Majina ya hawa watoto waliouliwa…..

Majina ya hawa watoto waliouliwa…..

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
98,174
Reaction score
143,960
Kwa vile sasa hivi hatuna serikali iliyo ya wananchi, iliyotokana na uamuzi wa wananchi, na inayotumikia wananchi, basi sisi wananchi tufanye yale tunayoweza kuanza kuwatambua wahanga wa mauaji ya Samia na wahuni wake.

Kundi linaloongozwa na Samia halijali chochote kuhusu watu lililowaua.

Kila mara wamekuwa wakitoa kauli za kikatili na za kutojali.

Sasa basi, mimi binafsi, kibinadamu nimeguswa sana na hayo mauaji.

Kuna watoto wengi pia ambao waliuliwa. Mpaka leo sijawahi kuona popote pale majina yao.

Watoto hao walikuwa ni binadamu. Hawakuwa mbwa wasio na mwenyewe au mapaka shume yasiyo na makazi sehemu yoyote.

Wale walikuwa ni binadamu kama mimi na wewe.

Sijaona mtu wala taasisi yoyote ile ikiwazungumzia watoto hawa na kutetea ubinadamu wao na haki yao ya kuishi waliyony’ang’anywa.

Mimi najitolea kwa kuanza kuuliza kwanza hao watoto ni akina nani? Lazima walikuwa na majina. Wanaitwaje?

Huyu alikuwa anaitwa nani? Alikuwa anakaa wapi? Alikuwa na umri gani?Ndugu zake ni akina nani na wako wapi? Alizikwa wapi?

IMG_8710.jpeg

Huyu naye alikuwa anaitwaje? Ni wa wapi? Umri wake? Wazazi wake ni akina nani? Na wako wapi? Alizikwa wapi?

IMG_8715.jpeg

Kuna huyu pia. Huyu kuna clip inamwonyesha kabisa akiwa ndo anavuta pumzi zake za mwisho huku akinyoosha mikono yake kana kwamba anaomba msaada flani.

Alikuwa anaitwa nani? Umri wake? Alizikwa wapi? Nduguze ni akina nani?

IMG_8637.jpeg

JF ni uwanja mpana. Inatembelewa na watu wengi sana.

Kwa mnaojua chochote kuhusu hao watoto na wengineo, changieni chochote mnachokijua kuhusu wao.
 
Kwa vile sasa hivi hatuna serikali iliyo ya wananchi, iliyotokana na uamuzi wa wananchi, na inayotumikia wananchi, basi sisi wananchi tufanye yale tunayoweza kuanza kuwatambua wahanga wa mauaji ya Samia na wahuni wake.

Kundi linaloongozwa na Samia halijali chochote kuhusu watu lililowaua.

Kila mara wamekuwa wakitoa kauli za kikatili na za kutojali.

Sasa basi, mimi binafsi, kibinadamu nimeguswa sana na hayo mauaji.

Kuna watoto wengi pia ambao waliuliwa. Mpaka leo sijawahi kuona popote pale majina yao.

Watoto hao walikuwa ni binadamu. Hawakuwa mbwa wasio na mwenyewe au mapaka shume wasio na makazi sehemu.

View attachment 3597783

Huyu naye alikuwa anaitwaje? Ni wa wapi? Umri wake? Wazazi wake ni akina nani? Na wako wapi? Alizikwa wapi?

View attachment 3597784

View attachment 3597786

Haya mauaji ya kinyama yameichafua nchi na kuleta laana.
 
Kwangu mimi kama mtanzania wa kawaida na mzazi inauma mno. Kwa nini Samia alete waganda washirikiane na vyombo vya ulinzi vya tanzania kuuwa watu hasa watoto, vijana na akina mama wakiwemo wenye mimba na wanaonyonyesha?
Haya mambo ya mauaji na ubakaji yamekuwa kawaida kule Zanzibar, ila wakilalamika waZanzibar kuna watu wakisema nyinyi magaidi bora yawafike. Hawakujua adui hana rafiki au niseme mla kuku wa mwenziwe miguu humuelekea.

Serikali ya ccm watanzania wote wana haki sawa na wengine, Kulalamika kwa wananchi kunahitaji kusikilizwa malalamiko yao sio kuwaua wananchi.
 
Kwa vile sasa hivi hatuna serikali iliyo ya wananchi, iliyotokana na uamuzi wa wananchi, na inayotumikia wananchi, basi sisi wananchi tufanye yale tunayoweza kuanza kuwatambua wahanga wa mauaji ya Samia na wahuni wake.

Kundi linaloongozwa na Samia halijali chochote kuhusu watu lililowaua.

Kila mara wamekuwa wakitoa kauli za kikatili na za kutojali.

Sasa basi, mimi binafsi, kibinadamu nimeguswa sana na hayo mauaji.

Kuna watoto wengi pia ambao waliuliwa. Mpaka leo sijawahi kuona popote pale majina yao.

Watoto hao walikuwa ni binadamu. Hawakuwa mbwa wasio na mwenyewe au mapaka shume wasio na makazi sehemu.

Wale walikuwa ni binadamu kama mimi na wewe.

Sijaona mtu wala taasisi yoyote ile ikiwazungumzia watoto hawa na kutetea ubinadamu wao na haki yao ya kuishi waliyony’ang’anywa.

Mimi najitolea kwa kuanza kuuliza kwanza hao watoto ni akina nani? Lazima walikuwa na majina. Wanaitwaje?

Huyu alikuwa anaitwa nani? Alikuwa anakaa wapi? Alikuwa na umri gani?Ndugu zake ni akina nani na wako wapi? Alizikwa wapi?

View attachment 3597783

Huyu naye alikuwa anaitwaje? Ni wa wapi? Umri wake? Wazazi wake ni akina nani? Na wako wapi? Alizikwa wapi?

View attachment 3597784

Kuna huyu pia. Huyu kuna clip inamwonyesha kabisa akiwa ndo anavuta pumzi zake za mwisho huku akinyoosha mikono yake kana kwamba anaomba msaada flani.

Alikuwa anaitwa nani? Umri wake? Alizikwa wapi? Nduguze ni akina nani?

View attachment 3597786

JF ni uwanja mpana. Inatembelewa na watu wengi sana.

Kwa mnaojua chochote kuhusu hao watoto na wengineo, changieni chochote mnachokijua kuhusu wao.
kiki nyingine zinatafutwa kijinga sana aise,

yaani athari za vita ya wenyewe kwa wenyewe huko Sudan unataka kuzitumia Tanzania, ili upate kiki au public sympathy? Ili ikufae nini sasa kwa mfano gentleman?🐒
 
Kwa vile sasa hivi hatuna serikali iliyo ya wananchi, iliyotokana na uamuzi wa wananchi, na inayotumikia wananchi, basi sisi wananchi tufanye yale tunayoweza kuanza kuwatambua wahanga wa mauaji ya Samia na wahuni wake.

Kundi linaloongozwa na Samia halijali chochote kuhusu watu lililowaua.

Kila mara wamekuwa wakitoa kauli za kikatili na za kutojali.

Sasa basi, mimi binafsi, kibinadamu nimeguswa sana na hayo mauaji.

Kuna watoto wengi pia ambao waliuliwa. Mpaka leo sijawahi kuona popote pale majina yao.

Watoto hao walikuwa ni binadamu. Hawakuwa mbwa wasio na mwenyewe au mapaka shume wasio na makazi sehemu.

Wale walikuwa ni binadamu kama mimi na wewe.

Sijaona mtu wala taasisi yoyote ile ikiwazungumzia watoto hawa na kutetea ubinadamu wao na haki yao ya kuishi waliyony’ang’anywa.

Mimi najitolea kwa kuanza kuuliza kwanza hao watoto ni akina nani? Lazima walikuwa na majina. Wanaitwaje?

Huyu alikuwa anaitwa nani? Alikuwa anakaa wapi? Alikuwa na umri gani?Ndugu zake ni akina nani na wako wapi? Alizikwa wapi?

View attachment 3597783

Huyu naye alikuwa anaitwaje? Ni wa wapi? Umri wake? Wazazi wake ni akina nani? Na wako wapi? Alizikwa wapi?

View attachment 3597784

Kuna huyu pia. Huyu kuna clip inamwonyesha kabisa akiwa ndo anavuta pumzi zake za mwisho huku akinyoosha mikono yake kana kwamba anaomba msaada flani.

Alikuwa anaitwa nani? Umri wake? Alizikwa wapi? Nduguze ni akina nani?

View attachment 3597786

JF ni uwanja mpana. Inatembelewa na watu wengi sana.

Kwa mnaojua chochote kuhusu hao watoto na wengineo, changieni chochote mnachokijua kuhusu wao.
Inasikitisha sana.hii hali hawa wajinga wanaojiita ccm kuna siku watalipia gharama ya uhalifu huu.unaua ili utawale una akili kweli?
 
Baada ya huu utawala...tarehe 29/10/2025 inaenda kuwekwa siku ya kumbukumbu ya mauaji ya halaiki na mnara kila mkoa kuwaezi watanzania waliouwawa wakipigania utawala bora na haki!

Mungu azilaze roho za marehemu mahala pema peponi.
 
Back
Top Bottom