Kwa miaka mingi suala la utekaji na kupotea kwa watu si jambo geni kwa sisi tuliokula chumvi nyingi kwa sababu mbalimbali
Kwa sasa msukumo mkubwa umekuja kwa kuimarika technology na vijana wengi...
Wanabodi
Hii ni makala yangu kwenye gazeti la NIPASHE la leo 1/09/2024
Kama kawa kila nipatapo fursa huja na makala zangu elimishi za Kwa Maslahi ya Taifa ambazo huwa na swali, hoja kisha jibu...
Wanabodi,
Mafundisho yote ya dini yanafundisha kuwa "Mpeni Kaisari yaliyo ya Kaisari, na Mpeni Mungu yaliyo ya Kimungu", kwa lengo la kuwathibitishia waumini wote wa dini zote kuwa tawala...
Baadhi ya askari wa jeshi la polisi wakitoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) na kamanda wa polisi mkoa wa Tabora, Richard George Abwao aliyefariki...
Nashauri Serikali iunde kitengo maalumu cha kutathmini utendaji wa taasisi za umma na kupokea malalamiko pamoja na maoni ya wananchi. Kitengo hiki kiwe na ofisi hadi ngazi ya wilaya na kiwe na...
NILITEMBELEA MAKABURI YA WATAKATIFU AMBAYO KISIASA HUITWA MASHUJAA
Anaandika, Robert Heriel Mtibeli.
Taikon wa Fasihi.
Basi nikasema, mimi naam ndio mimi mwenyewe. Nitaenda kwenye makaburi...
Wanabodi
Makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi Jumatano ya leo. Nimezungumzia kuhusu kilichotokea October 29, kimechangiwa na kauli za viongozi, hivyo nimetoa wito kwa Media na Secretarieti ya...
Inakuwaje wazee wa udhibiti? Hebu tuongee uhalisia bila kuficha makucha hapa. Hivi mnafikiria kwa kutumia akili au mmeamua tu kufuata bureaucratic reflexes ambazo hazina mashiko kwenye karne hii...
Inaonekena kuwa ujenzi wa stendi ya mabasi ya magufuli jijini Dar ilijengwa bila kuwashirikisha wadau. Haizingatii desturi, mazoea, utamaduni, uchumi na utaratibu wa wadau.
Ninapotaka kusafiri...
Kwa haya yaliyosemwa na shehe mwaipopo umma Sasa unaamini serikali inalea vikundi vya kigaidi. Na matukio yote ya utekaji yalifanywa na serikali kupitia organ zake kwasababu ingekuwa sio hivyo...
Waziri mstaafu na Mchumi, Profesa Anna Tibaijuka, ameeleza kusikitishwa kwake na wimbi la watu kupotea nchini na kulani vitendo hivyo akivitaja kama doa kubwa kwa taifa.
"Kazi ya kwanza ya...
Maneno mengi hayavunji mfupa , Subirini video zipandishwe Jukwaani mjionee wenyewe
Kiukweli CCM imekwisha na hata wenyewe wanajua hata hivyo vyombo vya dola vimechoka kubeba "Maiti" Mgongoni...
Maandamano sio njia sahihi ya kuleta mabadiliko kwa sababu utasababisha umwagaji damu jambo ambalo ni mtaji kwa hao watu. Mfano maandamano yaliyopita hajakuleta mabadiliko bali wadhalimu...
Hawa watu baada kukosa ruzuku nani anawalipa Posho za KUACHA familia zao na kuzunguka nchi nzima
Maintenance ya magari Yao nani anawalipia gharama
Maana kwenye tone tone mkoa uliochangia Hela...
Najiuliza Hawa Hawa takukuru nilio wambia wanitumie buku tu niwatonye Alex Msama alipo siku hiyo na hawakutuma hata ilo buku, wataweza kukamata mtu live anae toa rushwa pamoja na anae POKEA...
Hii ni serikali ni wizi mtupu tena kwa kutumia mfumo rasmi ikiwemo Bunge..
Kinachogonga vichwa vya watu sana ktk bajeti hii ya 2026/2027 ambayo hawa hayawani waliookotana huko na kukutana Dodoma...
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Mstaafu, Prof. Mussa Juma Assad, amesema hayo wakati wa mahojiano kupitia M&S Podcast.
"Hadi sasa sielewi mimi ni mtumishi wa umma ama sio...
Mwanazuoni na Waziri wa zamani, Profesa Anna Tibaijuka, amebainisha kuwa nchi haiwezi kupata utulivu wa kweli wa kisiasa ikiwa hakuna maridhiano ya dhati, huku akisisitiza kuwa kuendelea kusalia...
Habari ndugu!
Nimekuwa nikijiuliza hili swali lakini sijawahi kupata majibu sahihi.
Sasa Leo NAOMBA wajuzi wa mambo mnisaidie Kwa dhati kabisa.
CCM kinafaidika vipi na huu MUUNGANO wa Tanganyika...