Mamilioni ya Pension Anayolipwa Mbunge Yanatoka wapi?

cEHO

New Member
Joined
Jan 30, 2024
Posts
4
Reaction score
3
Sote tunatambua kuwa, wabunge wa bunge la Jamhuri ya Muungsno wa Tanzania hawalipi kodi kwenye Kila kitu licha ya kuwa wanalipwa mishahara minono na marupurupu ya kutosha.

Baada ya kustaafu au kumaliza miaka yake mitano, atapata kiinua mgongo/pension ya zaidi 200m.

Haya mamilioni wanalipwa kutoka wapi wakati hawachangii kwenye mfuko wowote wa hifadhi ya taifa!?

Soma pia
 
Kutoka kodi za raia
 
Back
Top Bottom