Alipokuwa waziri Singida United iling'ara, alipotolewa uwaziri Singida ilishuka daraja, ikapigwa faini kwa kukosa hela hadi ikaenda daraja la 2 la 3 au la 4 timu ilifilisika, mara ikaibuka timu...
Kwenye masuala ya management, tunasema mafanikio yoyote yanategemea aina watu ulio nao. People are the hub of the success wheel.
Aina ya watu ulio nao ndio wanaamua kampuni/taasisi/serikali...
Tunakumbuka miaka mitano iliyopita mfalme wa Morocco alitoa pesa ylza kujenga msikitini na pia uwanja wa mpira pale Dodoma. Zikaandaliwa ramani za uwanja huo na Rais Magufuli akapelekewa ramani...
Makonda ni mtu wanayotuhumiwa na nchi za magharibi kwa kuhusika na vitendo vya mauaji ya watu wasio na hatia, pia amepigwa marufuku kukanyaga kwenye nchi zao. Sasa ikitokea balozi au kiongozi...
Uthibitisho huu umetoka kwa mwenyekiti wa Bodi ya Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) Brof Rwekaza Mukandala kuwa Katibu Mtendaji wa NECTA Dr Joyce Ndalichako ameondoka NECTA na nafasi yake sasa...
Msemaji wa CCM ametoa kauli hiyo wakati akiwajibu viongozi wa Chadema waliojifungia siku 3 wakijadiliana kuanzishwa kwa UKUTA.
Amesema serikali ya Magufuli haitarudi nyuma kwenye mapambano dhidi...
Taarifa zilizosambazwa kwa vyombo vya Habari Nchini Tanzania zinaeleza kwamba Rais wa Nchi hiyo amesaini ile Miswada mibovu inayopingwa na kila mwenye akili timamu
Bila Shaka kwa kitendo hiki...
Nimeona hii taarifa kwenye ukurasa wa CCM, mimi kilichonivutia ni hiyo simu ya Mzee Makamba, ni kweli kwa hadhi yake anamiliki simu ya aina hiyo au imewekwa hapo kimkakati tu kuonesha jambo...
Mbunge wa Simanjiro Ole Sendeka amesema kunusurika Kwake kuuawa na Wahuni siyo kwa nguvu zake bali ni Nguvu za Mungu wa Mbinguni
Ole sendeka amewaambia Wapiga kura wake Kuwa yeye binafsi alikuwa...
Mbunge wa Nzega vijijini amewaasa vijana wapambane kutafuta maisha na kama wanahisi Bungeni kuna hela basi wagombee na wao
Unadhani ni rahisi tu kuingia Bungeni? Amehoji Dokta
Karma unaona Kule...
02 April 2024
https://m.youtube.com/watch?v=Eib1-kDDAlQ
Wahoji mantiki ya Profesa Kitila Mkumbo kuondoa fedha ktk mzunguko wa fedha ili kupunguza mfumuko wa bei, wakati bei ya bidhaa...
Hili ni swali tu kwako Baba Askofu, kwa Nchi hii ukianza kusononeka kwa sababu ya Kunusurika kwa Ole Sendeka, basi bila shaka ama hukuwepo Duniani, au ulifungiwa ndani ya mazabahu.
Na kama...
Jumapili saanane usiku na jumatatu ya Pasaka haikuwa njema.
Umeme ulikatika karibia nchi nzima.
Chanzo cha tatizo kilikuwa kujizima mitambo huko Kidatu
Tumeelezwa na TANESCO kuwa , kujizima huko...
Kuna kampeni kubwa inaendelea sehemu mbalimbali ambapo kuna wataalamu wanapita na kipimo cha kupima mwili mzima kwa 20,000.
Nina shauku ya kujua kutoka wizara ya Afya kuhusu msimamo wa serikali...
Jambo la ajabu ni kuwa, japo Mama amemwona Makonda kuwa ni hatari kwa chama, lakini hajaweza kuachana naye kabisa. Afrika tuna safari ndefu kwa mambo haya ya teuzi zisizozingatia weledi na sifa...
Kukamatwa watu kula Mchana Zanzibar ~ Watanganyika wasio Waislamu wamezusha Mjadala.
Ni vyema tukafahamu ya kuwa MILA, DESTURI, SILKA na UTAMADUNI ni mfumo wa maisha kamili ya kila jamii...
Shalom,
Ni ajabu sana siku hizi huwezi kusikia kauli kama serikali ya CCM, utekelezaji wa ilani ya CCM, serikali imeleta.
Utasikia kauli za kipumbavu kwamba Rais amefanya, Rais ameleta upumbavu...
Tafakari namna Hamas walivyoleta mabadiliko Ndani ya Israel kwa kujiingiza kwenye Shirika la Misaada la UN na kufanya kile walichofanya October 7
Hii ni Dunia ya Akili mpya inayokwenda Kasi Sana...