Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama (Kushoto) akipokea Taarifa ya Hali ya Dawa za Kulevya Nchini kwa mwaka 2023 kutoka kwa Kamishna Jenerali wa...
0 Reactions
0 Replies
590 Views
Ameyasema hayo mbele ya Mkuu wa Mkoa Mh Chalamila alipofanya ziara wilayani hapo. Mheshimiwa Chalamila ameahidi kukutana na Mkuu wa Majeshi. Hii imekaaje wadau maana naona kiongozi wa Serikali...
10 Reactions
101 Replies
7K Views
Baada ya kumshangilia Robot aliyekuwa Zamu ya kupokea Wabunge pale Reception ya mjengoni ni vema tukamtafakari pia atakapoingia mitaani Faida zake na hasara zake Dr Slaa angeweza kuuliza Robot...
2 Reactions
23 Replies
1K Views
Kupitia video inayotembea mitandaoni, mkuu wa mkoa wa Dar, ambaye pia ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama, Albert Chalamila amesikika akitoa kauli hizi tatu kwa ujasiri mkubwa; 1...
5 Reactions
48 Replies
3K Views
Jana kulikuwa na malumbano ya hoja juu ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Washiriki wengi walitoa hoja za maana sana kwa mfano (1) Wananchi wengi hawana uelewa na uchaguzi huu hivyo kuwe na...
1 Reactions
15 Replies
751 Views
Nimeona Mijadala mingi inaendelea kuhusiana na interview ya General Mabeyo akielezea Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Taifa ilivyosimamia matibabu ya hayati Magufuli. Suala la afya za Viongozi ni...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Taarifa za watu hawa zimezagaa mitandaoni , sakata hili limeanzia pale mke wa Pereira aitwaye Amina alipojaribu kugombea UNEC . Huyu Pereira Silima ni Balozi na huyu Mabodi ni kiongozi wa CCM ...
8 Reactions
81 Replies
10K Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo ni (CHADEMA), ni chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania chenye makao makuu yake jijini Dar es Salaam wilaya ya Kinondoni. Kwa miaka mingi chama hicho kimekuwa...
2 Reactions
49 Replies
4K Views
Wanachama 381 wa Chadema Geita wahamia CCM wakabidhi kadi za Chadema kwa Upendo Peneza mkutano hadhara Geita Source: Taarifa ya saa moja Habari Channel 10
9 Reactions
117 Replies
6K Views
Kila wiki kuna utekaji vijana dar serikali kimya rais kimya tupeleke kesi ICC
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amekaribiishwa na roboti Eunice wakati akiingia bungeni leo Mei 16, 2024 ambapo uwasilishaji wa bajeti ya wizara yake kwa mwaka...
4 Reactions
54 Replies
8K Views
Ni mwaka gani yalisemwa hayo maneno? Na msemaji wake ni nani? Je kilichosemwa kilitokea kweli? Na je Msemaji ni mtu mwema kweli?
1 Reactions
11 Replies
845 Views
Nimejiuuliza zilipo kanuni za kusimamia uchaguzi wa serikali za mtaa. Nimezisaka mitandaoni na kwenye gazeti la serikali zijaziona. Lakini Mzee Lipumba na Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi wanasema...
0 Reactions
6 Replies
908 Views
Asilimia kubwa ya waandishi wa habari nchini hawana mikataba ya ajira na hawatambuliki na mifuko ya hifadhi ya jamii. Hali hii inatokana na ukweli kwamba waandishi wengi wa habari hawana capacity...
0 Reactions
4 Replies
579 Views
Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 15, Kikao cha 28, leo Mei 17, 2024 ambapo Waziri Dkt. Gwajima D atasoma Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia...
1 Reactions
2 Replies
548 Views
BIL 97.178 KUTUMIKA UJENZI BARABARA YA IFAKARA-MBINGU Imeelezwa kuwa mradi wa ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami kutoka Ifakara hadi Mbingu yenye urefu wa kilomita 62.5 utatumia Bilioni...
0 Reactions
1 Replies
783 Views
Kama hakuna Zanzibar, mbona kuna rais wa Zanzibar? Anawakilisha nani?
0 Reactions
2 Replies
397 Views
KATIBU MKUU WIZARA YA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA AFANYA MAZUNGUMZO NA KATIBU MKUU WIZARA YA ULINZI WA BURKINA FASO Katibu Mkuu wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Faraji...
0 Reactions
1 Replies
529 Views
Hii ni salamu kwa viongozi wa Chama cha Drmokrasia na Maendeleo (Chadema) mjini Moshi kwamba muonyeni kada wenu na diwani mstaafu wa Kata ya Kiusa, Steven Ngassa aache ujanjaunja wa mjini atafute...
0 Reactions
9 Replies
822 Views
Juzi gazeti la Mwananchi lilichapisha habari kuwa mke wa Balozi Pereira, Mwanaamina Farouk Mke wa Balozi alalamika kuvamiwa na wasiojulikana. Mtakumbuka kuwa huyu mwanamke amekuwa kwenye vyombo...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…