Kwa mujibu wa Mhandisi wa Tanesco ni kwamba kilichosababisha Mafuriko huko Rufiji ni Wananchi waliovamia mkondo wa Maji na Sio Bwawa la Nyerere.
Mhandisi huyo mbobezi amenukuliwa akisema mwaka...
Nanukuu alichoandika mjumbe wa bavicha, kamanda Faustine
"….. waraka wa Wazi kwa Martin Maranja Masese, MMM na Watu wote.
Mwenyekiti wetu wa Chadema Taifa (my role model) alipo ona opportunity...
Vyama vya siasa, pamoja na kwamba watu ndio huchagua lakini nyota ya mtu kwa mwaka husika wa uchaguzi inahusika sana kumfanya mtu huyo kuchaguliwa na hao watu bila kujali itikadi zao.
uchaguzi wa...
Ukipenda unaweza kuchukua ushauri huu, huu si wakati muafaka wa kufanya uchaguzi kabla katiba haijakaa sawa, moja ya jambo muhimu miiko ya kulinda tunu na uchumi wa Taifa bado inahitaji maboresho...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo amefanya ziara ya kushtukiza kituo cha mwendokasi eneo la gerezani na kukuta mfumo wa kusoma tiketi haufanyi kazi, mtendaji mkuu alisema mfumo haufanyi kazi baada...
Suala la kikotoo lilianza tangu kipindi cha awamu ya 4 chini ya Jakaya Kikwete lakini zilitengenezwa mbinu fulani likahairishwa na mfupa akatupiwa Hayati Magufuli katika awamu ya tano.
Pamoja na...
Ndugu zangu kuna tatizo gani kwa shillingi yetu kuporomoka dhidi ya shillingi ya Kenya?. Juzi juzi shillingi shillingi 1 ya Kenya ilikuwa ikibadilishwa kwa Tshs.16.40 leo hii shillingi 1 ya...
Lucas Hapa kwenye Msikiti Mkuu wa Bakwata zamani palikuwepo Shule ya Sekondari ikiitwa Kinondoni Muslim aka Kimbweru na pembeni palikuwepo Msikiti mdogo na ofisi za Bakwata na kota chache za...
Tanzania Chini ya CCM ni Nchi ya Vichekesho.Utasemaje Tuna TUME HURU ya UCHAGUZI wakati Mwenyekiti wa Tume na Makamu Mwenyekiti wanateuliwa na MGOMBEA URAIS?
TUMEBADILI JINA la TUME lakini TUME...
Bismilahir Rahmanir Rahiim
SHURA YA MAIMAMU TANZANIA
S.L.P. 2055 DAR ES SALAAM.
WARAKA WA IDD - Shawal 01, 1445 - April 10, 2024
Awali ya yote tunamshukuru Mwenyezi Mungu Mwingi wa...
Awamu iliyopita ilijitahidi sana kuwa karibu na wananchi hususan wale wa tabaka la chini, Kwa kuwasikiliza! Haijalishi hoja anayokuja nayo mwananchi yeyote ukiwa kama kiongozi unapaswa kusikiliza...
-- Bwawa limeelemewa na maji, namna ya kuliokoa lisivunje kuta zake ni maji kuachiwa, matarajio ni kwamba maji yataachiwa na lita 700,000 kwa sekunde zitamwagwa
-- Wananchi wameanza kuambiwa...
Mbombo ngafu, haijaisha mpaka iishe, kama haitoshi kwa mafuriko yanayotokea sasa Rufiji, Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania imetangaza uwepo wa mvua kubwa katika maeneo kadhaa, pamoja na Mkoa wa...
Chama cha mapinduzi baada ya kuona siasa zinazalisha viongozi shupavu kutoka vyuoni kilikuja na mbinu yakukataa siasa kwa wanafunzi wa vyuo. Ili watimize lengo lao wakapiga marufuku siasa...
Vijana wa chadema walipokwenda Rufiji Mkuu wa wilaya alijibu kimzaa kwamba tatizo siyo kubwa. Waliposema wataanza kurusha picha za hali ilivyo serikali imeshtuka imepeleka mawazri na watendaji...
Ni Maombi yetu kwako Mungu wa Mbinguni uwafanyie wepesi Wanachama wa Chadema Ili badala ya kuparurana wao kwa Wao basi Wapendane
Chadema ni Chama pekee Cha Upinzani tulichobaki nacho kwa manufaa...
Ndugu zangu Watanzania,
CCM Ina viongozi majasiri, imara, hodari, shupavu na madhubuti sana.ina viongozi wasema kweli na wasioona haya kuusema ukweli, ina viongozi ambao wakati wote wanazungumza...
Nimesoma kitu kinachoitwa usafirishaji haramu wa binadamu huko Duniani na mbinu zinazotumiwa. Takwimu zinaonyesha kwamba hii biashara ni kubwa labda namba tatu baada ya biashara ya silaha na...
Tuongee peupe leo, uwazi na ukweli. Mtu yeyote makini atagundua kwamba karibu kila kauli anazotoa Mwigulu zinalenga kutaka kuonyesha Raisi Samia ni bora sana kuliko alivyokuwa Raisi Magufuli...