Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwanini tumedumaa sana na kujitengenezea mentality yakufanyiwa? Tunashindwa nini kuweka kwenye sera zetu kwamba ujenzi wa majengo Tanzania utafanywa na makampuni ya wazawa? Hata kama watataka...
3 Reactions
10 Replies
923 Views
Mwenyenzi Mungu alipotupa rasilimali alitupa pia mtu wakutupatia uhuru; mtu huyo alipopewa mamlaka yakutuongoza alipewa pia mbinu sahihi za kutuleteta pamoja. Mbinu hizi zilipitwa tunu na...
0 Reactions
3 Replies
555 Views
#Updates kesi ya bandari Sasa ni saa 14: 45 mchana majaji wanaingia karani anataja namba ya kesi ambao ni kesi no.05/ 2023. Mahakama inakaa kwa utulivu kidogo huku majaji wakiandika...
11 Reactions
58 Replies
10K Views
Namna nchi inavyojibrand kwenye masuala ya Kimataifa ni jambo la muhimu sana. Sio tu inatengeneza picha nzuri juu ya hiyo nchi kwa wageni ila inawafanya wageni waamini kuwa wanajihusisha na mtu /...
3 Reactions
14 Replies
912 Views
Kwa sasa Ligi imeisha kumetulia sana, habari za Dpworld zinakita kila kona ndio main talk ya nchi mithiri ya panya anaezurura kila kona pale paka akienda nje kupumzika kidogo. Hili suala...
2 Reactions
3 Replies
795 Views
Hivi ni nani akipewa Bil 2 kati ya hizo bil 260 atasimama imara kutetea taifa letu? Hata Tundu Lissu pamoja na Uzalendo wake hawezi shinda. Tumeshuhudia mlolongo wa kesi nyingi serikali...
13 Reactions
66 Replies
4K Views
Ndugu zangu watanzania, Muda mfupi nimetoka kumsikiliza Waziri wa Afya mh Ummy mwalimu kiongozi mchapa kazi na ambaye siku zote na wakati wote amefanya kazi kubwa Sana na ya kutukuka katika kila...
4 Reactions
61 Replies
6K Views
Waziri wa Afya mh Ummy Mwalimu Waziri wa Maji mh Juma Awesu Waziri wa Nishati mh January Makamba Kocha wa Simba mh Juma Mgunda Chonde Chonde Tanga msituangushe kuelekea 2030 Mlale Unono 😃😃
0 Reactions
7 Replies
785 Views
Leo tarehe 27/07/2023 Jopo la Mawakili wazalendo limepata nguvu mpya baada ya Wakili Msomi Francis Stolla kujiunga na Team Mwabukusi kwa ajili ya kuokoa Bandari za Tanganyika. Zipo taarifa kwamba...
13 Reactions
56 Replies
6K Views
Wewe angalia Wawekezaji wetu wa ndani akina ASAS nk hujitahidi Sana kulifadhili jeshi la Polisi kwa kujenga Vituo vya Polisi na Kuwapa Vyombo vya Usafiri Wawekezaji Kutoka nje wanaweza Kufadhili...
6 Reactions
12 Replies
1K Views
Julai 17, 2023 RCO Mbeya aliandika barua yenye wito wa kumtaka Mdude Nyagali kutoa vifaa vyake vya kieletroniki kwa ajili ya uchunguzi. YAH: WITO WA KUKABIDHI VIELELEZO SIMU NA VIFAA VYA...
7 Reactions
21 Replies
3K Views
Mwanasheria wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi, Mohamed Salum amesema mkataba baada ya kusainiwa Oktoba 25, 2022 ulipelekwa Bungeni Februari 2023 kwa ajili ya hatua za uridhiwaji ambapo alisisitiza...
6 Reactions
13 Replies
3K Views
Asalam, Maswali yameendelea kujirudia. Mengi yanasemwa na hata wakati fulani ya kujitukana wenyewe. Lakini hasa hasa NANI HASA MMILIKI wa Hili TAIFA LA TANZANIA? Nani hasa anaweza kusimama...
7 Reactions
48 Replies
6K Views
Tundu Lissu katika Ukurasa wake wa Twitter, ameweka Barua ya Polisi na kuandika Maneno haya "Wito wa polisi sio barua ya kirafiki, ni amri ya kisheria. Wito huo unatakiwa kueleza kosa la...
93 Reactions
509 Replies
61K Views
Mashairi haya yamepangiliwa sio na ney Bali kuna malaika alisimama nyuma ya Ney! Hakuna aliyeachwa humo ndani ! Ni zaidi ya hotuba inayofaa kuisikiliza kwa masaa sita bila kuchoka! Soma: Wimbo...
8 Reactions
25 Replies
4K Views
Kichwa cha thread ndio swali lenyewe Mimi nimefundishwa somo la viapo pale KKKT Kimara kwa mchungaji Matsahi kwahiyo naelewa madhara ya kukiuka viapo Je, ni kweli ukiapa unaishi kwa kiapo...
2 Reactions
56 Replies
3K Views
Ukiangalia kwa umakini kuna wakati wanasiasa ni wa kupuuza moja kwa moja. Wachambuzi mahiri, wanasheria nguli wanapinga mkataba kuwa una mapungufu ila Wana CCM ndo hawataki hata kusikia hilo...
2 Reactions
44 Replies
4K Views
Fedha anazotumia Spika wa Bunge la Tanzania, Dk. Tulia Ackson kwa ajili ya kampeni ya kuzunguka dunia nzima ili achaguliwe Urais wa Spika wa Bunge la Dunia anazitoa wapi. Ni muda mrefu sasa Spika...
3 Reactions
7 Replies
841 Views
Rais Samia Suluhu Hassan alipokuwa anaadhimisha miaka miwili madarakani, niliandika makala nikihitimisha kwamba yeye ni "mtu mzuri". Hata hivyo, tathmini yangu ilikosolewa kwa kiasi kikubwa na...
5 Reactions
4 Replies
1K Views
"Leo nataka nikupe mfano mdogo miaka kadhaa nyuma sisi Tanzania tulikuwa sawa na Singapore au Malaysia, na hapa tulipo tuna kila kitu lakini unajua kinachotuumiza ni nini?. Mfano hili suala la...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…