Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Ndugu Abdulrahman Kinana, ameziagiza kamati za siasa za CCM, kuwafuatilia na kuwachukulia hatua wanachama walioanza kupitapita kusaka...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Salaam wanabodi, Ndiyo, kumekuwako ukosefu wa mafuta katika baadhi ya vituo vya kuuzia mafuta nchini, ukifika hapo unaambiwa petrol imekwisha. Mtazamo wangu ni kuwa hawa wafanya biashara aidha...
8 Reactions
26 Replies
2K Views
Bila kupepesa macho Makamba amefeli kila idara, huku kwenye nishati nchi nzima leo haina umeme. Yeye ndiye aliyesema kwamba kwenye mradi wa bwawa la Nyerere uzalishaji ukianza umeme usishuke bei...
19 Reactions
35 Replies
4K Views
1. Mafuta yapo, wanaoleta shida ni wenye vituo kuzuia kuuza stock ya mafuta wakisubiri bei mpya iende juu ili faida yao iwe kubwa. 2. Serikali ifanye msako na kutoa adhabu kwa vituo vinavyofanya...
2 Reactions
14 Replies
829 Views
Serikari haina umiliki halali yaani moja kwa moja wa mafuta ya hakiba hivyo hupelekea mlipuko wa bei. Bei hupanda na kushuka hata kama kuna changamoto zinazo epukika mfano plani ya miaka kadhaa...
0 Reactions
0 Replies
423 Views
Mkurugenzi wa Ewura hatufai afunguliwe kesi kwa kulidanganya taifa Jana tu kasema mafuta yapo ya kutosha na tunajitosheleza kwa siku 19 leo tena bei zinapanda Huyu anapaswa kujiuzulu na...
4 Reactions
9 Replies
959 Views
Wadau nawasabahi. Kumekuwa na Sintofahamu juu ya Upatikanaji wa Mafuta karibu sehemu KUBWA ya Nchi.Toka Mafuta yaanze kuadimika kumekuwa na TETESI kuwa Bei ya MAFUTA ZITAPANDA. Nimekuwa najiuliza...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Wakati sisi tunalia mafuta kupanda huko nchini ZANZIBAR mafuta hayajawahi kupanda kabisa na yapo chini sana Sisi huku Tanganyika wacha tufwe tu madhali sisi ni Watanganyika ZANZIBAR SMZ huwa...
2 Reactions
5 Replies
720 Views
Upinzani sasa hivi wanasema Samia ameshindwa uongozi na ni kiongozi mbaya kuwahi kutokea. Yaani ni mbaya kuliko hata Magufuli waliyekuwa wanadai ni kiongozi mbaya zaidi. Tundu Lissu mara kadhaa...
3 Reactions
108 Replies
5K Views
Kwanza naomba nikiri kwamba mimi ni miongoni mwa wasafirishaji wa mizigo na Abiria ndani na nje ya nchi . Nimetumiwa Private message kwamba kutakuwa na kikao Alhamisi hii cha kujadili ongezeko...
3 Reactions
6 Replies
615 Views
Tulionya humu mapema sana kwamba , Moto utakaowashwa na Chadema kwenye Oparesheni 255, hakuna wa kuuzima, Kauli hii imetimia, Nadhani wote mmeona jinsi Katibu Mkuu wa CCM alivyojaribu na baada ya...
10 Reactions
30 Replies
3K Views
Sisi wananchi wa maeneo ya vijijini na mikoa ya pembezoni tunayo heshima kubwa kumuomba waziri wa katiba na sheria kutoa elimu kwetu sisi kwa kipindi cha miaka mitano sio miaka mitatu...
0 Reactions
4 Replies
451 Views
Penye ukweli pasi na kujali kambi ni heri kuusema. Vinginevyo tutaendelea kutwanga maji kwenye kinu milele. Hongereni CCM Kwa kushinda chaguzi zenu na kama mabwege yakiendelea kulaza damu kazeni...
7 Reactions
55 Replies
2K Views
Mkurugenzi mkuu wa EWURA Dr James Andilile amewataka hofu Wananchi kwa kusema Nchi ina hifadhi ya kutosha ya Nishati ya Mafuta Dr Andilile amesema kuna Hifadhi ya Petrol ya kutosha siku 19 na...
5 Reactions
99 Replies
10K Views
Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika Dr Slaa anapitia wakati Mgumu Sana, wakati wa majuto, mateso ya moyo na nafsi na upweke wa hali ya juu sana. Kwa sasa haaminiki na yeyote wala kukubalika na...
14 Reactions
216 Replies
12K Views
Ndugu zangu Watanzania, Daraja na hatua iliyopo CCM Kisiasa kwa sasa hakuna chama kilichofikia wala kukaribia,Ni kama vile CCM inacheza uwanja wake na ligi yake ya pekee yake ambayo kwa vyama...
1 Reactions
28 Replies
1K Views
Katika hali iliyotabiriwa, na inayotabiriwa kuelekea 2025, wananchi wa Lushoto warudisha kadi za chama kwa madai ya kutoridhika na utendaji kazi wa viongozi wa wilaya na vijiji. ----- Hali hii...
12 Reactions
70 Replies
9K Views
Leo Jumatatu tar. 4. 9.2023 Saa 5:00 asubhhi Chama cha @ACTwazalendo kitatoa Uchambuzi, msimamo na Mapendekezo yake kuhusu sakata la #Bandari kati ya Serikali ya Tanzania na @DPWorldUAE. -----...
9 Reactions
161 Replies
12K Views
Dr Slaa amesema wao hawaogopi kukamatwa na kushtakiwa kwa Uhaini kwa sababu hata Yesu Kristo alishtakiwa kwa Uhaini ili kukwamisha Ukombozi wa Wana wa Israel Hakuna kifo cha Heshima kama cha...
2 Reactions
12 Replies
881 Views
Waziri wa TAMISEMI mh Mchengerwa amewaambia Viongozi kuwa hivyo Vyeo walivyonavyo siyo vyao ni vya Wenye nchi ambao ni Wananchi Wao wamedhaminiwa tu Mchengerwa amesema Taarifa alizonazo ni...
13 Reactions
44 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…