Kwa wanasiasa mwaka ujao utaongozwa na namba Tisa

Edenkimario

New Member
Jun 3, 2018
2
5
Vyama vya siasa, pamoja na kwamba watu ndio huchagua lakini nyota ya mtu kwa mwaka husika wa uchaguzi inahusika sana kumfanya mtu huyo kuchaguliwa na hao watu bila kujali itikadi zao.
uchaguzi wa mwaka huu wa serikali za mitaa na wa mwaka ujao utabalance kulingana na mkuu wa nchi tuliyenae na nyota yake ilivyo.

Sasa kwenye serikali za mtaa mwaka huu- huu mwaka unaongozwa na namba 8. Chama kitakachochagua wagombea wenye majina yanayoanza na herufi B, N, Z J,V,F,R hasa vile vyama vyenye wingi wa watu maana shuhuli ni watu watachaguliwa kirahisi sana kutokana nyota yao kung'ara mno mwaka huu wa 2024.

Mwaka ujao 2025 utaongozwa na namba Tisa na ni mwaka wa uchaguzi mkuu.

Chama kitakachochagua watu wenye majina yanayoanza na herufi H na T D,P,L,X kuanzia udiwani mpaka juu, nyota zao zinaonyesha zitang'ara sana mwaka ujao wa uchaguzi mkuu 2025. kwa sababu sayari itakayokuwa kazini ni sayari ya maji..


Haina maana wengine hamstahili kushinda ila ukigombea na watu wa aina hiyo niliyoitaja kama nyota zao ziko hai huwezi kushinda.

na popote watakapogombea uongozi wataibuka vinara.
 
Back
Top Bottom