Wanachama 381 wa CHADEMA Geita wahamia CCM wakabidhi kadi za CHADEMA kwa Upendo Peneza mkutano hadhara Geita

Wanachama 381 wa Chadema Geita wahamia CCM wakabidhi kadi za Chadema kwa Upendo Peneza mkutano hadhara Geita

Source :Taarifa ya saa moja Habari Channel 10
Siasa za kizamani kabisa hizo CCM bado baadhi ya viongozi wana fikra zile zile za enzi ya TANU, tumesha toka huko kwenye kunyang'anyana wafuasi na sasa tupo kwenye kutatua kero za wananchi
 
Wanachama 381 wa Chadema Geita wahamia CCM wakabidhi kadi za Chadema kwa Upendo Peneza mkutano hadhara Geita

Source: Taarifa ya saa moja Habari Channel 10
Upendo duh nini kimempata? Kama ni viti maalum mbona hata Chadema angepata 2025!! Kama ni jimbo mbona ana uwezo wa kulibeba maana 2020 alipata zaidi ya 30% licha ya nature ya chaguzi za kiafrika.

Hata marehemu Alphonce Mawazo atakua anasikitika huko kaburini, he fought for nothing Kama wewe na Nusrat mliyekua wanafunzi wake leo hii mmesahau legacy yake na kuenda kuungana na mafisadi.

This is so disappointing
 
Hiyo cdm inaonekana ina wafuasi wengi kama mchanga, Kila siku nasikia wanachama wa cdm wamehamia ccm, tena wakiwa na kadi mpya na Bado hawaishi tu huko cdm! Lakini ikifika wakati wa uchaguzi inabidi ccm wapore uchaguzi Ili kubaki madarakani kwa shuruti.
 
Wanachama 381 wa Chadema Geita wahamia CCM wakabidhi kadi za Chadema kwa Upendo Peneza mkutano hadhara Geita

Source: Taarifa ya saa moja Habari Channel 10
Kiukweli sipendi kabisa huyu sweetheart wangu
2052319_DSC_0261 (1) (2).jpg
aibomoe Chadema!. Ni Chadema imemfikisha hapo alipo hadi CCM wakamuona!, anatakiwa asinyee kambi!.
Karma haikopeshagi!. Angalizo kwa Wanasiasa hamahama; Japo ni haki yenu lakini msisahau fadhila. Kuweni watu wa shukrani, mtabarikiwa sana, vinginevyo karma Itawahusu!

P
 
Upendo duh nini kimempata? Kama ni viti maalum mbona hata Chadema angepata 2025!! Kama ni jimbo mbona ana uwezo wa kulibeba maana 2020 alipata zaidi ya 30% licha ya nature ya chaguzi za kiafrika.

Hata marehemu Alphonce Mawazo atakua anasikitika huko kaburini, he fought for nothing Kama wewe na Nusrat mliyekua wanafunzi wake leo hii mmesahau legacy yake na kuenda kuungana na mafisadi.

This is so disappointing
Amekaa akaangalia na kuona wenzake wa COVID-19 wanakula hela za bure huko bungeni. Ameona isiwe tabu acha naye ajiunge na chama Cha kupewa vyeo.
 
Back
Top Bottom