Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwanza ieleweke wazi kuwa mambo haya utekaji na kudhibiti wapinzani hata kwq kuwaua yalianza hata awamu ya kwanza ya Mwalimu Nyerere. Wapinzani wengi wa Mwalimu Nyerere walipotezwa na hata...
8 Reactions
38 Replies
845 Views
Akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Mbeya huku akihema na kujaa wasiwasi mwingi hali iliyopoteza kujiamini kwake, Kamanda wa Polisi wa Mkoa huo amekanusha Jeshi lake kumkamata Mdude Nyagali...
6 Reactions
92 Replies
5K Views
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Dk Juma Homera amesema tayari amelielekeza Jeshi la Polisi kuongeza jitihada za kuwatafuta wahusika waliomshambulia kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mdude...
12 Reactions
97 Replies
6K Views
Mwanachama wa JF na mdau mkubwa wa mitandao, Mdude_Nyagali amechukuliwa na watu waliojitambulisha kuwa ni polisi usiku huu. Walikuwa na silaha, wamevunja mlango. Mdude amepigwa sana, alikuwa...
21 Reactions
363 Replies
25K Views
Wasiojulikana? Inakuwaje taifa linakuwa na watu wasiojulikana? Tangu afariki Mzee Kibao kwa kifo ambacho kilishangaza dunia kwa mtu kunyakuliwa kama kuku kwenye basi kisha kupatikana amekufa...
3 Reactions
10 Replies
368 Views
Anonymous
Kiwanda cha Dawa kilichopo Keko (Keko Pharmaceutical Industries - 1997) ambacho kilichukuliwa na Serikali Mwaka 2019 kinavyoachwa kuteketea bila sababu yoyote huku kikiwa chini ya Serikali kwa...
0 Reactions
2 Replies
353 Views
https://www.youtube.com/watch?v=X3JC2Q0H9 ========= MUHTASARI WA HOTUBA YA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI MHE. PASCHAL KATAMBI PATROBASS (MB.), AKIWASILISHA BUNGENI MAKADIRIO YA MAPATO NA...
1 Reactions
2 Replies
220 Views
Hamjambo! Mbowe hata awe na hasira kiasi gani. Bado hawezi kuukata mtoto WA mwanaye kisa ameunyea. CHADEMA ni moja ya Mambo ambayo yamempa heshima Freeman Mbowe. Mwenyekiti Mbowe ametumia...
2 Reactions
22 Replies
450 Views
Wakili Peter Madeleka, tayari amefika kwenye viunga vya Mahakama Kuu ya Tanzania, Divisheni ya Ardhi ambapo kesi inayowahusu waliokuwa wafanyabiashara 'wapangaji' kwenye jengo la ghorofa...
0 Reactions
1 Replies
132 Views
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, Bungeni Dodoma leo Mei 25, 2026 akiwasilisha bajeti ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2026/2027 "Katika mwaka wa fedha 2026/27, Wizara ya Mambo...
2 Reactions
4 Replies
147 Views
Kijana ambaye ni Chawa wa CCM, Kijana anayekula kwa Pesa za CCM, huyu hawezi kukushauri lolote kuhusu PETER MSIGWA. Mbona hawakusema kuhusu SELASINI?. Kwann Msigwa kurejea CHADEMA imekua...
4 Reactions
9 Replies
287 Views
Ndivyo ninavyoweza kusema. Kuna vitu vingine vinatokea pengine sio kwa bahati mbaya. Aidha ni roho wa Mungu katika kinywa cha mwanadamu au ni mtu mwenyewe katika kuponya hali fulani. CHADEMA...
1 Reactions
3 Replies
133 Views
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imeomba Bunge kuidhinisha jumla ya shilingi trilioni 2.44 kwa ajili ya matumizi ya wizara hiyo pamoja na taasisi zake kwa mwaka wa fedha wa 2026/2027. Matumizi ya...
0 Reactions
0 Replies
248 Views
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, Bungeni Dodoma leo Mei 25, 2026 akiwasilisha bajeti ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2026/2027, ameeleza kuwa operesheni, doria, na misako ya...
0 Reactions
0 Replies
101 Views
Nchi inapowekewa vikwazo na Marekani hukabiliwa na uhaba mkubwa wa fedha za kigeni, kuporomoka kwa sarafu yake, na uhaba wa bidhaa muhimu kama dawa na vyakula. Kisiasa, nchi hiyo hutengwa...
8 Reactions
27 Replies
580 Views
Habari za Jumapili! Kila chama kina watu ndumilakuwili,snitch, Wasaliti na Nyoka. Kijasusi Tofauti kubwa ya Nyoka na Panya ipo kwenye kujificha na kujihami. Nyoka anaweza kuingia katika Nyumba...
10 Reactions
32 Replies
1K Views
Hawezi Kaa Mezani na Upinzani zaidi ya vibaraka wake wa ACT na CHAUMA. Hawezi Kukaa na TEC Hawezi Kukaa na Viongozi wa Dini wa Kikristo Hawezi Kukaa na Jumuiya za Kimataifa Hawezi Kukaa na...
3 Reactions
7 Replies
305 Views
Yaan unajiita Mchumi, mara msomi, alafu kwenye Mkutano Unasema TUKIO la Lissu lilitengenezwa?? Yaan wewe unaona Watanzania ni Mazwazwa ? Au TU umeamua kuwatia Watanzania Hasira wachukie zaidi...
11 Reactions
27 Replies
751 Views
Akichanga mjadala wa makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Ujenzi kwa mwaka wa fedha 2026/2027 bungeni jijini Dodoma May 20, Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye, alisema amefika Bungeni akiwa na...
0 Reactions
1 Replies
119 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…