Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
18,267
12,568
Ndugu zangu Watanzania,

Leo imekuwa siku ya moto sana na ngumu sana kwa wanasiasa uchwara wa Nchi hii. Leo Rais wetu mpendwa ameshusha NONDO za hatari sana zilizowakosha watanzania na kuibua shangwe kwa watanzania mbalimbali waliokuwa wakifuatilia matangazo ya moja kwa moja kutoka ikulu.

Ambapo Rais Samia amesema ya kuwa amekuwa akitukanwa sana na watu ambao wanataka awajibu lakini amekataa kuwajibu.na badala yake kuendelea kuchapa kazi kwa kasi katika kujenga uchumi wetu.amesema wapo wengine mara wasema mama huyu hafai mara ooo kafanya hivi kafanya vile .lakini anasema yeye hasikilizi Makelele na badala yake anaangalia kazi iliyo mbele yake ya kuujenga uchumi ambao unaendelea kuimarika na kufanya vyema kila iitwayo leo.

Amesema ila yule atakayekwamisha juhudi zake za kuujenga uchumi wetu na mageuzi yake ya uchumi kwa hakika huyo atamkera sana.

Kwa hakika nipo sahihi kabisa naposema kuwa Rais Samia ni Jemedari hodari ,Ni Chuma cha Reli kwelikweli,Jasiri Muongoza Njia ,ni Mama wa shoka ,shujaa wa Afrika na Mwana mageuzi ya kiuchumi. Mungu atupe nini Zaidi ya zawadi hii ya kipekee kabisa ya kutupatia Rais SAMIA ? tunataka nini watanzania wenzangu? Kwanini tunataka tuje kuanza kujuta baadaye na kububujikwa machozi ya majuto ya kumlilia na kwenda kumpigia Magoti Rais Samia arejee tena madarakani?

Tutapata wapi Mwingine aina ya Rais SAMIA?mama mchapa kazi, mama mwenye huruma,upendo,ukarimu, unyenyekevu na mama mwenye kuwajali Watanzania? Kwanini tunataka kumkatisha tamaa mama huyu MZALENDO wakweli na dhati kwa Taifa letu? Kwanini tunataka kuchezea bahati hii tuliyonayo?Hamuoni hata DUNIA itatushangaa na kutuona hatujitambui? Embu tuendelee kumuunga mkono Rais wetu na kuhakikisha kuwa Tunampeleka na kumrejesha Ikulu kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima hapo Mwakani.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

Ndugu zangu Watanzania,

Leo imekuwa siku ya moto sana na ngumu sana kwa wanasiasa uchwara wa Nchi hii.Leo Rais wetu mpendwa ameshusha NONDO za hatari sana zilizowakosha watanzania na kuibua shangwe kwa watanzania mbalimbali waliokuwa wakifuatilia matangazo ya moja kwa moja kutoka ikulu.

Ambapo Rais Samia amesema ya kuwa amekuwa akitukanwa sana na watu ambao wanataka awajibu lakini amekataa kuwajibu.na badala yake kuendelea kuchapa kazi kwa kasi katika kujenga uchumi wetu.amesema wapo wengine mara wasema mama huyu hafai mara ooo kafanya hivi kafanya vile .lakini anasema yeye hasikilizi Makele na badala yake anaangalia kazi iliyo mbele yake ya kuujenga uchumi wetu ambao unaendelea kuimarika na kufanya vyema kila iitwayo leo.

Amesema ila yule atakayekwamisha juhudi zake za kuujenga uchumi wetu na mageuzi yake ya uchumi kwa hakika huyo atamkera sana.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Anatukanwa au anaambiwa ukweli, Tatizo la CCM huwa wanapendwa kusifiwa tu kama wewe Unavyosifia hapa. Alafu nasikia kuna ajira nyingine daily unalipwa 50k kuwapamba Watawala.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Leo imekuwa siku ya moto sana na ngumu sana kwa wanasiasa uchwara wa Nchi hii.Leo Rais wetu mpendwa ameshusha NONDO za hatari sana zilizowakosha watanzania na kuibua shangwe kwa watanzania mbalimbali waliokuwa wakifuatilia matangazo ya moja kwa moja kutoka ikulu.

ishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kwani ukiwa mwanasiasa lazima uwe unadangany waziwazi? 😂 😂 😂
 
Ndugu zangu Watanzania,

Leo imekuwa siku ya moto sana na ngumu sana kwa wanasiasa uchwara wa Nchi hii.Leo Rais wetu mpendwa ameshusha NONDO za hatari sana zilizowakosha watanzania na kuibua shangwe kwa watanzania mbalimbali waliokuwa wakifuatilia matangazo ya moja kwa moja kutoka ikulu.

Ambapo Rais Samia amesema ya kuwa amekuwa akitukanwa sana na watu ambao wanataka awajibu lakini amekataa kuwajibu.na badala yake kuendelea kuchapa kazi kwa kasi katika kujenga uchumi wetu.amesema wapo wengine mara wasema mama huyu hafai mara ooo kafanya hivi kafanya vile .lakini anasema yeye hasikilizi Makele na badala yake anaangalia kazi iliyo mbele yake ya kuujenga uchumi wetu ambao unaendelea kuimarika na kufanya vyema kila iitwayo leo.

Amesema ila yule atakayekwamisha juhudi zake za kuujenga uchumi wetu na mageuzi yake ya uchumi kwa hakika huyo atamkera sana.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Vipi watanzania hawajabubujikwa baada ya bimkubwa kutoa hizo 'nondo'?
 
Hapo akitoka anaenda kuandaa master plan ya kukopa na kuandaa safari nyingine nje ya nchi.

Hana hoja za kujibu kuhusu muungano uchwara huo ndio maana anasingizia anatukanwa.
Tutalipa na tutaendelea kukopa sana tu kwa ajili ya kujenga uchumi wetu kupitia miradi mbalimbali ya maendeleo. Tunachoangalia na kuzingatia ni masharti nafuu ya mkopo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom