Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mbunge wa Jimbo la Tarime Vijijini, Mwita Waitara ameitaka Serikali kuweka sheria kali kwa wabadhirifu wa fedha za umma ikiwemo kuwanyonga mpaka kufa ili kudumisha nidhamu. Ametoa ushauri huo...
3 Reactions
15 Replies
221 Views
Kwa Tanzania na Ivory Coast kuaga pambano la Nchi kumi zilizokuwa zinatawala Uchumi wa Afrika Haina maana kwamba Uchumi umeshuka Bali kasi ya kukua Uchumi wa Nchi zingine uliongezeka zaidi...
6 Reactions
81 Replies
1K Views
Watu waliojitambulisha kuwa ni Polisi kitengo cha cyber crime! Wamefika mda huu majira ya saa 7:04 usiku, Kwa Yericko Nyerere wakiambatana na mwenyekiti Wa mtaa (Mbutu), walipofika wamemchukua...
32 Reactions
315 Replies
44K Views
Kwa ujumla wanasiasa by 98 % mimi huwa siwaamini maana wanakuwa driven na vyeo/ madaraka na fedha na uchafu mwingine you can think of. Wapo kama akina Nyerere, Sokoine, Kawawa walikuwa waadilifu...
7 Reactions
26 Replies
294 Views
Kwa sasa, kama taifa, tuna tatizo kubwa tu. Nalo ni uchawa. Uchawa umeondoa uwezo wa kuthubutu na kufikiri. Kujipendekeza kumechukua nafasi ya kila kitu. Utu wetu umedhalilishwa na kuhujumiwa...
11 Reactions
31 Replies
370 Views
Akihutubia maelfu kwa maelfu ya watu wa visiwa vya Pemba jana alianza kwa kusema ''Saa ya ukombozi imefika'' akaendelea kumwaga vitu kama ifuatavyo:- ''Siku 1 mi mwenzenu ni mchungaji kule...
13 Reactions
81 Replies
19K Views
Hali ndio kama mlivyosikia, hata kama mgombea wao kapata namba ya kiatu cha mtoto lakini wametikisa Kuna madai kwamba kura zao zimeibwa Hongera sana Yerricko
11 Reactions
24 Replies
397 Views
Naona kama amekuwa na kauli nzuri zenye mlengo wa kutetea maslahi ya watumishi. Hasa viongozi na wakuu wa idara ambao wamevimbiwa madaraka na kuwa wanazuia watumishi kuhama wakati ni haki yao...
2 Reactions
2 Replies
350 Views
Tunaomba msitujazie video na maneno ya kiki ya hao wabunge ambao kila mtu anajua ni fake! tujadili mambo mengine muhimu na tusiwape muda watu ambao ni wezi wa kura na hawajachaguliwa na watanzania.
3 Reactions
1 Replies
81 Views
Katika ahadi ya 4 ya Mgombea Uraisi kutoka CCM alisema ETI... "Serikali itapiga marufuku hospitali yoyote nchini kuzuia miili ya Marehemu kuchukuliwa na ndugu zao hata kama gharama za matibabu...
1 Reactions
0 Replies
95 Views
Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Kigoma, imewashtaki Nsengiyumva Lenga Lutendeli na Advela Dickson Bishikira kwa kosa la kuchapisha taarifa za uongo kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram...
1 Reactions
5 Replies
248 Views
Wagombea 108 kutoka Vyama vya Siasa 17 wanatarajiwa kuwania nafasi za Ubunge na Udiwani katika uchaguzi wa leo Juni 1, 2026, Jimbo la Ismani, mkoani Iringa, pamoja na Kata 12 za Tanzania Bara...
8 Reactions
51 Replies
895 Views
Act wazalendo wamedai kuwa Waziri mkuu ameshindwa kusimamia majukumu hasa usalama wa raia. Hii ni baada Bibi mzeee kulia mbele ya waziri mkuu kuwa mtoto wake ametekwa na polisi tangu Aprili 21...
1 Reactions
0 Replies
118 Views
Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Bajeti Mashimba Ndaki amesema; "...Pamoja na kwamba deni la serikali limekuwa himilivu kwa viwango vyote vya kimataifa, kielelezo cha uwiano wa deni kwa...
0 Reactions
2 Replies
242 Views
Kwa nini hawakupelekwa vijana wadogo kushangilia wale watoto ? Wameshindwa kuchukua hata vikundi vya ndondo cup vikatoe shangwe mnaenda chukua wazee waliojichokea ? CCM kila kitu ni deal
2 Reactions
6 Replies
144 Views
Serikali kupitia Wizara ya Fedha imeliomba Bunge kuidhinisha jumla ya shilingi trilioni 21.3 kwa ajili ya utekelezaji wa majukumu ya Wizara hiyo pamoja na taasisi zake kwa Mwaka wa Fedha 2026/27...
2 Reactions
6 Replies
156 Views
Kuna kila dalili za aliyekuwa Mbuge wa Iringa, Mwenyekiti Kanda ya Nyasa na Mjumbe wa Kamati kuu na Mkutano Mkuu Mchungaji Peter Msigwa kurudi CHADEMA 23/03/2025. Kashajitenga na CCM. Je...
9 Reactions
90 Replies
6K Views
Uongozi ni kama koti la kuazima; Mbowe na Lipumba sasa si viongozi tena! Pia soma Mirambo arithi mikoba ya Profesa Lipumba CUF Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura...
3 Reactions
7 Replies
369 Views
Je,, Samia Suluhu anaenda Urusi kumuomba Putin ampe Backup dhidi ya Donald Trump? Anamjua hayati Ayatollah Ali Khamenei yaliyomkuta? Alijuwa rafiki wa Putin kufa kuzikana.. Hakuamini atakufa...
13 Reactions
19 Replies
399 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…