Wakuu habari?
Kumekuwa na minong’ono mingi mitaani na vijiweni kuhusu jina linaloendelea kuonekana kwenye teuzi mbalimbali za serikali – Dkt. Nyansaho. Wengi wanajiuliza: Ni nani huyu Dkt...
#HABARI: Rais Samia Suluhu Hassan, amewataka vijana Watanzania kuilinda amani ya Taifa kwa kulindana wenyewe na kuonesha dunia kuwa yaliyokea Oktoba 29, 2025 hayatatokea tena.
Amesema yaliyotokea...
Unapokuwa Rais wa Nchi usiwe takataka, jiheshimu na ujilinde usiwe na doa chafu
Unapopewa dhamana kubwa ya mwisho katika nchi hutakiwi kufanya Mambo ya kijinga na ya kitoto maana inaweza kushusha...
Tanzania hii hasa Tanganyika hali ni tete kwa sasa nipo Morogoro, nashuhudia mashindan ya kupandisha nauli kwa vyombo vya usafirishaji huku wakida EWURA imepandisha bei ya mafuta, wapo...
Yaani kuandamana kwa amani kushinikiza mtu asiye na kosa aachiwe ni kosa?
Dunian nzima ilipinga kufungwa kwa Nelson Mandela. Na maandamano yalikuwa yakifanyika hata hapa Tanzania.
Leo kusema tu...
Samia amevunja bodi ya wadhamini ya PSSSF kwa sababu iligoma kupitisha kutoa fedha za wastaafu kwenda kujenga uwanja wa ndege Serengeti ili kuboost biashara zake na mtoto wake.
Bodi ilikataa kwa...
Tunaposema Chadema ni Mpango wa Mungu muwe mnaelewa.
Kinachotokea Katoro mchana huu iwe fundisho kwa watawala, Kwamba kumbe vitisho, Mauaji na utekaji havijawahi kusaidia chochote
Huu moto...
Mnajua Maji ya shingo? Au ile tunasema Kupumulia mashine ?
Hiyo ndio Hali ya CCM ilivyo kwa sasa.
CCM kwa sasa ímeichafua NCHI kwa Matendo yake, Dunia yote inawamulika CCM.
Hamjui Kuna wàna CCM...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Amerejea salama salimini Kabisa Nchini Mwetu.
Ambapo Rais wetu...
Mkutano wa Leo wa Mh LEMA pale Arusha, Ni kama anawapa CCM ukubalifu, yaan ni kama Anakubali Serikali ya CCM, na Kuona kwamba kuruhusiwa kwa mikutano hiii ni kama Jambo jema la CCM kwa Vyama vya...
Siku chache nilipomuonya LEMA aache Siasa za kuhalalisha Serikali ya CCM.
Sista Nyahozi anakuja kusema 'Mbona LEMA Kaongea vizuri tu , Mbona Bon Yai Kaongea vizuri " na sijaongea neno.
Ila...
Wakuu,
Baada ya wananchi kuwakataa waandishi wa habari sasa relikali inakuja na mbinu ya kuwarudisha wakongwe ili kurudisha imani na kuendeleza uchawa? Miaka tu ya wao kuwa kazini inatosha wao...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Pwani kimesema kasoro zilizobainishwa katika ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) zimekuwa zikikwamisha maendeleo ya...
https://youtu.be/0niFxKMdOSI?si=AQnb1lDVaELvbk05
ANASEMA:
Nchi hii si mara ya kwanza kushuhudia ukatili na mauaji ya watu (raia) wasio na hatia uliofanywa na vyombo vya ulinzi na usalama chini ya...
Wanabodi,
Naomba kuanza bandiko hili kwa angalizo la kuchanganya Lugha
JF ilipoanzishwa, it was meant to be an online user generated social forum, mtu una post chochote, kwa lugha yoyote ya...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Mfanyabiashara kutoka nchini Nigeria ambaye pia ni Mwanzilishi na Mmiliki wa Dangote Group, Alhaji Aliko...
Mbunge Nape Nnauye amesema; "Tulikodi uwanja wiki nzima ili Chadema wasifanye kampeni, Kikwete akatuzuia" kupitia mahojiano yake na M&SPodcast inayongozwa na Omar Kashera pamoja na Salma Dacotha...
Na George Michael Uledi Mei 11, 2026
Hivi karibuni, Rais William Ruto wa Kenya alitoa kauli iliyozua mjadala mzito baada ya kutangaza kuwa ujenzi wa kiwanda kikubwa cha kusafisha mafuta ghafi cha...