Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwanza maandamano ni haki ya kikatiba hapa nchini. Hii ni kwa mujibu wa ibara ya 20 ya katiba ya JMT Dunia nzima ilipambana kwa njia ya maandamano ili Mandela afunguliwe. Najua Watawala wote...
1 Reactions
6 Replies
183 Views
Wanabodi, Kufuatia kelele zinazoendelea kupigwa na watu mbalimbali, kuitaka Ripoti ya Jaji Chande iwekwe hadharani, kwanza nani niunge mkono hoja ya Vox Populi is Vox Dei, (sauti za watu ni...
4 Reactions
19 Replies
371 Views
1. Rashidi Mfaume Kawawa (1961–1962) πŸ‘‰ Waziri Mkuu wa kwanza wa Tanganyika baada ya uhuru. πŸ‘‰ Alisimamia ujenzi wa misingi ya serikali mpya ya taifa huru. πŸ‘‰ Anakumbukwa kwa uzalendo, ukakamavu na...
2 Reactions
18 Replies
401 Views
Huyu Chalamila hajui hata namna kodi zinavyokusanywa yeye anadhani kodi ni ile inayolipwa direct tu, debe tupu --- Chalamila amesema kuwa wanaosema miradi inajengwa kwa kodi zetu watambue kuwa...
2 Reactions
17 Replies
326 Views
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Ashatu Kijaji, akiwasili Bungeni jijini Dodoma leo Mei 15, 2026 na kupokelewa na Chaaba kutoka jamii ya Hadzabe, aliyefika kufuatilia uwasilishwaji wa Hotuba ya...
4 Reactions
19 Replies
404 Views
Wakuu na wadau, Nimekuwa namfatilia sana huyu Mzee, kama na wewe ni mdau wa Africa utakuwa umeona, karibia Marais wote Duniani baada ya kuapiswa huwa huyu Mzeee anawatembelea. Je, ni Biashara...
5 Reactions
41 Replies
2K Views
Hamjambo wote! 1. Nje ya kuandika na kusoma soma ninapenda Kuogelea. 2. Sasa Kila wiki ninakuwa na ratiba ya kwenda beach kukata Maji baharini. Kwa Upare wangu mara nyingi naendaga Beach za...
8 Reactions
24 Replies
408 Views
Mwanamke kukuacha wakati wa struggles inaweza kueleweka. Lakini kumrudisha baada ya wewe kusimama tena β€” hiyo inaweza kuwa kujisaliti mwenyewe. Wapo wanawake ambao hawawezi kuvumilia kipindi...
3 Reactions
8 Replies
222 Views
Sheikh Ponda Issa Ponda Katibu Mkuu wa Shura ya Maimamu Tanzania Tuondoe yanayoleta mivutano na chuki ili tufanye maridhiano. Sheikh Ponda ameyasema hayo katika kipindi cha Kasri kupitia Crown Fm...
3 Reactions
10 Replies
268 Views
Hatuna viongozi wenye vision nchi imebaki kuendeshwa na matukio yasiyo na msingi. Ni aibu kwa kiongozi mkubwa kama Jaji tena mkuu kutoka hadharani kukemea matusi anaacha kujadili sababu...
11 Reactions
16 Replies
312 Views
"Serikali kupitia Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) ilifanya utafiti na kubaini kuwa sababu za wanafunzi kuandika lugha zisizo na staha kwenye karatasi za mitihani ni mmonyoko wa maadili...
3 Reactions
18 Replies
372 Views
Wakuu, Hivi Watanzania kuna changamoto gani? Kwenye hii forum mwaka huu namuona Rais wa Rwanda, Nigeria na Gabon ila Tanzania sioni kama tumepeleka Mwakilishi Mwaka jana tuliwakilishwa na...
1 Reactions
13 Replies
216 Views
Watu wa karibu na Samia Suluhu Hassan wanapaswa kumshauri kwamba rais si tu kiongozi wa nchi, bali pia ni taswira ya hisia na matumaini ya wananchi. Kuna wakati wananchi hawahitaji hata suluhisho...
1 Reactions
3 Replies
148 Views
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi, amewataka viongozi wa chama na serikali kuepuka kiburi cha madaraka na badala...
2 Reactions
3 Replies
124 Views
Kufuatia uzinduzi wa Mpango wa Kitaifa wa miaka mitano wa Chanjo na Utambuzi wa Mifugo uliofanywa na Samia Suluhu Hassan tarehe 16 Juni 2025 mkoani Simiyu Region, Wizara imeendelea kuimarisha...
1 Reactions
3 Replies
96 Views
Malengo ya waasisi wa CHADEMA yalikuwa ni kukijenga chama kwenye misingi imara ya kisiasa nchini kikisimama kama taasisi kuu ya upinzani iliyokusudiwa kutoa ushindani wa kisera na kuwa mbadala wa...
2 Reactions
8 Replies
276 Views
Hii sasa ni Taarifa rasmi kutoka Kanda ya Nyasa Bilionea Sugu atatoa elimu kuhusu Tume ya Chande n.a. Utekaji yakiwemo na Mauaji Katika Mkutano huo orodha ya Watu wote Waliouawa Kyela kuanzia...
4 Reactions
16 Replies
249 Views
My friends, ladies and gentlemen, Sote ni mashuhuda kwamba, hivi sasa amani na utulivu wa nchi yetu kisiasa, kijamii na kiuchumi tangu tumalize uchaguzi mkuu wa kihistoria Oct.29.2025, unaendelea...
0 Reactions
46 Replies
584 Views
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji wa Serikali, Gerson Msigwa akifanya mahojiano na Bongo FM leo Mei 15, 2026 Mwandishi: "Unadhani ni kwa nini...
2 Reactions
1 Replies
147 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…