RC Chalamila ataka Mdahalo na Ney wa Mitego

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
141,763
Reaction score
284,785

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema badala ya kumfungia msanii, mamlaka zinapaswa kwanza kumuelewa kwamba kwenye tungo zake anamaanisha nini, badala ya zenyewe kutafsiri kile anachoimba.

Amedai njia pekee ya kujua alichokisema msanii huyo ni Kufanya naye Mdahalo.

Screenshot_2024-06-12-20-50-53-1.png
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema badala ya kumfungia msanii, mamlaka zinapaswa kwanza kumuelewa kwamba kwenye tungo zake anamaanisha nini, badala ya zenyewe kutafsiri kile anachoimba.

Amedai njia pekee ya kujua alichokisema msanii huyo ni Kufanya naye Mdahalo.

View attachment 3015820
Asithubutu! Huyu levo zake ni za diamond na harmonize ndio aongee nao. Asithubutu kwa ney, kwani imekuwaje yakafikia huku😂😂 hii nchi inachekesha sana
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema badala ya kumfungia msanii, mamlaka zinapaswa kwanza kumuelewa kwamba kwenye tungo zake anamaanisha nini, badala ya zenyewe kutafsiri kile anachoimba.

Amedai njia pekee ya kujua alichokisema msanii huyo ni Kufanya naye Mdahalo.

View attachment 3015820
Ndio maana nilikuwa natamani sana Chalamila aje Dar, RC tumempata 😀😀
 
Kwa hali hii Joseph Guede na CHAWA Lucas Mwashambwa wahesabie tu maumivu kama mimi. 😩
Tatizo mnachukulia neno nakupenda lipo kwa ajili ya wapenzi tu! Kitu ambacho si kweli
Jenga mazoea ya kuwaambia watoto, wazazi marafiki zako kua unawapenda
Mpigie simu baba ako mwambie 'Mzee unajua mimi nakupenda sana' lazima atajisikia vizuri sanaaaaa

Mimi hili neno nalitumia sana kwa yeyote iwe rafiki mzazi mpenzi ndugu, nikiona upo moyoni mwangu sioni shida.
Hivyo mimi kumpenda Chalamila isikuume wakati hata wewe mwenyewe ninakupenda
 
Kama na mimi unanipenda basi kuanzia leo maumivu yatapungua. 😇
 
Back
Top Bottom