Naibu waziri mkuu, Dr. Biteko ashiriki mazishi ya CDF Ogolla nchini Kenya

Wasukuma wamesanuka wala hawana habari naye.

Taarifa za chini ya carpet Babu zake upande wa Mama na Babu wana asili ya kile kinchi kiduchu chenye kelele nyingi.
Bora kama wameligindua hilo. Maana nilikuwa nawaonea huruma sana.
 
CDF wa Tanzania ni mkubwa kuliko CDF wa Kenya.

Labda tumpeleke CoS ndio wako rank moja Lt General.Kiuhalisia CDF wa Kenya ni kama IGP wa Tanganyika.
Yaan sielewi unachoongea. Nimeuliza CDF wa, Tanzania hakwenda kwa sababu, CDF wa Tanzania na Kenya wote ni wanajeshi. Pili wote ni rank moja. Ingebid aende msaidiz wa CDF wa Tanzania. Kwenda naibu wazir mkuu ni nje ya protocol.
 
Nimekujibu CDF wa Kenya ni mdogo labda tumpeleke CoS.

Naibu Waziri Mkuu ni sawa na Waziri yoyote hicho cheo bandia kapewa kuwapumbaza Sukuma gang.

Bado haujaelewa tu,wewe darasani uliwatesa sana waalimu wako jambo dogo unajitia uzuzu.
 
Mimi Nimeona No Sahihi Kiwepo Cheo Cha Naibu Waziri Mkuu kama Kilichopo Cha Naibu Spika na Makamu Wa Rais.

Kidumu Chama Cha Mapinduzi.
 
Back
Top Bottom