Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari wa Tanzania, Nape Nnauye amelaani vikali kauli iliyotolewa na Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu kuhusu madai ya Rais Samia kuwaondoa...
MAANDALIZI YA KUSHINDA UCHAGUZI.
Na Comrade Ally Maftah
Uchaguzi ni mchakato unaohitaji maandalizi ya muda mrefu yenye umakini mkubwa, maandalizi hayo yanahusisha kujenga jumuia inayokupa nguvu...
Nafuatilia mengi lkn haya hunipa wasiwasi upande wa CDM:-
* Kupinga kila jambo linalofanywa na Serikali. i.e barabara, maji, umeme, tasaf, elimu bure, nk
* Masuala ya muungano - hapa wanaibua...
Vyama vya siasa nchini Tanzania vimetakiwa kufanya siasa za kistaarabu kwa kuzingatia sheria za vyama vya siasa.
Hayo yamezungumzwa na Sisty Nyahoza, Naibu Msajili wa vyama vya siasa Tanzania...
Mara nyingine nikiwaza mambo yanavyofanyika hapa Tanzaniia, naona kama tumekuwa jumuiya fulani katika uwanja wa fujo. Tunaishi kwa matamko ya Raisi, mawaziri, wakuu wa Polisi, wakuu wa mikoa na...
Shemsa Mohammed (Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu): Tusiwadharau Mabalozi
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu Shemsa Mohammed amewataka viongozi wa Chama hicho kutowadharau...
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Simiyu, Shemsa Mohammed amewaagiza viongozi wa Matawi, Kata na Mashina kuhamasisha wanachama kujiandikisha katika daftari la wapiga kura ili wapate...
Wakuu,
Wewe mbunge unajua upo hapo kuwakilisha wananchi, au unawakilisha kundi fulani kama watu wenye ulemavu nk, lakini mwanzo mwisho mama ametenda hiki, mama ametenda kile, hakuna kama yeye...
Hapa chini ni wananchi wa Ruangwa wakifurahia jambo lao.
Mbele ya waziri mkuu na mbele ya makamu mwenyekiti wa ccm wananchi wanaonyesha furaha yao.
Hakika wanachama wa ccm tunajua jinsi ya kutoa...
Taarifa ikufikie Popote ulipo kwamba, Uchaguzi wa viongozi wa ngazi ya Kitaifa wa Chadema utafanyika mwezi wa 10, 2024, hii ni baada ya kumalizika kwa Chaguzi zingine zote za Chama hicho katika...
17 April 2024
Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa mchungaji Peter Msigwa abainisha kuwa hakuna mpango wa kugombea uongozi ngazi ya taifa....
Mch. Msigwa asisitiza viongozi wa CHADEMA Taifa...
JamiiForums, Jukwaa la Katiba (JUKATA), Tanganyika Law Society (TLS), Twaweza East Africa, Centre for Strategic Litigation (CSL) na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kwa pamoja...
Leo nimeamua kuwapongeza CHADEMA kwa kuonyesha weledi wa kisiasa kwa kutoa maoni yao kuhusu muswada wa sheria ya uchaguzi. Safari hii ufipa wamejitahidi tofauti na wakati mwingine.
Hata kama...
Wanabodi
Hii ni makala yangu ya Gazeti la Mwananchi Wiki hii
Leo naendelea na hizi makala elimishi kuhusu katiba ya JMT kwa jicho la mtunga katiba, alidhamiria nini. Wiki iliyopita nilizungumzia...
Salaam, Shalom!!
Katibu MKUU wa CCM ameanza ziara yake kivyake na anasema yake, wakati huo huo Mwenezi naye ameendelea na uelekeo wake.
KM anasema, viongozi wa CCM wasiwakaripie hadharani...
“Ukiangalia taarifa ya watazamaji wa uchaguzi wa kitaifa na kimataifa tangu mwaka 1995 wote wamesema Tume ya Taifa ya Uchaguzi siyo huru, na wamesema siyo huru kwa sababu, moja ni tume ya Rais...
Hii ndio Taarifa unayopaswa kuifahamu popote ulipo, kwamba huko Chadema moto unawaka, mwenye hoja ndiye atakayechaguliwa , Isipokuwa ni Aman tupu, hakuna kulogana wala kuuana kwa sumu kama wale...
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Arusha Thomas Ole Sabaya amewaonya wakazi wa Longido kutokuchagua wapinzani kwenye uchaguzi ujao wa serikali za mitaa, kwani serikali haitopeleka huduma...
Binafsi ningependa Paul Makonda apewe huu Mkoa wa Dar.
Ila kwa kuwa Mwenyekiti wetu wa Chama ameona kimkakati Paul Makonda akaivunjilie mbali Chadema na kuizika kabisa, tunaunga mkono uteuzi huu...
Zitto Kabwe akiongea katika kipindi cha Power Breakfast amesema kuwa “Tulitarajia kwamba mambo ya 2019 na 2020 (Kuhusu uchaguzi) yangekuwa mambo ya aibu kwamba yasingeweza kutokea tena lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.