RC David Kafulila: Hii ndio hirizi ya CCM kuitawala Tanzania miaka mingi ijayo

Ze Bulldozer

JF-Expert Member
Jun 12, 2020
892
459

===
Katika mahojiano yake na EFM redio mkuu wa mkoa Simiyu Mhe David Kafulila amefafanua juu ya maasi yanayoendelea nchi za wenzetu na hatma ya

ukuaji wa uchumi wa Tanzania katika mizozo hiyo,

Mhe Kafulia anachambua Machafuko na matokeo yake kwa nchi zingine na namna yanavyoathiri uchumi wetu, hii ni baadhi ya michango ya RC Kafulila,

Swali, Tanzania tuna somo gani la kujifunza kutokana na machafuko yanayoendelea nchi za wenzetu?....

"Kwanza tukubaliane huwezi kujenga uchumi wala kuleta maendeleo kukiwa na machafuko ndani.

Ndio maana kazi ya kwanza ya Rais yeyote duniani ni kuhakikisha utengamano( stability) kwanza kabla ya agenda yoyote.

Rais wa awamu ya sita, Mhe Samia Suluhu Hassan unaweza kumuona vizuri katika hili na namna alivyoituliza nchi kwa sasa,

Maono yake Mhe Samia Suluhu Hassan ni kujenga Taifa ambalo wote tunakuwa sehemu ya ujenzi bila kujali tofauti za vyama, rangi, kabila wala asili yoyote bali uwezo tu wa muhusika.

Wote tunajenga kwapamoja , "Upinzani na CCM" Kwa kujenga pamoja nchi yetu kwa Upendo na Amani,

Mzee Makamba anasema tunakula asali kwa pamoja kwa maana ya "Ustawi wa Taifa kuwanufaisha watu wote",

Na hii ndio nguvu asilia ya Chama cha Mapinduzi CCM.

CCM ni chama kikongwe lakini wakati wote kinaonekana ni "chama cha kisasa" ni kutokana na kujibadilisha badilisha ili kukidhi mahitaji ya wakati husika,

Kwamfano tu,Leo hii Wakosoaji wa CCM huwezi kuwakusanya kuanzia awamu ya kwanza mpaka ya hii ya sita ukawaweka kapu moja.

Kwani wanabadilika awamu moja na nyingine, CCM inawa' swap'...

Tanzania,ndio maana ni ngumu kutengeneza 'Mass' inayoipinga CCM kutosha kuiondoa madarakani kwasababu , waliokuwa wakosoaji wa CCM awamu moja wanaweza kuwa mashabiki awamu nyingine na kinyume chake.

Hii ndio 'hirizi' ya CCM. Hakuna muujiza zaidi ya kujibadilisha kukidhi mahitaji ya wakati na hili linaifanya CCM itawale kwa miaka mingi zaidi ijayo,
 
Senior Azma

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
487
947
View attachment 2294662
===
Katika mahojiano yake na EFM redio mkuu wa mkoa Simiyu Mhe David Kafulila amefafanua juu ya maasi yanayoendelea nchi za wenzetu na hatma ya ukuaji wa uchumi wa Tanzania katika mizozo hiyo,
Well, mimi nadhani hirizi ya CCM ni dola - kama ambavyo Bwana Bashiru Ally aliwahi kusema. Dola ndio ilisaidia tukapata wabunge wengi waliopita bila kupingwa ktk awamu iliyopita ambao hivi sasa sote tunajiuliza waliwezaje kupita bila kupingwa? (Maana sio kwa ukilaza wanaouonesha mjengoni).

Siku dola ikiwa neutral, CCM inakanyagwa mchana kweupe. Period!
 
Dolla inaweza kuwa neutral kama haitakuwa na mashaka na huo upinzani,

Hakuna siku dolla itapeleka serikali kwa wahuni,
 
Inside10

JF-Expert Member
May 20, 2011
24,843
21,428
Tanzania hakuna upinzani wa dhati, akina Mbowe njaa tu, CCM lazima watawale karne nyingi tutake tusitake
Wewe kiazi kama hata ulishawahi lala hapa kituoni Kigogo.. Jaribu alilofanya Mbowe et al... Hakuna MTU wakukufanyia jambo.. Ewe usiwe na njaa
 
Jabali la Siasa

JF-Expert Member
Jul 10, 2020
2,069
1,512
View attachment 2294662
===
Katika mahojiano yake na EFM redio mkuu wa mkoa Simiyu Mhe David Kafulila amefafanua juu ya maasi yanayoendelea nchi za wenzetu na hatma ya ukuaji wa uchumi wa Tanzania katika mizozo hiyo,

Mhe Kafulia anachambua Machafuko na matokeo yake kwa nchi zingine na namna yanavyoathiri uchumi wetu, hii ni baadhi ya michango ya RC Kafulila,

Swali, Tanzania tuna somo gani la kujifunza kutokana na machafuko yanayoendelea nchi za wenzetu?....

"Kwanza tukubaliane huwezi kujenga uchumi wala kuleta maendeleo kukiwa na machafuko ndani.

Ndio maana kazi ya kwanza ya Rais yeyote duniani ni kuhakikisha utengamano( stability) kwanza kabla ya agenda yoyote.

Rais wa awamu ya sita, Mhe Samia Suluhu Hassan unaweza kumuona vizuri katika hili na namna alivyoituliza nchi kwa sasa,

Maono yake Mhe Samia Suluhu Hassan ni kujenga Taifa ambalo wote tunakuwa sehemu ya ujenzi bila kujali tofauti za vyama, rangi, kabila wala asili yoyote bali uwezo tu wa muhusika.

Wote tunajenga kwapamoja , "Upinzani na CCM" Kwa kujenga pamoja nchi yetu kwa Upendo na Amani,

Mzee Makamba anasema tunakula asali kwa pamoja kwa maana ya "Ustawi wa Taifa kuwanufaisha watu wote",

Na hii ndio nguvu asilia ya Chama cha Mapinduzi CCM.

CCM ni chama kikongwe lakini wakati wote kinaonekana ni "chama cha kisasa" ni kutokana na kujibadilisha badilisha ili kukidhi mahitaji ya wakati husika,

Kwamfano tu,Leo hii Wakosoaji wa CCM huwezi kuwakusanya kuanzia awamu ya kwanza mpaka ya hii ya sita ukawaweka kapu moja.

Kwani wanabadilika awamu moja na nyingine, CCM inawa' swap'...

Tanzania,ndio maana ni ngumu kutengeneza 'Mass' inayoipinga CCM kutosha kuiondoa madarakani kwasababu , waliokuwa wakosoaji wa CCM awamu moja wanaweza kuwa mashabiki awamu nyingine na kinyume chake.

Hii ndio 'hirizi' ya CCM. Hakuna muujiza zaidi ya kujibadilisha kukidhi mahitaji ya wakati na hili linaifanya CCM itawale kwa miaka mingi zaidi ijayo,
jamaa amewachana live Nyumbu, CCM ipo Sana, kama unataka utimize ndoto yako ya kisiasa njoo tu CCM, ONA LEO KAFULILA ANAVYOLISAIDIA TAIFA HILI
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

10 Reactions
Reply
Top Bottom