David Kafulila, akizungumza na wananchi kupitia kituo cha runinga cha ITV, amewataarifu Watanzania kuwa barabara ya Kibaha–Chalinze, iliyotarajiwa kujengwa kwa mfumo wa ubia kati ya serikali na...
Naona kama kuna namna ya viongozi hawa kua makini CCM ndani sio shwari tangia apitishwe mama kugombea Urais huo ndo ukweli na suala la awamu ya Mama kuifanya kua awamu ya sita wakati ni ya tano...
Unaweza kusema ni mbuyu umeanguka katika siasa za Tanzania, kwani William Vangimembe Lukuvi ndiye aliyekuwa mbunge mkongwe kuliko wote katika Bunge la 13 linaloendelea sasa na waziri mwenye uzoefu...
Kwa mujibu wa makubaliano ya muungano watanganyika wanatakiwa kuchukua ajira 79% na wazanzibar 21% tu kwenye secta zote zenye makubaliano ya kimuungano.
Lakini kwa Sasa ni tofauti kabisa...
Watanzania, mmelala?
Mimi sijalala hadi sasa! Hii si leo, hii si kesho – hii ni vita ya maisha na uhai wangu! Niko hapa peke yangu, njaa inaungua ndani yangu, sina chochote kinywani, wala sijui...
Mtu unatamaa ya madaraka mpaka unaiba kura halafu unakufa kabla ya hata kustaafu. Maisha ni mafupi unaiba kura na miaka 70!
Eti halafu hujapumzika hata na familia yako. Ufisadi wote na wizi wote...
Katika awamu ya sita, wanasiasa watatu waandamizi wamekufa kwa 'mstuko wa moyo' au kuugua ghafla
Alianza Job Ndugai.
Alifuata Jenista Mhagama.
Na sasa Wiliam Lukuvi.
Je, walikuwa wanaugua kwa...
kuna scenario 3 endapo protest haitafanikiwa
1.Mauaji ya polisi kushika kasi
2.Mauaji ya viongozi wa chini wa chama tawala wenye viti wa mtaa na wajumbe
3.Matukio ya kigaidi kuihujumu serikali...
Za ndani kabisa Waziri William ndiye kiongozi pekee ambaye hakuwahi kupishana na JPM.
Ndiye Waziri pekee aliyekuwa na uwezo wa kumshusha munkali JPM duru 'zinatabanaisha.'
Wakati fulani...
Lukuvi ana tatizo gani na mh. Samia rais wa JMT!! Alipomtoa kwenye uwaziri alisema anataka awe mshauri wake, lakini hakufafanua mshauri wa nini, watu wakapaza sauti kuwa Mama kavunja katiba kwa...
"The Voice of the People: A Divine Mandate for Leaders – A Message to Mama Samia"
Key Scripture:
Proverbs 29:2 – “When the righteous are in authority, the people rejoice; but when a wicked man...
Kweli hakuna mwenye hati miliki na siasa za Tanzania. Haijalishi ulikuwa maarufu kiasi gani, mfumo ukiamua kukutema unakutema tu bila hata kukusukutua.
Check tu hawa wanasiasa:-
Ezekiel Maige...
Kwa mfano Prof Kabudi, mh Lukuvi nk wamerejeshwa na Nape Nauye, Angela Kairuki, January Makamba nk walirejeshwa na sasa wametumbuliwa tena
Kuna Siri gani katika kuwaamini Mno Watendaji wa Shujaa...
Wakuu,
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu William Lukuvi ameitaka Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu kuandaa Daftari la Faida litakaloonesha kazi na shughuli za...
Kwa utamaduni wa ccm mtu akishahudumu kwenye nafasi kubwa kama waziri mkuu, spika, makamu wa rais, vyeo hivyo vitamtosha hadi atapostaafu.
Pia kuna utanaduni wa kubadilisha marais kwa dini...
WAZIRI MKUU ATOA SALAMU ZA POLE KIFO CHA WILLIAM LUKUVI
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mwigulu Lameck Nchemba, akiwa katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano Arusha (PICC)...
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema ameshtushwa na kifo cha aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu), William Lukuvi kwani walizungumza jana na...
Naona sasa kama imekuwa slogan ya kuwakashifu wanaCCM wanapofariki
Hii kauli sio kauli ya wana CCM wote
Sitetei juu ya alichosema mwenyekiti wa CCM
Lakini isiwe sababu ya kuwahukumu wote...
Tatizo kubwa CCM haijiamini kama Chama tena! ndiyo maana wanatumia dola . Yaani wameshidwa kushindana kwa hoja za maendeleo na makada na viongozi wengi hawana vipaji vya kushinda kwa hoja. Kingine...