Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akihojiwa katika kituo cha ITV kwenye kipindi cha DK 45 amesema yafuatayo namkuu,
" Kwanza ni kweli kwamba...
===
Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akihojiwa katika kituo cha ITV kwenye kipindi maarufu zaidi cha DK 45 amefafanua haya,
Kabla ya Mhe Rais Dkt...
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) mstaafu, Ludovick Utouh, amesema mfumo wa ubia kati ya sekta ya umma na binafsi (PPP) umekuwa ukipingwa na baadhi ya watendaji wa Serikali na...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo katika Mkutano wa Tume ya Taifa ya Mipango na Waandishi wa Hanari kuhusu Maelezo ya Utekelezaji wa DIRA2050, Ikulu Dar es...
Jeshi la Polisi limevamia nyumbani kwa Yoromu Mbyella, mfanyabiashaa ambae huwa anauza sare za CHADEMA wakidai wanamtafuta kwa kosa la kutengeneza Tshirt za FREE TUNDU LISSU
Kwa mujibu wa mtoa...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linamshikilia Fredrick Mbwambo, mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kwa tuhuma za wizi wa fedha za michango zilizokuwa zikikusanywa kwa ajili...
Uko uzi humu JF wenye ushahidi wa matusi ya bwana Kasesera akiwa hadharani, Ila ushadhibitiwa na wenye jukwaa
Je wakati huo Bwana Nyahoza alikuwa kiziwii au hakuwa anatumwa?
Kwa vile sasa hivi hatuna serikali iliyo ya wananchi, iliyotokana na uamuzi wa wananchi, na inayotumikia wananchi, basi sisi wananchi tufanye yale tunayoweza kuanza kuwatambua wahanga wa mauaji ya...
Familia ya marehemu kachero mbobezi Benard Membe imeingia kwenye mgogoro mkubwa wa kugombea mali za Membe, ikumbukwe Benard Membe amefariki mwaka 2023 tu na tayari Familia yake wanapelekana polisi...
Kwamba kabla hawajafungiwa akaunti zao za nje je,hawawezi kuzichepusha ili zisifungiwe hususani kipindi hiki wakati mchakato wa utekelezaji wake unasubiriwa?
Rufaa iliyokatwa na upande wa mashtaka (mawakili wa serikali) katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA ndugu Tundu Antipas Lissu inatarajiwa kuanza kusikilizwa tarehe 11-06-2026...
Kama sio kweli basi badili Body movements
======
Edwin Odemba: Gazeti la Tanzania Daima, toleo la 421 la tarehe 20 April, mwaka 2019, liliandika kwenye ukurasa wake wa mbele kabisa ya kwamba...
Zikiwa zimepita siku kadhaa tangu alipoachiwa huru, Mchungaji Godfrey Malisa amesema kipindi cha siku 183 alizokaa gerezani kilikuwa chuo cha mafunzo, huku akishauri kufanyika kwa marekebisho...
Nani mwenye hekima amnyang'anye Kalamu Naibu msajili wa vyama vya Siasa?
Mimi siyo Muumini wa dhihaka na Matusi. Lakini hata kwa akili za kuvukia barabara tuu huwezi kunishawishi kwamba Kauli...
Kinondoni Road pale, karibu na ubalozi wa Urusi na benki ya Stanbic, kimeendelea kushamiri kina mama wanaoomba wakiwa na watoto wadogo. Wanakenda kusha pale, wanalala pale, wanapika pale, wana fua...
My Take
Sgr ikifika Mwanza & Kigoma Tanzania ndio itakuwa Gulio Kuu la Nchi za Afrika.
Hakuna tena kwenda China Wala Dubai Bali Tanzania.
Hongera SSH Kwa kazi nzuri,pia soma Ndani ya Miaka 4...
Hizi ni kodi na ushuru wa serikali kwa gari ndogo tu Crown.
Fikiria kijana ambae ameanza maisha hapa Dar, kutokana na adha ya usafiri anajibana ananunua kagari ka usd 6,000 ambazo ni sawa na 14...
Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye Gazeti la Nipashe la Jumapili ya jana.Short version for Gen ZiiInasemekana GenZii hawana time kusoma makitu marefu, hivyo Nawawekea short version kwa numbers...