila madini wala misitu inatosha kukusanya mapato na kuhudumia watanzania kwa elimu bure mpaka level ya chuo kikuu, kujenga miondombinu, kutoa huduma za afya bure kwa kila mtanzania n.k.

Leo hii bandari ile ile ambayo ni kitovu cha uchumi wa tanzania ccm wameigawa kwa mabepari kwa kigezo cha kukuza mapato, hapa tujiululize km serikali imeshindwa kuwadhibiti wezi wazalendo wa bandarini itaweza kuwadhibti wezi wa kizungu? Au ndo kweli viongozi wetu wameshapewa 10% zao na wamevaa miwani za mbao wasione na masikio wametia gundi wasisikie kelele za wazalendo wa nchi hii? CCM tambueni hii nchi sio mali ya yenu na kuna vizazi baada yenu vitaishije km kila kitu mnagawa kwa mabeberu kwa tamaa zenu?

Mwisho kuliko kuwapa mabeberu twiga wetu, madini, misiti, gesi, ardhi n.k ni bora kama tulihitaji wawekezeji wa kudhibiti majizi ya bandarini ni bora tungeingia ubia na rais kagame tumpe bandari pekee na mapato yetu yangepanda na nchi ingepata neema na wananchi tungeishi km peponi.
 
wasalaam, nakumbuka rais paul kagame enzi za utawala awamu ya nne aliwasema Tanzania hakuna viongozi wenye uchungu na rasilimali za nchi bali kuna wachumia tumbo watanzania tulio wengi tulimbeza na kumtukana. Mh kagame akaenda mbali zaidi kwa kusema kwa nchi km tanzania BANDARI ya dar pekee bila madini wala misitu inatosha kukusanya mapato na kuhudumia watanzania kwa elimu bure mpaka level ya chuo kikuu, kujenga miondombinu, kutoa huduma za afya bure kwa kila mtanzania n.k.

leo hii bandari ile ile ambayo ni kitovu cha uchumi wa tanzania ccm wameigawa kwa mabepari kwa kigezo cha kukuza mapato, hapa tujiululize km serikali imeshindwa kuwadhibiti wezi wazalendo wa bandarini itaweza kuwadhibti wezi wa kizungu? au ndo kweli viongozi wetu wameshapewa 10% zao na wamevaa miwani za mbao wasione na masikio wametia gundi wasisikie kelele za wazalendo wa nchi hii? CCM tambueni hii nchi sio mali ya yenu na kuna vizazi baada yenu vitaishije km kila kitu mnagawa kwa mabeberu kwa tamaa zenu?

mwisho kuliko kuwapa mabeberu twiga wetu, madini, misiti, gesi, ardhi n.k ni bora kama tulihitaji wawekezeji wa kudhibiti majizi ya bandarini ni bora tungeingia ubia na rais kagame tumpe bandari pekee na mapato yetu yangepanda na nchi ingepata neema na wananchi tungeishi km peponi.
Wao wanasema, afadhali wapate 10% bila kuhangaika na usumbufu wa kusimamia bandari wao wenyewe kama serikali.

NB: Mwacheni Kwin Camilla aifungulie nchi.
 
Hapa dawa yake ilibidi kukata mikono ya wale wajinga wanaowapigiaga CCM kula ili wabaki na vipisi washindwe kupiga kura
 
wasalaam, nakumbuka rais paul kagame enzi za utawala awamu ya nne aliwasema Tanzania hakuna viongozi wenye uchungu na rasilimali za nchi bali kuna wachumia tumbo watanzania tulio wengi tulimbeza na kumtukana. Mh kagame akaenda mbali zaidi kwa kusema kwa nchi km tanzania BANDARI ya dar pekee bila madini wala misitu inatosha kukusanya mapato na kuhudumia watanzania kwa elimu bure mpaka level ya chuo kikuu, kujenga miondombinu, kutoa huduma za afya bure kwa kila mtanzania n.k.

leo hii bandari ile ile ambayo ni kitovu cha uchumi wa tanzania ccm wameigawa kwa mabepari kwa kigezo cha kukuza mapato, hapa tujiululize km serikali imeshindwa kuwadhibiti wezi wazalendo wa bandarini itaweza kuwadhibti wezi wa kizungu? au ndo kweli viongozi wetu wameshapewa 10% zao na wamevaa miwani za mbao wasione na masikio wametia gundi wasisikie kelele za wazalendo wa nchi hii? CCM tambueni hii nchi sio mali ya yenu na kuna vizazi baada yenu vitaishije km kila kitu mnagawa kwa mabeberu kwa tamaa zenu?

mwisho kuliko kuwapa mabeberu twiga wetu, madini, misiti, gesi, ardhi n.k ni bora kama tulihitaji wawekezeji wa kudhibiti majizi ya bandarini ni bora tungeingia ubia na rais kagame tumpe bandari pekee na mapato yetu yangepanda na nchi ingepata neema na wananchi tungeishi km peponi.
Akili kubwa mara nyingi hukaa kwenye KICHWA kidogo.
 
Back
Top Bottom