Sijasema Mimi: Upinzani wajinga

Sijasema Mimi: Upinzani wajinga

Alloyce PR

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2020
Posts
798
Reaction score
865
79b1daf2-148d-47fc-8467-5c76223eccb0.png
 
Chama kimoja sio suluhu ndio inaus uwajibikaji. Watu wanakimbilia CCM maana ndio njia nyeupe kupata uongozi na kutekeleza malengo ya kisiasa. Ila kukiwepo na demokrasia, tume huru, uhuru wa habari na mahakama huwezi ona watu wanahama vyama maana siasa zitaongozwa na sera sio "urahisi wa kushinda uchaguzi" maana kila mtu hata mgombea atakua na uwezo wa kushinda ubunge, urais, udiwani n.k
 
Kwa logic yako, kwenye siasa hakuna rafiki au adui wa kudumu.

Ita wanasaisia wajinga, maana kuna chama tawala walihamia upinzani baada wakarudi chama tawala? Je tuite chama tawala wajinga?
Hakuna aliyewahi kuhama chama tawala kisha akaita ni wajinga, mara zote wakihama ni kimya, husikii ametusi chama.
 
Kwa logic yako, kwenye siasa hakuna rafiki au adui wa kudumu.

Ita wanasaisia wajinga, maana kuna chama tawala walihamia upinzani baada wakarudi chama tawala? Je tuite chama tawala wajinga?
Usiishie kusoma heading.
 
Hakuna aliyewahi kuhama chama tawala kisha akaita ni wajinga, mara zote wakihama ni kimya, husikii ametusi chama.
Are you shure about that?

Lazaro Nyalandu — Aliondoka CCM na kujiunga Chadema, akisema kuna matatizo ya demokrasia ndani ya chama tawala.

Lowasa , unakumbuka kauli zake?

Hao ni wachache and list goes on, uwe unahakiki records kabla hujafungua uzi
 
Afrika inahitaji mgombea huru tu kupewa ruksa
Kwenye ngazi za serikali ya mtaa, udiwani na ubunge kama wataruhusiwa wanaweza kuleta mabadiliko. Nahisi ndiyo sababu wanawakataa.

Kwa raisi nadhani ni ngumu kutoboa bila ya logistics za kichama. Sisemi wasiruhusiwe.
 
Ukiwa na wagombea binafsi kwenye Bunge , wataweza kumuajibisha Rais. Ila huo utakuwa mwisho wa CCM ndiyo maana wanaipinga.
 
Kwenye vyama kuna wapiga kelele kama wewe ambao hawana maamuzi yoyote ndani ya vyama vyao, halafu kuna wanachama hawana kelele ila ndio wenye maamuzi ndani ya vyama
 
Msigwa nilimuona anaakili ndogo sana baada ya kushindwa kung'amua mambo. Kwanza kabisa sababu ya kutoka Chadema ilikuwa ni Kwa sababu ya Mbowe lakini kilichonishangazaga huyu jamaa wakati anachukua maamuzi hayo uchaguzi ulikuwa umekaribia, sasa badala ya kuungana na wengine kumchimoa Mbowe kwenye uchaguzi akahama. Sasa Mbowe hayupo kaamua kurudi wakati credit imeshashuka tayari. Kiongozi unatakiwa uwe na maono uweze kuona mbali
 
Are you shure about that?

Lazaro Nyalandu — Aliondoka CCM na kujiunga Chadema, akisema kuna matatizo ya demokrasia ndani ya chama tawala.

Lowasa , unakumbuka kauli zake?

Hao ni wachache and list goes on, uwe unahakiki records kabla hujafungua uzi
Weka rekodi hapa za sauti wakisema chama tawala ni wajinga.
 
Ukiwa na wagombea binafsi kwenye Bunge , wataweza kumuajibisha Rais. Ila huo utakuwa mwisho wa CCM ndiyo maana wanaipinga.
Na wabunge binafsi si rahisi kudhibitiwa. Tukichukuwa mfano wa Tanzania tuna msajili ambaye anaamua nani wawe viongozi wa vyama.

Rejea
Hamadi Rashid vs Said Miraji
Selasini vs Mbatia
Self Sharif vs Lipumba
Lipumba vs The current CUF chairman
 
Weka rekodi hapa za sauti wakisema chama tawala ni wajinga.
Oh is that so, edward lowasa aliyasema hayo wakati wa kampeni 2015, wakati huo alisha katwa ccm. Na nukuu “ccm imejaa rushwa na udikteta”
Na nyingine nyingi

So does lazaro nyalandu alipoondoka 2015, moja ya kauli alizotoa wakati hakupata nafasi ya kuogombea ccm

Hizi ni publick records from 2015 archivez, source magazeti, na video wakati wa kampeni.

Couldnt get to video hizo but that was it.

So bro , wanasiasa wanaongea lolote haijalish chama walichopo, itategemea interest zao
 
Na wabunge binafsi si rahisi kudhibitiwa. Tukichukuwa mfano wa Tanzania tuna msajili ambaye anaamua nani wawe viongozi wa vyama.

Rejea
Hamadi Rashid vs Said Miraji
Selasini vs Mbatia
Self Sharif vs Lipumba
Lipumba vs The current CUF chairman
Kusema za ukweli TZ imeoza. Yaliyo CCM ndiyo hata na Chadema et al. Kila mtu anatumia chama kwa faida yake binafsi tu. Mgombea huru ndiye mkomboziwa nchi hii
 
Oh is that so, edward lowasa aliyasema hayo wakati wa kampeni 2015, wakati huo alisha katwa ccm. Na nukuu “ccm imejaa rushwa na udikteta”
Na nyingine nyingi

So does lazaro nyalandu alipoondoka 2015, moja ya kauli alizotoa wakati hakupata nafasi ya kuogombea ccm

Hizi ni publick records from 2015 archivez, source magazeti, na video wakati wa kampeni.

Couldnt get to video hizo but that was it.

So bro , wanasiasa wanaongea lolote haijalish chama walichopo, itategemea interest zao
Elewa weka rekodi za sauti sio, kuandika.

Na kingine LOWASA alikuwa na kawaida ya kuongea hata dakika 5 hamalizi, na alikuwa akinadi kipaumbele chake kuwa ni elimu, elimu, elimu. Sasa hayo aliyasemea wapi?

Na kipindi hicho-hicho waliomdhihaki katika Bunge kuwa ni Fisadi ndio waliompokea kisha wakaanza kumsafisha kusema ni mtu safi. Huoni ni uozo ule-ule wa Upinzani?
 
Back
Top Bottom