johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,616
Kada wa CCM na msanii mkongwe nchini afande Sele amesema UVCCM ni Janga la Taifa
Afande amesema Wakati Rais Samia mwenyewe ameonyesha ukomavu wa kisiasa wa kukabiliana na kila lililo mbele yake UVCCM wameanza kumbwelambaela na kuonyesha dalili zote za Uwoga
Source Jambo TV
Mlale Unono 😄😄