Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Shujaa Magufuli alikuwa anayaogopa sana Malumbano ya Kidini na alijitahidi sana kuwafanya Watu wa Dini zote wawe marafiki Pale Kinya udini unawasumbua sana ukienda Nairobi Wagalatia ukija...
8 Reactions
60 Replies
4K Views
Nahisi walikosea namba, message zimekuja kwangu. Hao walioshukuriwa hakuna hata mmoja ninaemjua. Swali linalofikirisha, ni kwanini atoe shukrani kwa jambo ambalo lilipaswa kuwa halali...
7 Reactions
31 Replies
4K Views
Nimepitia hotuba zake za kampeni mwaka 2005 wakati anagombea urais na kushuhudia madini na mipango mbadala ya maendeleo aliyoinadi. Nabaki najiuliza ilikuwaje akarudi tena kugombea ubunge wakati...
2 Reactions
47 Replies
3K Views
Kusema kweli maamuzi wa Rais Magufuli kuvunja mikataba tuliyoingia b yanatugharimu sana kama Taifa. Na yatatugharimu sana kama Taifa. Hizi kesi tunazoshtakiwa na sasa tunalipa mabilioni...
2 Reactions
11 Replies
959 Views
Hilo ni swali nimekuwa najiuliza toka wananchi walipoamua ghafla tusherehekea siku yao tarehe 22/7/2023. Nitangulize kujitangaza kuwa mimi ni mwananchi lakini kwa hili sijawaelewa YANGA. Hii...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Ni historia nzuri kuijua Ameandika Advocate: Othman Masoud KAMARA KUSUPA NA MTAMBO WA KASUMBA JUU YA ZANZIBAR Nimesoma katika Gazeti la An-nuur la tarehe 11- 17 Novemba, 2016, Makala ya...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Gazeti la Mwananchi lilipomuuliza Kamanda Muliro wa Kanda maalumu kuhusu kama ameshatoa kibali kwa Chadema Kufanya Mkutano wa Bandari Day huko Temeke Kesho Kamanda alisema vibali hutolewa wilayani...
6 Reactions
37 Replies
4K Views
Serikali na chama tawala wamefafanua vizuri sana kuhusu mradi huu wa bandari ya Dar es Salaam aliopewa mwekezaji kutoka Falme ya Dubai anayeitwa DP World. 2. Waziri wa Mipango na uwekezaji, Prof...
40 Reactions
90 Replies
7K Views
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA BUNGE LA TANZANIA Simu: +255 026 23222761-5 Ofisi ya Bunge, Fax No. +255 026 2322624...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Uongozi ni Karama, Uongozi ni Taranta, Uongozi ni Zawadi Kutoka kwa Mungu wa mbinguni Ipo tofauti kubwa Kati ya Leader, Manager na Administrator Freeman Mbowe is a leader Kiongozi wa Upinzani...
7 Reactions
13 Replies
1K Views
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa anazungumza na Waandishi wa Habari, Jijini Dar es Salaam muda huu kuhusu uwekezaji wa Bandari. Mbarawa: Pamoja na Serikali kuendeleza juhudi za...
6 Reactions
263 Replies
24K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amepokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Jamhuri ya Kiislamu ya Pakistan nchini Tanzania Mhe. Siraji Ahamad Khan...
0 Reactions
1 Replies
884 Views
Wakili Mwakabusi amekosoa hoja ya kusema kuwa bandarini kumetawaliwa na ufanisi mbovu ambayo imetumika kama sababu ya kuwapatia DPW kuiendesha. Mwakabusi amesema tuende kwa data kuhusu wizi...
31 Reactions
132 Replies
7K Views
Mwabukusi amesema huu mkataba haukuwa wa ghalfa, walikuwa nao wameuficha, na walivyoupeleka bungeni waliulizwa dharura imetoka wapi wakati wamekaa nao kwa miezi tisa na kusema kwamba yeye alitumia...
17 Reactions
41 Replies
7K Views
Mama Lwakatare na mbunge wa Kawe wa sasa ni kati ya maaskofu wanaoshiriki siasa na kuongoza wafuasi makanisani! Na viongozi wengi wenye makanisa binafsi ambao hutuambia mungu wao ndiye kamchagua...
3 Reactions
6 Replies
697 Views
Pamoja na Chadema kukaidi agizo la Msajili wa Vyama vya Siasa Jaji Mutungi na kuendelea na mkutano wake bado wito wa Msajili kuwataka Chadema wafike ofisini kwake uko pale pale Nini kitaamliwa...
2 Reactions
19 Replies
4K Views
MONTEVIDEO CONVENTION NA VIENNA LAWS TO TREATY HAIHIRUHUSU DUBAI KUINGIA KWENYE MKATABA NA NCHI YOYOTE #MKUTANO OKOA BANDARI ZETU TEMEKE. "Kabla sijaanza kuongea kuhusu bandari,nizungumzie...
8 Reactions
27 Replies
2K Views
Kwamba Hii CCM ndio ilete wawekezaji wenye tija! Angalia mfano toka wameanza kuleta wawekezaji na kimsingi wale wanaokuja ni wafanyabiashara wanaotafuta faida kupitia rasilimali sehemu mbalimbali...
0 Reactions
1 Replies
410 Views
Ni mchakato wa kupitishwa au kutokupitishwa kwa mkataba wa uendeshaji wa Bandari za Tanganyika Kati ya Mtawala na Mfanyabiashara wa Uarabuni ndg DUBAI PORT WORLD. { DP WORLD} Je, wanaopinga...
0 Reactions
3 Replies
533 Views
Ni kama hawaioni hii hali lakini ni ukweli mtupu usiopingika kuwa kwa tukio la Jana limeonyesha bado chadema ni chama kisichoweza au hakijajipanga kwa ajili ya mambo makubwa ya uongozi na kuchukua...
0 Reactions
1 Replies
433 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…