Olesendeka; Lowasa hakula hata sh 5 kwenye richmond

Olesendeka; Lowasa hakula hata sh 5 kwenye richmond

sirluta

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2012
Posts
6,324
Reaction score
2,494
Akichangia hoja ya escrow ameonyesha tofauti ya kuwajibishwa kwa Lowasa na Pinda anaependekezwa kuwajibishwa.
 
Hapa hakuna maslahi ya taifa............wanasiasa wanatimiza kiu zao si zetu ....................:confused2:
 
LOWASSA amelikoroga, , njama zake za kutaka PINDA adondoshwe zimegonga mwamba na washirika wake wakuu, CHENGE, NGELEJA wanakaangwa, ni pigo kubwa kwa LOWASSA. mshirika wake mkubwa aliyebaki ni OLESENDEKA, sijui atamuokoaje bwana Manywele na mpaka PINDA aondoke
 
Akichangia hoja ya escrow ameonyesha tofauti ya kuwajibishwa kwa Lowasa na Pinda anaependekezwa kuwajibishwa.
Acha kupotosha we mtu hayo hajasema hicho unachosema punguza uongo huo haufai.
 
Kweli siasi hazina rafiki wala adui wa kudumu, ni huyo huyo Ole Sendeka alimkomalia Lowassa aondoke, leo anamtetea anafikiri tumesahau
 
Pinda ni muhuni sana, kwa nini hakumwambia CAG ategue kitendawili na kiini cha malumbano kuwa pesa ni za umma au si za umma? alitaka kuficha nini hapa?
 
Back
Top Bottom