Nimeiona barua ya msajili akiitaka Chadema ijieleze kuhusiana na matamshi kadhaa iliyoyatamka baada ya kufunguliwa kufanya shughuri za siasa.
Kujifanya kiranja wa vyama vya siasa na kufanya kazi kwa upendeleo kwa ofisi hii kulichangia kwa kiasi kikubwa mauaji ya Oktoba 29.
Kwasisi 'wengine' mtanielewa baadae, tunaipongeza ofisi ya msajili ili tuone panapovuja na aliyetoboa bati.
Wazungu wanasema "Never interrupt your enemy when he is making a mistake."
Soma pia Msajili wa Vyama vya Siasa Ailima barua CHADEMA na kuipa Siku 13 Kujieleza Dhidi ya Tuhuma za Ukiukwaji wa Sheria ya Vyama vya Siasa