Wengi hawajui wakati Tundu Lissu anapatwa na Majanga ya kupigwa risasi alikuwa ni Kiongozi wa Bunge anayehudumiwa na Serikali!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,975
141,986
Nimeona Mijadala mingi inaendelea kuhusiana na interview ya General Mabeyo akielezea Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Taifa ilivyosimamia matibabu ya hayati Magufuli.

Suala la afya za Viongozi ni jambo la Usalama wa nchi.

Hata Tundu Lisu aliposhambuliwa kwa risasi alikuwa ni Kiongozi wa Bunge kwa nafasi yake ya Mnadhimu wa Kambi Rasmi ya Upinzani na angeweza kupelekwa Hospital ya Viongozi kwa matibabu na Kamati ingefuatilia matibabu yake.

Katiba Mpya itafafanua zaidi mambo ya namna hii.

Mungu wa Mbinguni awabariki nyote
 
Ishu ya Tundu lisu kupigwa risasi nadhani iliwagawa Wana usalama was nchi hii!!

Yaani kulikua hakuna uwajibikaji was pamoja kuhusu uhai wa Lisu aende au asiende Kwa baba na kwa maslahi ya taifa au mtu!!

Hadi leo haieleweki shambulio like ni la nani!Dola au mtu binafsi!!

Kama Lisu angekua Adui was taifa kutokana na uratibu was mambo yake kuwa mwiba kwa Taifa bas Leo asingekua hai!!

Sasa kwanini inaonekana kulikua na pande mbili za usalama zikihangaikia uhai was mtu mmoja aitwae lisu na kutugawa kiusalama!!?

Je yalikua mapambano kati ya wanausalama was pande fulani dhidi ya wanausalama was pande nyingine!!?

Je sisi kama taifa usalama upon katika blocks!!?pande au kanda!!?

Tukio lile linanifanya nijulize maswali Sasa jeikija tokea wanausalama wakagawnyika kumhusu kiongozi mkubwa was dola ,SI taifa litaingia matatizoni kati ya pande mbili au tatu za usalama zinazonyukana!!?

Hadi leo najiuliza kwanini uhai was lisu uligombewa na pande mbili yaani upande wa wanaotaka afe na ule mwingine unaotaka waishi!!?

Wakuu was vyombo wekeni hili sawa kikatiba kabla hatujashuhudia majanga mengine huko mbeleni!!

Na mimi ni mzalendo. Nimeandika!
 
Sawa mkuu

Ukipata ufafanuzu na majibu ya kile ulichouliza naomba unitag nami
 
Nimeona Mijadala mingi inaendelea kuhusiana na interview ya General Mabeyo akielezea Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Taifa ilivyosimamia matibabu ya hayati Magufuli

Suala la afya za Viongozi ni jambo la Usalama wa nchi

Hata Tundu Lisu aliposhambuliwa kwa risasi alikuwa ni Kiongozi wa Bunge kwa nafasi yake ya Mnadhimu wa Kambi Rasmi ya Upinzani na angeweza kupelekwa Hospital ya Viongozi kwa matibabu na Kamati ingefuatilia matibabu yake

Katiba Mpya itafafanua zaidi mambo ya namna hii

Mungu wa Mbinguni awabariki nyote
Ni marufuku CHADEMA kutibiwa Mzena
 
Hakika alisahaulika kimtindo daah
 
Back
Top Bottom