MTIKILA: CCM ni Manyani - Epidomea

MTIKILA: CCM ni Manyani - Epidomea

5525

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2014
Posts
5,483
Reaction score
6,487
Akihutubia maelfu kwa maelfu ya watu wa visiwa vya Pemba jana alianza kwa kusema ''Saa ya ukombozi imefika'' akaendelea kumwaga vitu kama ifuatavyo:-

''Siku 1 mi mwenzenu ni mchungaji kule uingereza niliwauliza maaskofu wenzangu kwamba sisi sote kama si wanafiki kwanini mulisema sisi watu weusi ni nyani? Askofu 1 akanijibu aliokuambia hivyo hakukumalizia kulikuwa na biashara ya utumwa kwaiyo vyuo vikuu vya uingereza vya kanisa vilikaa vikavilamisisha serikali lazima ziende vikavunje ile biashara ya utumwa afrika na kukomesha biashara ya utumwa afrika''

''Kwaiyo walipofika afrika wakarudi kutoa majibu kwamba wale watu si binadamu halisi kwa sababu wanauzana wao wenyewe kwa wenyewe kwa tende na halua''.

''Kiongozi anachukua watu akishaonjeshwa anauliza je mtanipa kiroba? Ndio! kwaiyo anatoa amri wanakamtwa walalahoi waliokuwa wanalima wanakwenda ambako hawatarudi''.

''Ndio maana tumeona tutoe ripoti askofu akatumabia hawa ni binadamu wenzetu ila wanahitaji elimu, dini safi manake hata na sisi tulikuwa watu wa pangoni''.

''Sasa tatizo ni tofauti kati ya wadamu na wanyama ndio tulioizingiatia ila waliumbwa kwa roho ya uhanga ila wao wanauza utu wao wanakwenda utumwani halafu hawarudi''.

''Kuna lile gonjwa linaitwa Epidomia. Ukimuona mtanganyika hajali utaifa wa wana utanganyika kwa sababu anapata pesa, utawala, anataka chochote basi ndio ule ule unyani wa siku zile''.

''Unaweza kumuona mtu mwenye unyani anasindikizwa na mapikipiki lakini yuko tayari apate madaraka kwa watanganyika dodoma asikubaliane na wazanzibar, awafanye wazanzibar wanavyotaka wenzake kule Dodoma, ni sayansi ya kweli. Mtu huyu ana tatizo la unyani, anayo Epedomia''.

''Kinacho wasumbua serikali 2 serikali 2 ni unyani (Apedomia). Matatizo ya Jakaya kikwete ni makubwa sana na tatizo ni lile lile la Epedomia''.

Akaendelea kusema Kikwete anasema Jeshi litachukua nchi amesahau kuwa hao hao wanajeshi kuna ndugu zao ambapo kila mtu ana ndugu mwanajeshi si rahisi jeshi kuja na kumtawala ndugu yake na kumtesa akasema pia Rais JK kuwa na mawazo hayo ni tatizo la Epedomia (Unyani).
 
Huyu Mtikila si wa Kumuamini. ni kigeugeu. Hizi ni baadhi ya kauli zake tata

[h=2]Mtikila: Kuna CHADEMA MBILI - 'CHADEMA Chumbani' na 'CHADEMA Sebuleni'[/h]
Mchungaji Christopher MTIKILA azidi kupiga msumali wa MOTO katika JENEZA la Chadema mashumbulizi yake yamuelekea Edwin MTEI

"Amemtuhumu mmoja wa wanzilishi na m/kiti wa kwanza wa chadema Edwin MTEI, akidai kuwa ni muasisi wa dhana ya UKABILA na UKANDA katika chama hicho huku m/kiti wa sasa Freeman MBOWE na Katibu wake SLAA wakidaiwa kuboresha mfumo huo KISASA zaidi kwa kuweka NAKSH NAKSH"

Hata kinacho wafukuza Zitto na wenzake ktk Chadema ni matokeo ya kuota mizizi kwa mfumo wa UKABILA na UKANDA ambao hauruhusu mwanachama yoyote kuhoji mapato na matumizi ndai ya chama"

WATANZANIA waelewe Chadema si chama cha siasa na VIONGOZI wake si wanasiasa wa kweli, kwani hawana MAONO wala MALENGO ya kuwakomboa watanzania

KWA UJUMLA NI GENGE LA WALAJI TU!!!

Ndani ya chadema kuna kundi linaitwa "BIG EIGHT " ambalo linaudwa na wazee wa KICHAGA na kiongozi wao mkuu ni Edwin MTEI akisaidiwa na akina Mariale na Ndessamburo,

Hawa ndio wenye chadema yao ambapo moja ya MAJUKUMU yao ni kulinda maslahi ya kichaga ndani ya chama,Kuna Chadema mbili kuna chadema ya CHUMBANI na Chadema ya SEBULENI"

Source gazeti la Umma Tanzania 4/12/2013


---------------------------------

quote_icon.png
By Avanti
Ukweli nimekuwa nafurahishwa sana na "role" ya CDM kama chama cha upinzani Tanzania ingawa kwangu mie CDM na CCM ni kama mashetani wawili, hivyo basi between the two evils choose the lesser one. Kwa kuwa nilishavutiwa sana na CDM kwa hivi karibuni, mapungufu yanayojitokeza ndani yake hivi sasa ukweli yananifanya tumbo linikate kiasi fulani. Katika jitihada za kujaribu kupata mawazo ya jinsi ya kuepusha mgogoro zaidi kwa kutumia njia ya kidiplomasia nimefanya jitihada binafsi za kuongea na viongozi wa juu kama saba hivi wa pande zinazovutana bila wao kujua natafuta nini (sikufanikiwa kuongea na Mbowe tu). Katika maongezi yangu ambayo ilikuwa ni kama wa kitafiti nimegundua yafuatayo:

1. Ukweli ugomvi mkubwa ni kati ya Mbowe na Zitto (hawa wamesababisha makundi yanayosigishana).
2. Kundi la Mbowe lingependelea Zitto awe nje ya CDM na sio ajirekebishe.
3. Kundi la Zitto, likiongozwa na Zitto mwenyewe linajiona lina mchango mkubwa sana kuisababisha CDM iwe ilipo na hivyo basi iwapo Zitto atatimuliwa atakuwa kaonewa sana.
4.Kundi la Mbowe limebambika kashfa kuwa Zitto ni Msaliti ili kumsababishia aonwe mbaya na asiyefaa ilihali likijua kuwa Zitto kamwe hawezi kuisaliti CDM kwa mapenzi aliyonayo kwayo.
5. Kundi la Zitto linaona akina Mbowe pamoja na kuminya demokrasia zaidi ndani ya CDM, wanatumia rasilimali za CDM isivyo, na kupakaza kuwa akina Mbowe wananufaika zaidi katika rasilimali za CDM kwa kuwanyima haki viongozi wa chini.
6. N.K

Hayo ni baadhi tu ya matokeo ya utafiti wangu usio rasmi kwa jambo hili uliotokana na hao vigogo saba wa CDM niliowahoji.

Baada ya kupata matokeo hayo niliamua pia kuhoji namna ambavyo mgawanyiko huo unaweza kutatuliwa na nikapata baadhi ya majibu kama hivi:

1. Kundi la Mbowe linadai hamna namna ya kumaliza mgogoro huo sababu Zitto hawezi tena fanya kazi na viongozi wa sasa (haaminiki) na wanaamini hawezi kushuka chini, na dawa ni kumtimua au mwenyewe ajitoe CDM.
2. Kundi la Zitto linadai Zitto asafishwe kwanza asiitwe Msaliti na apewe nafasi zaidi ndani ya CDM, hapo mgogoro utaisha.
3. Pande mbili zikutanishwe na kila upande ukiri makosa yake then wale viapo vya kutoangushana, kashifiana na kusalitiana ili wasonge mbele (hili ni pendekezo la mmoja tu kati ya 7 niliowahoji).

Kwa mtazamo wangu, nikaelewa mgogoro huu umefikia pabaya na nikawa nimependekeza njia ya kuzifanya pande mbili zikae na kukigawa CDM, yaani iwepo CHADEMA ASILI na CHADEMA MABADILIKO. Wengi wa viongozi saba niliowachomekea hili waliona kitu hiki hakiwezekani kata kata. Upande wa Mbowe ndiyo ulikuwa na msisitizo zaidi kuwa CDM haiwezi gawanywa kwani kumtimua Zitto ni kazi rahisi kwao na hilo ndilo litamaliza mgogoro.

Kwa kumalizia, mtazamo wangu umekuwa tofauti na hoja hizi na ninawashauri (pande zote) kuwa waangalie uwezekano wa kukigawa CDM kuwa vyama viwili, wagawane rasilimali (kwa kuwa kila upande umechangia upatikanaji wa rasilimali zilizopo). Kwa sisi wanachama na mashabiki tutaona wenyewe ni upande upi twende kati ya CHADEMA ASILI (Ya Mbowe) na CHADEMA MABADILIKO (Ya Zitto).

Mwisho: Ikitokea inakuwa hivyo wewe MwanaCDM mwenzangu utaenda CDM ipi?



 
Mchungaji Mtikila anapaswa kuwaeleza ukweli Watanzania juu ya hizi kauli zake

[h=2]Mtikila: Tamko DPP juu ya bomu lililolipuliwa Arusha - CHADEMA wanatafuta Ushindi kwa kura za Huruma[/h]
Chama cha Mchungaji Christopher Mtikila cha Democratic Party (DP) kimetoa Tamko kuhusu tukio la ulipuaji wa bomu uliotokea mnamo tarehe 15 juni 2013 katika Uwanja wa Soweto jijini Arusha.

Tukio hilo ambalo limeacha sintofahamu kubwa ambayo imeligubika Taifa kwa sasa, limeendelea kuchukua taswira mpya baada ya tamko hili la Mchungaji Mtikila ambae amedai kuwa ana ushahidi wa kutosha kuwa Tukio hilo limefanywa na Chadema.

Naomba wanajamvi muipitie taarifa hii as signed by Mtikila himself na tuijadili kwa upana wake.

===============
Majibu ya Dr. Slaa
===============

quote_icon.png
By Dr.W.Slaa
Mtikila,Unajua sina tabia ya unafiki. Kabla sijakuita mwongo, tafadhali weka hadharani na ya Gari la Chadema Suzuki Nyekundu unalozungumxia kwenye Taarifa yako. Mimi Katibu Mkuu wa Chadema katika kumbukumbu yangu Chadema haijawahi kuwa na Suzuki Nyekundu. Weka namba ili watanzania wajue ukweli. Pili, kwa kuwa unasema amri ya Dr. Slaa na Zitto kukamatwa iliisha kutolewa, na kwa kuwa hakuna amri ya kukamatwa inayotolewa kablabjalada haijafunguliwa polisi, basi weka hadharani namba ya jalada husika. Iwapo mpaka kesho hutaweka hadharani, basi utuambie kwanini Watanzania wasikuone mwongo, unayetumikia Tumbo lako tu kwa kulipwa kidogo Kama ilivyotokea pale Tarime! Kama utashindwa kuthibitisha, kwanini watanzania wakuamini nadharia yako isiyo na mshiko kuwa Bomu " halikumlenga Mbowe". Mwema kweli ni mpenzi wa Mungu.



paperclip.png
Attached Files
 
Huyu Mtikila si ndiye aliyesema Wanzibari na magabashori waondoke Tanganyika warudi wao?
 
Huyu Mtikila si ndiye aliyesema Wanzibari na magabashori waondoke Tanganyika warudi wao?

Mkuu, ni huyu huyu Mtikila. Hakika katika watu ambao kauli zao zinakuwa na utata ni huyu.
 
Sasa nimejua ugonjwa unaomsumbua Mtikila yaani EPIDOMIA. Nilikuwa ninajiuliza ni nini hasa kilichomsukuma kwenda Tarime kukampeni dhidi ya CHADEMA na kuwaunga mkono CCM chama ambacho mara kadhaa amekuwa akikiita chama cha ma---------. Huyu bwana anaumwa advanced EPIDOMIA. Hawa jamaa wanaojiita UKAWA wajiandae tu kwani muda sio mrefu atawageuka baada ya kupata tende na halua za chama kinachosimamia serikali mbili.
 
Sasa nimejua ugonjwa unaomsumbua Mtikila yaani EPIDOMIA. Nilikuwa ninajiuliza ni nini hasa kilichomsukuma kwenda Tarime kukampeni dhidi ya CHADEMA na kuwaunga mkono CCM chama ambacho mara kadhaa amekuwa akikiita chama cha ma---------. Huyu bwana anaumwa advanced EPIDOMIA. Hawa jamaa wanaojiita UKAWA wajiandae tu kwani muda sio mrefu atawageuka baada ya kupata tende na halua za chama kinachosimamia serikali mbili.

Nimeipenda hii. Naye tikila an "unyani".
 
Mtikila anafaa kuwa rais wa ukawa Maelezo yake ni sawa kabisa CCM ni manyani.,
 
Kweli kabisa, tunashukuru mchungaji tumepata jina jipya, Chezea manyani wewe
 
Hivi ndivyo Wanyarwanda wanavyomuona Mchungaji Mtikila

Tanzania politician admits hosting FDLR commanders in Dar es Salaam



A UN photo of Reverend Christopher Mtikila's residence in Dar Es Salaam, Tanzania, where FDLR commanders, stay whenever in Tanzania

The home of Reverend Christopher Mtikila has on several occasions hosted senior commanders of Rwandan FDLR rebels transiting through Dar es Salaam Tanzania in efforts to link them up with the outside work, the UN and the politician himself have confirmed.
News of Rwanda reported exclusively on 17 February, that Rev Mtikila arranged meetings with FLDR leaders for Brig Gen Gratien Kabiligi, a former commanding general of military operations of the entire army during and before the 1994 genocide against Tutsis. Brig Gen Kabiligi met with FDLR executive secretary Lt Col Wilson Irategeka and Col Hamadi, the operations commander.
Our investigations team has uncovered yet more information about how Reverend Christopher Mtikila has been the liaison person for the FDLR. Two of the militia group's Belgium-based officials Joseph Nzabonimpa and Faustin Murego were Dar es Salaam in January 2013 to meet commanders from DR Congo jungles.
While in Dar es Salaam, they stayed at the personal residence of Reverend Christopher Mtikila which is identified in the photo above. According to UN Group of Experts report on DRC released on 24 January 2014, Reverend Mtikila confirmed to them that he had indeed hosted the FDLR political and military officials (See page 26-27 of report).
However, in early February of 2013, one of the FDLR commanders from DRC disappeared. The UN experts say they attempted to confirm with the Tanzanian government about FDLR presence on its soil, and were told they were not aware of any FDLR commander's travel and stay in Dar es Salaam and that they had no information about their disappearance or whereabouts.
News of Rwanda investigations team is yet to find out when Brig Gen Gratien Kabiligi arrived in Tanzania, but have established that he had meetings at secret locations in Dar es Salaam with the above FDLR commanders. The meetings took place on Friday 24th January, then Saturday and the days of the following week.
Rev Mtikila is a vocal Tanzanian evangelist-politician who is the Chairman of the Democratic Party (DP), a small political grouping with no representation in parliament. News of Rwanda has established that he is the figure who facilitates the acquisition of Tanzanian passports for FDLR commanders to travel out of DR Congo jungles.
Previous stories: EXCLUSIVE: Tanzania Hosts More Meetings For FDLR With ICTR Convicts EXCLUSIVE: Tanzania hosts more meetings for FDLR with ICTR convicts News Of Rwanda – Rwanda News
News of Rwanda is preparing another dossier to reveal the identity of a Norwegian priest who works with Rev Mtikila on the FDLR project.
In all the previous travels to this region from Belgium, Joseph Nzabonimpa and Faustin Murego have gone through Tanzania. In June 2012, the two FDLR political cadres, travelling on Belgian passports, were in Rutshuru in North Kivu to meet the FDLR command and convince them to resume cooperation with the Congolese army. The two flew into the Ugandan capital, Kampala on an Egypt Air flight and then made their way to the North Kivu Provincial capital Goma, with the help of DRC intelligence agents.
About the duo Murego was a lieutenant in the former Rwandan army and now lives in the Belgian city of Liege. Nzabonimpa was also an officer in the former Rwandan army and now lives in Brussels, where he works in IT.
The North Kivu Governor Julien Paluku asked the UN mission in DRC to fly the two men to Walikale, a town deep in the forest, so they could meet FDLR commander Sylvestre Mudacumura. The UN refused and so Mudacumura sent a lower ranking officer Pacifique Ntawunguka to meet them. The two gave Ntawunguka $100,000 to give to Mudacumura.
 
Huyu Mtikila si ndiye aliyesema Wanzibari na magabashori waondoke Tanganyika warudi wao?
Binadamu ni 'organic' sio kama jiwe na kauli/fikra zao zinaweza kubadilika wakati wowote kulingana na mazingira. Ndio maana wenye akili wanaona mbele na kutaka katiba yenye nguvu kupita ubora au udhaifu wa binadamu ambao ni viongozi. Kwa hiyo hata wakibadilisha kauli zao bado sheria itasimama, kama alivyowahi kusema Mwalimu kuwa tusitegemee mtu anashauriwa (na Mh. Lukuvi au mkewe ndani) alafu anaamka asubuhi na kufanya maamuzi.

 
Back
Top Bottom