Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ukifuatilia utagundua ni nadra au haiwezekani wadau na mastaa wa michezo hasa wa mpira wa miguu kujitenga na utawala au watawala wowote wale hata wawe madikteta katili kiasi gani. Sijajua sababu...
1 Reactions
7 Replies
201 Views
Nadhani kama angetokea mtu jasiri akamwambia Mwenyekiti tusiende njia hiyo, huko si kwema kwa mustakabali wa taifa, maybe angeweza kuona ubatili wa yanayotokea. Shida ni kuwa wanamhakikishia kuwa...
1 Reactions
1 Replies
111 Views
Kaimu Katibu Mkuu wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini, Yohane Kaunya aliyekuwa anakabiliwa na kesi huko Bunda na kushinda kesi hizo baada ya kukaa gerezani kwa zaidi ya miezi sita leo Mei 24, 2026...
1 Reactions
1 Replies
116 Views
Habari za Sabato! Nimeshangazwa Sana na mawazo ya vijana. Mnawaza nini vijana? Mnataka nini Vijana? Mkoje ninyi vijana? Katika hali ya kustaajabisha GenZ wanasema wao tatizo lao sio Soka, tatizo...
4 Reactions
26 Replies
393 Views
MIRADI YA MIUNDOMBINU YA MAJIJI – BAJETI YA MWAKA 2026/27 1. JIJI LA DAR ES SALAAM BRT na Maboresho Makubwa ya Barabara I. BRT Awamu ya 3: Maktaba – JNA – Gongolamboto (km 23.3) II. BRT Awamu ya...
6 Reactions
29 Replies
2K Views
Yote mnayoyaona na kuyasikia, msingi wake mkuu ni kama nilivyoeleza katika kichwa cha habari cha uzi huu. Wamechafuka na kukataliwa ndani na nje ya nchi na kwa akili zao, CHADEMA ndio...
17 Reactions
41 Replies
591 Views
Kinachofanya Chadema kukubalika na watu wengi kwa sass ni kwa sababu Watanganyika wanahitaji ukombozi dhidi ya watawala dhalimu wa CCM Wasaliti ambao waliendekeza njaa na uroho wa madaraka...
4 Reactions
14 Replies
247 Views
Daa hii nchi Toka MO29, sidhani kama itakuwa sawa. Kate Ferdnand ni mke wa mchezaji Ferdinand ambae Yuko Tanzania Kwa mwaliko wa Makonda. Mwanadada huyo kwenye post zake za Instagram uwa anapata...
34 Reactions
54 Replies
2K Views
Sote tunatambua kuwa, wabunge wa bunge la Jamhuri ya Muungsno wa Tanzania hawalipi kodi kwenye Kila kitu licha ya kuwa wanalipwa mishahara minono na marupurupu ya kutosha. Baada ya kustaafu au...
3 Reactions
3 Replies
147 Views
Kwa Peter Msigwa, Akili, Uwezo, Ubunifu wake ndani ya CCM Ulikua ni 'Umefungwa'. Peter Msigwa nayemfaham yeye hawezi kaa kuvumilia Watu watekwe, Kuuwawa, Kusumbua Kanisa, Kufunga wapinzani...
2 Reactions
7 Replies
182 Views
Hamjambo! 1. Kwanza mkono Mtupu Haulambwi, hao ni wahenga. 2. Mwenye nacho huongezewa, asiye nacho hata kile kidogo anaachodhani anacho hunyang'anywa huyo ni Yesu mnazareth 3. Usiende kwa Mungu...
3 Reactions
7 Replies
217 Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapenda kuuarifu umma kuwa kesho Jumatatu, tarehe 25 Mei, 2026 Mwenyekiti wa chama taifa, Mheshimiwa Tundu Lissu atafikishwa mahakamani. Mheshimiwa...
1 Reactions
1 Replies
207 Views
05 May 2026 Tanzania yapanua miundombinu ya bandari ya Dar es Salaam ili kukabiliana na ongezeko la mizigo Tanzania yapanua bandari ya Dar es Salaam ili kuimarisha biashara ya kikanda kwa kujenga...
2 Reactions
15 Replies
550 Views
Kauli hiyo imetolewa Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Kenani Kihongosi wakati wa Mkutano wa Kampeni za Uchaguzi Mdogo uliofanyika Kata ya Idodi Jimbo la...
1 Reactions
3 Replies
107 Views
Ni suala la muda tu kuanzia sasa, kwa hilo kutokea kulingana na uelekeo wa siasa za Tanzania na ombwe la uongozi linaloonekana wazi hasa ndani ya Chadema taifa. Joseph Selasini anaingia Chadema...
0 Reactions
2 Replies
133 Views
Nilimuonya LEMA na wengineo kua Waache Siasa za kuihalalisha Serikali ya CCM, Nikawashauri hapa...
4 Reactions
22 Replies
565 Views
Siku hizi viongozi wa chama na serikali wamekuja na mtindo wa kuandaa mashindo na challenges mbalimbali za kimifumo, andiko nk Na lengo la mashindano hayo wao wanasema ni kulenga kutatua...
2 Reactions
2 Replies
113 Views
👉Ndani ya siasa za kimkakati, kuna wachezaji ambao huonekana kupambana hadharani lakini nyuma ya pazia wakawa sehemu ya operesheni kubwa zaidi isiyoonekana kwa macho ya kawaida. 👉Safari ya...
0 Reactions
4 Replies
326 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…